Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
ACHAMBUA MATUKIO YA UCHAFUZI WA UCHAGUZI WA TAMISEMI 2024 https://m.youtube.com/watch?v=gRp4sZuVa-A Kada wa CCM akihoji chama dola kongwe na serikali yake kwa kuteka na kuvuruga mchakato mzima wa...
0 Reactions
7 Replies
437 Views
Wananzengo nimeona mtandaoni barua toka Canada, Mtanzania akimlilia Dr Ndugulile: FROM OTAWA...........................Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini ...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna mauwaji ya kigaidi yaliofanyika kwenye uchaguzi huku wengi wameuliwa kwa kupigwa risasi, lakini cha kushangaza hatuwaoni viongozi wetu wakikemea vitendo hivyo kama vile ni vizuri hii sio sawa...
0 Reactions
1 Replies
277 Views
Wakuu habarini za wakati huu, nakuja mbele zenu muda huu kuwasilisha wimbo wangu ambao nimetengeneza mahususi kwa ajili ya Rais wetu, mama mpendwa tena kipenzi cha watanzania, unaoenda kwa...
0 Reactions
8 Replies
460 Views
Mbunge wa jimbo la kinondoni kupitia CCM Mheshimiwa Talimba Abbas, alitakiwa ahojiwe japo Kidogo asaidie Polisi wajue sehemu ya kuanzia kutokana na kuporomoka kwa Gorofa la kariakoo lililoua Watu...
18 Reactions
81 Replies
5K Views
Jumla ya wenyeviti na wajumbe 1953 leo Novemba 28.2024 wameongozwa kula kiapo cha uaminifu na uadilifu na Hakimu Mkazi Mahakama ya Mwanzo Illuminata Lutakana mara baada ya viongozi hao kushinda...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Watu wasiojulikana wamevunja ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Nyandewa na wengine kuiba masanduku ya kura na kutokomea nayo kisha kuyatelekeza porini huku watu watano wakikamatwa baada ya kukutwa...
0 Reactions
3 Replies
337 Views
Ukitoa ujinga wa Yanga na Simba mambo ya Betting ni moja ya eneo ambalo CCM wanajidai nalo kwa sababu ni sehemu pia ya kuzalisha sasa sio wajinga tena bali ni mazezeta wasio weza kuhoji lolote...
2 Reactions
2 Replies
149 Views
Wakuu, Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya mji Makambako ambaye pia ni msimamizi wa uchaguzi Keneth Haule, amewapongeza wagombea wote walioshiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa jana...
0 Reactions
1 Replies
181 Views
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limesema ili kuhakikisha wananchi wanaitumia kikamilifu haki yao ya kuweka viongozi wanaowataka ni lazima kuwe na mfumo wa wazi, wa haki na...
13 Reactions
37 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Mtaa wa Kijitonyama katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Steven Jovin amesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Novemba 27, 2024 ulikuwa huru na wa haki na...
0 Reactions
1 Replies
196 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Makini Mkoani Arusha Simon Ngilisho amesema kuwa zoezi Upigaji kura limeanza vizuri lakini bado kuna changamoto kubwa ya utafutaji majina Akizungumza na...
0 Reactions
1 Replies
115 Views
Wajumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Simiyu, wakiongozwa na Kaimu Shekh Issa Kwezi, wameeleza kuridhishwa na zoezi la upigaji kura lililofanyika jana Novemba 27, 2024. Shekh Kwezi amesema kuwa...
1 Reactions
0 Replies
167 Views
Watu 30 wamefariki dunia Kutokana na ajali za barabarani Mkoani Kwa muda wa miezi 2 Kwa mujibu wa habari iliyonukukiwa na gazeti. Tukiwa tunaelekea mwishoni mwa mwaka, uzembe wa madereva na...
0 Reactions
6 Replies
231 Views
Chadema Tuache kuwa keyboard worriors ebu tujitafakari kwa haya matukio ya uchaguzi ya kuuawa kwa viongoz wetu na kuibiwa kura tutalalamika mpaka lini
2 Reactions
17 Replies
531 Views
Wakuu, Msimamizi wa uchaguzi wa halmashauri ya Liwale, Tina Sekambo, ametangaza rasmi matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa leo, Novemba 28, 2024, ofisini kwake, mbele ya waandishi wa...
0 Reactions
1 Replies
301 Views
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Ng'wilabuzu Ludigija, amewapongeza wananchi wa wilaya hiyo kwa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji kwa amani na utulivu, bila kuzusha fujo...
0 Reactions
1 Replies
205 Views
Kuna category mbili za wanachama wa CCM a) The Selfish b) The ignorant. a) The selfish. Hawa wanufaika wa mfumo moja kwa moja. Wanajua ubaya wote ila wana hofu na mabadiliko kwa kuwa yatagusa...
1 Reactions
2 Replies
144 Views
Wakuu, Wananchi wa kata ya Ruaha Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wamefanya zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa Leo Novemba 28, 2024 baada ya zoezi hilo kuahirishwa siku ya jana kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
177 Views
Back
Top Bottom