Nape hakumung'unya maneno, alisema wazi kuwa si rahisi mtu kushinda kwa kura wakati ipo namna kumtagaza aliyeshindwa kupitia watangaza matokeo.
It seems falsafa hiyo ya Nape ndiyo Chama...
Afisa uchaguzi jimbo la Iringa mjini, Bernard Mwaituka, akitolea ufafanuzi kwa njia ya simu kupitia kipindi cha Kiyoyozi cha Nuru FM juu ya madai yaliyotolewa na CHADEMA kuhusu hujuma...
Jana tumepata wasaa wa kushuhudia Uchaguzi wa Serikali za mitaa tuliosubiria kwa muda mrefu. Licha ya kuwa umefikia idadi ya chaguzi Tisa (9) Toka uanze kufanyika hapa nchini lakini bado kuna...
Lema alidai CHADEMA watashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa na kuahidi kupambana. Pamoja na sisi wanachama kudai ya kwamba CHADEMA isishiriki huo uchaguzi lakini bado Viongozi hao akiwemo Lema...
Kuiondoa CCM ni sawa na kupoteza muda kwasababu chama kingine kitakachochukua nafasi ya kuongoza kiuchumi kitakuwa kina tumia mfumo huu wa sasa.
Sina elimu ya juu kama great thinkers wengi humu...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda katika mitaa yote minne ya Kata ya Osunyai Jr, ambapo matokeo ya mitaa hiyo ni kama ifuatavyo:
1. Osunyai
2. Mtaa wa Jr
3. Kirika B
4. Ngusero
Rais Samia anashiriki Sherehe za Kamisheni na Maafisa Wanafunzi Kundk la 05/21 BMS na Kundi la 71/23 - Regular
https://www.youtube.com/live/uuq-aF1HXbY?si=OQc1YOXG3AfhD2Ou
Kwa jicho la kichawa unaweza kufurahia yanayoendelea, lakini kiukweli upendo, umoja na mshikamano wa watanzania vinadhoofu kila siku. Historia itakuja kutuhukumu kwa kutochukua hatua stahiki...
Ndugu zangu Watanzania,
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama...
Hi ni muhimu kuweza kuwafikia watu wengi hasa vijijini. Nasema hivyo kwa sababu Kata yangu hapakuwepo na mgombea wa CHADEMA na it seems watu hawana mwamko na CHADEMA kwasababu hakuna...
I humbly ask and think is it a third wave of COVID-19? Or is it just another wave of compulsory intoxication of key leaders and popular personnel to justify something bigger?
I have to go in a...
Mkoa wa Singida upo kanda ya kati, ukipakana na mikoa ya Manyara upande wa kaskazini, Dodoma mashariki, Iringa na Mbeya kusini, Tabora upande wa magharibi na Shinyanga. Mkoa wa Singida una ukubwa...
Wakuu
Hapa mori ilipanda
Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai, alikumbana na hali ngumu jana katika kijiji cha Nasipaoriong, eneo la Endulen, karibu na kituo cha Ormekeke. Wananchi...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema Wakala wao katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, TINGA TOGORO KERANGA kutoka Kata ya Hunyari, Kijiji cha Mariwanda, Kituo cha Kilimani alifanyiwa fujo kwa...
Salaam Wakuu,
Nimesikitishwa sana na Kitendo kilichofanywa na Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Siasa kinachogombea, kuingilia Mchakato wa Uchaguzi Serikali za Mitaa.
Huwa amekuwa...
Wanabodi
Ni juzi Ijumaa niliuliza humu Kigugumizi cha nini kwenye Uraia Pacha? Shuhudia unavyowakwamisha Watanzania kuwekeza nyumbani. Miradi, mijengo ya maana ingeota kama uyoga, leo nakutana na...
Taarifa kamili hii hapa
Vijana waliovalia Sare zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi kama wanavyoonekana kwenye Picha wamevamia Nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Mkoani Rukwa Mhe...
Wakuu,
Ili kuzifikia nyuzi hizi kirahisi, hapa utapata orodha yote ya mikoa inayoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, ambamo ndani yake utapata links za matukio yote yanayojiri katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.