Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea...
Siasa siyo tu harakati za kutafuta madaraka au mamlaka; ni juhudi za kimkakati na kiakili.
Kwa namna nyingine, tunaweza kusema ni mchezo halisi wa akili. Mafanikio katika siasa yanahitaji ujuzi...
Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani.
Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad?
Kama ungetaka kuwa muuza matunda...
Wakuu,
Ngoja tuone hayo matamko ya CHADEMA na CCM yatakuja na kitu gani!
====
Rais na Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Sera za Kimataifa-Afrika (CIP-AFRICA), Mheshimiwa Balozi Omar Mjenga...
Kwema Wakuu!
Ingawaje Mimi ni mtibeli msabato lakini hiyo hainifanyi nisione mazuri ya madhehebu na dini zingine.
Sisi wasabato tunajinadi na huenda kwa sehemu tunajulikana kwa kufuata maandiko...
Tumeshuhudia uchaguzi uliojaa uchafu wa kila aina, kuanzia kanuni za hovyo kabisa za kusimamia uchaguzi, uandikishaji wa wapiga kura bandia, uenguaji wa wagombea, mpaka utengenezaji wa kura...
Nikiwa kama mpenda demokrasia ya kweli na mtu niliyefadhaishwa na namna chaguzi zetu zinavyoendeshwa. Ningependa kuchangia yafuatayo kwa chama cha CHADEMA, chama hiki angalau kinabeba matumaini...
Habari wakuu.
Katika kupitapita mtandaoni nikakutana na haya matokeo ya uchaguzi kwenye moja ya mitaa l, Wilaya ya Ubungo.
Nimeangalia naona kama namba sizielewi.
Labda nyie mnisaidie
Hiyo
1. KUTOSIMAMA NA VITI MAALUM 2020 KIMKAKATI
Baada ya uchaguzi kuisha na kushindwa kwa anguko kubwa Zaid yani hakuna mbunge hata mmoja kutoka CDM alieshinda. Wakasusia matokeo ya uchaguzi na kusema...
Kuishinda CCM ,sio jambo dogo sababu kwanza wameshikilia dola , wana wanachama watiifu wengi ,na pesa pia .lakini wakifanya yafuatayo kwa katiba hii wanaweza shinda :-
1.Wawa hamasishe na...
Wakuu,
Niseme tu kwamba nashangazwa na wingi wa matakamko ya polisi siku mbili hizi, yaani ni bandika bandua!
PIA SOMA
- LGE2024 - Kigoma: Vijana wawekwa chini ya ulinzi kwa wizi wa kura...
Wakati CHADEMA Leo wanafanya Kikao cha kamati kuu nimeona niwakumbushe maneno ya Trump kwamba Waafrika ni mabingwa wa Kujidanganya wenyewe kisha wanaua Uwezo Wao wa Kuwa na Fikra mpya
Trump...
Mimi ni raia huru, naipenda nchi yangu, kuna mambo yanasemwa mitaani na wananchi kuhusu chaguzi zetu za sasa.
Pia nimefanya uchunguzi kidogo maeneo mbalimbali ( hasa mkoa wa MWanza) kwa siku za...
Mwenyekiti wa Makampuni ya Barrick amesema amefurahishwa na maamuzi ya Mahakamani ya kutupilia mbali Shauri lilopelekwa na Wanaharakati wa Tanzania ambao Walioshitaki kampuni hiyo Kwa kile...
Wenyeviti wa mitaa, vijiji, vitongoji na wajumbe wa halmashauri ya kijiji kundi maalumu wanawake na mchanganyiko wameapishwa katika kata tofauti tofauti za wilaya ya Makete mkoani Njombe
Uapisho...
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Watanzania wote kuungana na kushirikiana mara baada ya uchaguzi wa serikali kufanyika kwa amani.
Akizungumza kwa niaba ya Baraza hilo, Katibu...
Kwa namna uchaguzi ulivyofanyika ni wazi kwamba CCM wametambua wananchi wengi siyo wakiamini kwenye sanduku la kura.
Alianza JPM alipoona wananchi wanacheka naye lakini inapokuja upinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.