Kama kuna mtu alitegemea CCM kubwagwa kwenye uchaguzi unaoendelea, basi ana tatizo.
Hata kushiriki kwa wapinzani ni tatizo. Mshaambiwa uchaguzi unasimamiwa na TAMISEMI mwenye chama na machawa...
Wakuu,
Kuna vitu mpaka aibu unaona wewe! Useless kabisa!
Baadhi ya viongozi wa dini nchini wamesema kuwa wamebaini viashiri vya uwepo wa namba za simu za nje ya nchi zikihamasisha taarifa...
Wakuu,
Vibaraka wa kuonesha justification ya udhalimu umefanyika wanaendelea na kazi yao. Watu watatu chama kimoja wamepoteza maisha afu mnajifanya vipofu mambo yalikuwa shwari?
=====
Kupata...
Uchaguzi ni mchakato wa amani, huru na haki. Waziri Mchengerwa anapaswa ajiuzulu kutokana na mauaji ya watu watatu katika kipindi cha maandalizi ya uchaguzi.
Kama mhusika Mkuu wa uchaguzi husika...
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA MZIMUNI YAMEJIRUDIA YA MWAKA WA 2020
https://fb.watch/w8Q90VtSG-/
Nimefika kituoni kwangu Magomeni Mapipa Shule ya Mzimuni kupiga kura saa tatu asubuhi na nilikutana...
Uchaguzi wa serikali za mitaa umepita lakini kama kawaida umeacha somo lile lile ambalo vyama wameshindwa kulisoma na kufaulu mtihani wake
Ukweli ni kwamba watu wengi hawakipendi chama cha CCM...
Mwenyekiti wa Mtaa wa Makaburi A, Kata ya Mji Mpya, Manispaa ya Morogoro kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Hamis Lukinga maarufu kama 'Mzee Kiuno' (70) aliyehudumu kwenye uongozi huo kwa miaka 30...
Wenyeviti 36 na wajumbe wa serikali ya mitaa 180 katika Halmashauri ya Mji Kondoa Mkoani Dodoma wameapishwa tayari kuanza kutekeleza majukumu yao katika serikali za mitaa.
Akizungumza baada...
Wakuu,
Kwahiyo wamewapanga hawa waangalizi ili kujustify udhalimu wao! Mwakani hali itakuwa mbaya!
=====
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la FAOPA, Mtwara (Wadau wa masuala ya Demokrasia na...
Ndugu zangu Watanzania,
CCM imeendelea kuonyesha Umwamba wake katika siasa za Nchi hii na Bara zima la Afrika.imeendelea kuonyesha namna inavyokubalika ,kupendwa ,kuungwa mkono na namna ilivyo na...
Watanzania hawaandamani lakini wanamlilia mwenye mamlaka mbinguni na duniani awaadhibu wale wote wanaogiza, kubariki na kutekeleza mauji ya watu wasio na hatia pamoja na ukatili mwingine wowote...
Uchaguzi wa Serikali za mitaa ukiwa umemalizika kwa amani na utulivu na tukiwa tunaendelea kusubiri matokeo kwa maeneo ambayo matokeo bado hayajatangazwa, tutumie muda huu kuijadili kauli ya...
Bwashee, mtaa wako una Mwenyekiti mwenye Kiti na CPA? :D Basi kutana na Celina Mkonye wa kule Mbweni.
Mara baada ya kula kiapo cha utii na uadilifu, Mwenyekiti aliyechaguliwa wa Mtaa wa Malindi...
Wakuu,
Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe limetoa ufafanuzi kuhusiana na Zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo lilifanyika tarehe 27.11.2024 mkoani Njombe.
Ni kwamba Jeshi la...
Wakuu Nina Demu Mmoja Mwalimu ni mchepuko wangu wa miaka na miaka.
Demu huyu mwaka 2020, alikua msimamizi wa uchaguzi sehem Fulani Kituo Fulan.
Kwan so mnajua Mashine ikikolea? Mwanamke hutoa...
Bendera ya Chadema ina rangi nyekundu, kila mtu anajua maana ya nyekundu ni nini, lakini pia ukisoma Katiba ya Chadema unaona kabisa kuwa kwa namna ilivyoandikwa inaashiria kuwa wao ni watu wa...
Kada ya CCM Tarime mkoa wa Mara Zakayo Wangwe aelezea kwa kina hali ya siasa Tarime na changamoto iliyopo ikiwa mbunge wa CCM Waitara atapitishwa kugombea 2025
Kada Zakayo Wangwe amesema kuwa...
Rais Magufuli na Mkewe Janeth Magufuli leo Januari 02, 2019 wamemjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.
Sent using Jamii Forums...
Wadau,Rais mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi amelazwa Hospitalini kwa siku kadhaa sasa,tukiwa kama watanzania basi tuungane kwa pamoja kumuombea mzee wetu huyu mpendwa na kumtakia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.