Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuzimwa kwa njia kuu ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovoti 220 kutoka Shinyanga hadi Bulyanhulu, pamoja na vituo vya kupoza umeme vya...
Wakuu,
Polisi safari hii ni boko baada ya boko! Siku hizi mbili yametoka matamko naona karibu ziko zote toka nianze kufolo page za polisi TZ.
=====
TAARIFA KWA UMMA
Zipo taarifa kwenye...
Tangu mwanzo wanasiasa hawa walikuwa wakiongea maneno ya hovyo, kwenye mikutano ya TCD, mikutano ya kutoa maoni ya dira ya Taifa, mikutano yoyote yenye mikusanyiko ya watu, walikuwa wakitoa kauli...
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe, Augustino Senga amezungumza na JamiiForums na kueleza kuwa hawajapokea malalamiko yoyote kutoka kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu...
Wakuu,
Imeelezwa kuwa sababu zilizopelekea kata ya Ruaha, jimbo la Mikumi, mkoani Morogoro yenye vijiji vinne (4) na vitongoji 21 kushindwa kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa hapo jana...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Njombe Rose Mayemba amedai kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana, Novemba 27.2024 nchini kote haukuwa uchaguzi kama...
Ikiwa zimesalia saa chache kabla ya kufanyika kwa zoezi la Uchaguzi wa Serikali za mitaa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz Kanda ya Viktoria kimetangaza kupotea kwa mgombea wa chama...
Wana-Kigamboni tufanye Jambo moja tu. Kura zote kwa Komredi DAB
Kuhusu kifo cha mbunge wa Kigamboni, soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia
Hakuna miujiza yoyote wanayofanya ccm, wakati wa uandikishaji wakala anatakiwa kuwa na idadi ya wanaoandikishwa kila siku mpaka siku ya mwisho orodha kamili awe nayo na ifikishwe chamani.
Pili...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Issakwisa Thobiasi Lupembe amedai wakati wa mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Novemba 27, 2024 kulikuwa na matukio ya vitisho kwa...
LYENDA (iamLyenda) posted at 5:57 PM on Wed, Nov 27, 2024:
Tunachukua fomu kwa SHIDA.
Tunarejesha fomu kwa SHIDA.
Tunateuliwa kwa SHIDA.
Tunafanya kampeni kwa SHIDA.
Tunapiga kura kwa SHIDA...
Mgombea Uenyekiti wa Mtaa wa Mtoni, Kata ya Ruanda, jijini Mbeya kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Elisha Chonya, ameyakataa matokeo akidai kanuni zilivunjwa huku msimamizi...
Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika tarehe 27 Novemba 2024, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi mkubwa katika Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe, hasa katika...
Hiyo ndyo yaliyotokea karatu, Polisi wakishirikiana na Green Guard CCM walipora na kutangaza wagombea wote wa CCM.
Walikuwa wanatembea kituo hadi kituo kupora wakiwa na green guard.
Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika baadhi ya mitaa Jijini Mwanza yameanza kutangazwa, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikionesha kuongoza kwenye vituo vingi Wilayani Nyamagana.
Aidha...
1. Ikiwa Bunge, Mahakama, vyombo vya ulinzi na usalama na kila kitu vipo mikononi mwa mtu mmoja:
Je, kuna demokrasia hapo?
Je, kuna haki hapo?
Kwa kifupi, ni kwamba kama mchakato mzima wa...
Wazee wa ACT Wazalendo Kigoma Waufuatilia Uchaguzi Kwa Namna Yao, ‘Dua’.
Ikiwa zimebaki siku nane kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mnamo Novemba 27,2024, wazee wa ACT...
Baada ya kupogwa vibaya tena na tena na ccm kazi inayofata ni kulalamika kama ilivyo jadi yetu.
Baada ya hapo sasa twende kwenye point ya msingi ambayo mbowe haitaki ya tunafanyaje nani...
Kamanda Agness Chilulumo , aliyewahi kuswekwa jela kwa sababu alikuwa mwanachama wa Chadema , leo amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Songwe .
Ikumbukwe kwamba Mkoa wa Songwe ikiwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.