Wakuu,
Askofu Mkuu Mstaafu wa Makanisa ya Elim Pentekoste Tanzania, Peter Konki, amehimiza wananchi kuendeleza umoja baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, na kuvitaka vyama vya upinzani...
Wenyeviti wa mitaa wateule 106 na wajumbe 530 kutoka katika kata 20 za Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, wameapishwa leo Novemba 28, 2024 katika Ukumbi wa Soko Kuu la Magomeni...
Nilichokiona kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa ni kwamba wananchi Wana muamko wa kupigia kura upinzani shida upinzani umegawanyika.
Nina shauri ya kwamba upinzani wafikirie kutengeneza...
Mgombea wa nafasi Mwenyekiti wa Kijiji cha Kabwaga, Kata ya Mwamkulu Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi, Helman Lutambi Mzee amesema Novemba 27, 2024 siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa amedai...
Mawakili wa ADANI wamesema kampuni hiyo ni kubwa na huombwa kuwekeza katika nchi mbalimbali hivyo Mikataba yao haina shida
Wamesema hata mashtaka ya mmiliki wa ADANI, mpwa wake na CEO hayahusiani...
Wakuu,
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia Gidion Kefasi Siame (34) Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Momba na Fiston Alinoti Haonga (57)...
Wakuu,
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Babati mjini Shaban Mpendu ameeleza uhalisia wa madai ya CHADEMA kuwa mawakala wake 63 waliondolewa kwenye vituo wakati wa upigaji kura.
Kupata taarifa...
Kuna tatizo gani kama Waislamu wa Tanzania wameamua kujiunga na OIC?
OIC ni Taasisi ya Ushirikiano wa Waislamu Duniani na BAKWATA ni Baraza la Waislamu hapa hapa Duniani sasa watajitengaje na...
Wakuu,
Kwahiyo waliacha matobo makusudi ili waje watuambie watafanya vizuri wakati mwingine, wakati wananchi watakaa na uozo huo kwa zaidi ya miaka 3?
Eti taifa letu changa, mfumo wa vyama vingi...
Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana ni hatari tupu. Mambo ya ovyo yalifanyika wakati wa uandikishaji, uchukuaji fomu za kugombea, urudishaji fomu, uapishaji mawakala, kabla, wakati na...
Habari zenu. Kwanza naandika kuuliza hili swali nikiwa mpya katika masuala ya siasa. Hivyo mnaponipatia majibu naombeni kuzodoana na kejeli na kukashifiana viwe pembeni. Tunaelimishana tu
Kati ya...
Nawapongeza sana Ltn usu walio veshwa lea nyota poleni kwaza na kozi pia hongereni sio kazi ndogo wengine wanatoroka tu msata (kihangaiko)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi...
Hakika hawa machawa wa mama Kizimkazi wanatuona Watanzania bado ni wajinga sana!
Omary Mjenga ni mwanadiplomasia Mwandamizi na Mtendaji Mkuu wa National Defense College leo ametetea Rais Samia...
Wenyeviti wa Mitaa wateule 106 kutoka katika kata 20 za Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, wanaapishwa leo Novemba 28, 2024 katika Ukumbi wa Soko Kuu la Magomeni.
Msimamizi wa Uchaguzi...
Mpaka Muda huu saa 10 na nusu jioni siku ya pili ya uchaguzi hapa kijijini kwetu kikunja Halmashauri ya wilaya Songea hatujabandikiwa matokeo ya uchaguzi kwa ngazi ya wenyeviti wa vijiji.
Kila...
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Kata ya Ikana, Wilayani Momba, Amos Sikamanga (41) amelazwa katika kituo cha afya Tunduma akidaiwa kujeruhwa vibaya kwa kuchomwa kisu cha utosi na viongozi...
Wakuu,
Wakala wa Chadema Edward Odingi ameshikiliwa na jeshi la polisi mara baada ya kuchukua boksi la Karatasi za kupigia kura na kuondoka nazo akiwa na mgombea wake
Kwa mujibu wa Kamanda wa...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kigoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari
Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.