Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nilikaa luningani kusubiri kama Moshi mweupe utaelekea Juu Mbinguni, na kweli ikawa hivyo na kumaanisha Mungu wa mbinguni amekubali Uteule wake Kwa 100% Mara ya pili ndio jana katika Halmashauri...
1 Reactions
7 Replies
223 Views
Hakika CCM ni chama zoefu katika siasa.Huu ni mwaka mwingine CCM pamoja na kupitia vipindi vigumu imeweza kijitetea vyema na kwa sauti kubwa. CCM kama ilivyo vyama vingi vikongwe imeendelea...
1 Reactions
20 Replies
591 Views
Kwa kuwa ccm wao wanaua, wanateka na kudhulmu haki za uchaguzi, basi chadema iangalie namna ya kukabiliana kivitendo na mauaji, utekaji na dhulma ya haki ya kuchagua na kuchaguliwa. Dawa ya moto...
3 Reactions
37 Replies
874 Views
Wanabodi Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, Serious Media inaweza kuwabaini...
65 Reactions
378 Replies
18K Views
Ni takribani miaka 33 sasa juhudi za kuiondoa CCM madarani zinafanyika nchini TANZANIA bila mafanikio yoyote. Kadri miaka inavyodhid kwenda CCM wameendelea kujiimarisha Kwa njia halali na haramu...
12 Reactions
74 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa post ys Tundu Lissu kwenye mtandao wa X, aliekuwa mgombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa huko Manyoni mkoani Singida, bwana George Juma Mohamed aliepigwa risasi na...
8 Reactions
33 Replies
872 Views
Jana katika kipindi cha jioni alikuwepo mtu mmoja aliyejitambulisha kama Bantu. Alikuwa ameanza kuzungumzia jinsi alivyouona uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopita. Alikuwa anaongea maneno ya...
4 Reactions
9 Replies
582 Views
Wakuu, Leo, katika tarafa ya King'ori, wilaya ya Arumeru, viongozi wapya wa serikali za mitaa wameapishwa rasmi. Sherehe hiyo iliongozwa na hakimu wa mahakama ya eneo hilo, ambapo wateule...
0 Reactions
8 Replies
665 Views
Leo Novemba 27,2024 huko Mikumi karani wa Uchaguzi amekamatwa live akiwa na karatasi feki za kura ambazo zote zinaonesha kuwa CCM imeshinda Uchaguzi. Kiongozi wa CHADEMA alionekana kukamata...
0 Reactions
2 Replies
228 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amepongeza vyama 19 vya siasa kwa kushiriki kwa uwazi na utulivu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, licha ya baadhi yao...
0 Reactions
14 Replies
528 Views
Kituo cha Daladala cha Mbezi Stendi upande wa chini, zinakopaki Daladala za Kinyerezi na Bajaji za Malamba Mawili, kuna takataka zimerundikwa kwa muda mrefu sasa zinatoa harufu kali sana, mbaya...
1 Reactions
9 Replies
559 Views
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana katika kikao cha dharura kesho, Ijumaa tarehe 29 Novemba 2024. Kikao hicho kitajadili matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Wakuu, https://www.youtube.com/live/y9aCDGcQnto?si=d5b_CohHLJqdeUuh Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo Dorothy Semu anazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari leo katika ofisi kuu za...
0 Reactions
0 Replies
299 Views
Heshima kwenu wanajamvi. Mgombea uRais wa CCM ni Samia Suluhu Hassan. CHADEMA mgombea wenu nafasi ya uRais ni nani? Kila nikichanga karata zangu mgombea anayefaa kubeba heshima ya kukiwakilisha...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Wako wapi wale Makamanda waliokuwa wanamchukulia Poa Komredi Makala na mchungaji Msigwa? Bwashee Retired uko wapi? Mshana Jr Je? Wapi mrangi ova Jumaa Mubarak
3 Reactions
22 Replies
385 Views
Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa Itikadi ,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makalla anatarajia kuzungumza masuala mazito na waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi...
2 Reactions
18 Replies
759 Views
Ndiyo nipo kwenye vijiwe vya kahawa ndiyo habari kubwa ni hiyo ya makamanda wanalalamika eti pesa zinaliwa na wachache tu huku juu tu ila makamanda wa chini hawaambulii hata thumni ndiyo maana...
0 Reactions
1 Replies
168 Views
Hivi hata kama Watanzania ni Wajinga na Mbumbumbu wa kiwango cha Maiti ya Mnyama, hivi ni kweli bado kuna mtanzania anayeweza kuliamini Jeshi la Polisi la Tanzania linapokuja jambo linalohusu...
5 Reactions
23 Replies
822 Views
"Uchaguzi mwaka huu na mwaka ujao utakuwa wa huru na wa haki, wakati nazungumza hivi nina hakika wapo ambao wana mashaka na kauli hii, na hao wenye mashaka wanazo sababu, na sababu zao zinatokana...
10 Reactions
106 Replies
7K Views
Ni aibu kubwa kwa chama kinachojisifia kuwa kinapendwa na wananchi na kupigiwa kura za ushindi katika chaguzi. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana, amekuwa akiwaambia wananchi kuwa uchaguzi ujao...
1 Reactions
3 Replies
529 Views
Back
Top Bottom