Nimemkumbuka aliyekuwa mbunge wangu pale Kilolo mh Mwamasika ambaye alijiuzulu ubunge ili akamtumikie Mungu kama Askofu wa KKKT
Siku hizi kuna mbunge ambaye alianzia kwenye Uaskofu.
Mambo...
Jimbo la Rorya limeshinda vijiji 84 kati ya 87 na vitongoji 470 kati ya 508. Ushindi huu ni zaidi ya 97% .
"Ushindi huu unatupa dira na mwelekeo wa uchaguzi wetu wa Serikali kuu mwakani lakini...
Wakuu,
Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa jimbo la Nzega Vijijini na Bukhene, Mhandisi Modest Apolinary amekanusha kuhusu tuhuma zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa wakala wa Chama...
Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika tarehe 27 Novemba 2024, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi katika kijiji cha Itamba, wilayani Mbarali, kwa kushinda...
Kuna maeneo utaona sijui chauma, UDA ,ACT n.k
Vinaweza kupewa baadhi ya vijiji au ubalozi..
Ili kufukia mashimo nchi ionekane ina demokrasia..
Ila once again CHADEMA poleni
Hii itakuwa zaidi ya...
Wakuu,
Maake hapo kwanza ncheke!
===
Jeshi la Polisi mkoani Rukwa limetoa ufafanuzi wa taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu vijana sita wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukamatwa...
Katika hali ya kawaida ni ajabu kwa mtu kuamua kuthaminisha andazi na mtu au taasisi. Hata hivyo, kama ambavyo Sheria ya Sababu na Athari (Cause and Effect Law) ya Aristotle (384–322 BC)...
Na. Sheikh Ponda Issa Ponda
Kesi iliyofunguliwa na Waumini wa Kiislamu 12, dhidi ya MSAJILI WA VYAMA VYA KIJAMII WIZARA YA MAMBO YA NDANI, Kabidhi Wasii (RITA), MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI...
Wakati misuko misuko ya kisiasa ilipokuwa upande wa Zanzibar, wanasiasa wengi waliamini mizozo ya kisiasa ya Zanzibar ni ya kihistoria, hawakujua kwamba ilikua nguvu moja kuindoa nyingine...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Njombe Rose Mayemba amedai kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana, Novemba 27.2024 nchini kote haukuwa...
Wakuu,
Katika kipindi hiki ambacho matokeo yanaendelea kutangazwa, mengine mapya yanaibuka.
Aliyekuwa mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF) mshindi wa Uchaguzi katika mtaa wa Kijenge Kusini, kata...
Wakuu,
Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda Uenyekiti wa kijiji kwenye vijiji vya Ligoma, Chikomo, Mbesa na Amani vilivyopo kwenye jimbo la Tunduru Kusini, mkoani Ruvuma.
Ikumbukwe kuwa uchaguzi...
Hilo ni swali ninaloliuliza kwa nia njema kabisa.
Ni swali ambalo limekuwa likinijia kichwani mwangu baada ya Rais Samia kuwa Rais.
Nimeona na nimesikia sana kuwa Sasa Rais Samia “ is returning...
Wakuu,
Huko Misungwi mkoani Mwanza Mawakala wa Uchaguzi wapongeza zoezi la kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Soma pia: Matokeo ya Uchaguzi Mwanza yaanza kutangazwa, CCM yaongoza...
Wakuu,
Kupitia ukurasa wa X Zitto Kaandikwa haya;
Kijiji cha Kiranjeranje kilichopo jimbo la kilwa kusini mkoani lindi,ACT Imeshinda kijiji na msimamizi aliamua kuwa atatangaza. Polisi...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema yeye binafsi hajutii kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa vijiji na vitongoji uliofanyika jana Novemba 27 2024.
Lissu ameyasema hayo...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Iringa Mjini, Frank John Nyalusi, amezungumzia hujuma zilizojitokeza katika upigaji kura wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Siwapendi CCM ila juna wakati nikisikiliza nyimbo za Caotain Komba huwa nabaki natabasamu,maneno kama mtaisoma namba,CCM ni ile ile,yanakera na kufurahisha kwa wakati mmoja.
CCM wanapiga tu...
Tunapofunga vituo vya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Taifa limeendelea kushuhudia tena ubaradhuli wa wazi na wa aibu toka kwa mamlaka zote za Serikali kushirikiana kuipatia CCM...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi mkubwa katika Kata ya Mbokomu, baada ya kushinda vitongoji vitano kati ya saba. Ushindi huu unathibitisha umaarufu wa CHADEMA katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.