Fadhili Nassoro (CCM) ameibuka kidedea wa nafasi ya uenyekiti wa Mtaa wa Calfonia, Kata ya Nyegezi jijini Mwanza kwa kupata kura 1,649 kati ya kura zilizopigwa 2,198.
Akitangaza matokea leo...
Wakuu,
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda nafasi zote 84 za Uenyekiti wa viijiji katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu uliofanyika jana...
Wakuu salam,
Binafsi simjui kivilee huyu bwana ila ni moja ya kifo cha kiongozi ambacho kimeniuma. Nimeanza kumfahamu hivi karibuniakiwa mbunge karibia na ushindi wake WHO.
Tar 27/8/2024...
Wakuu,
Hii ni Arusha wananchi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waandamana kupinga matokeo wakidai haki yao jana usiku baada ya matokeo kutangazwa.
Kupata taarifa na matukio ya...
Moja wapo ya mambo ambayo nilitamani kuyaona katika uchaguzi huu, ni kuona wanawake nao wanashinda katika nafasi walizawania.
Hongera sana na kafanye kazi haswa kwenye mtaa wako!
================...
Kwa walivyo na roho mbaya, wabaguzi, na wenye roho ya korosho, je kuna wabongo wanaoishi na kufanya biashara India? Kama wapo, nao wanatesa kama magabacholi wanavyofanya nchini?African victims of...
Ndani ya kipindi cha wiki tatu tu Tanzania tumeshuhudia vifo vya viongozi wawili wa kitaifa wakifariki wakati wakitibiwa kisiri huko India kinaashiria bado huduma zetu za kiafya hapa Tanzania ni...
Wakuu,
Mawakala wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Bukene na Wakala wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Jimbo la Nzega vijijini, wamekimbia na maboksi ya kupigia kura baada...
Ifahamike kwamba, inaeezekana kabisa kuwachukia viongozi wetu kwa baadhi ya mambo hasa ya kisiasa ila si kuona wala kusikia wakifa mara tu wanapougua na kwenda India kwa matibabu
Kama Taifa...
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika mkutano wake wa hadhara wilayani Tarime mkoani Mara amesema mwanachama atakayempigia simu akilalamika kwamba hawajamtangaza...
Leo majira ya saa 5 asubuhi nimeenda kupiga kura (uchaguzi wa wenyekiti) Mimi sio mwanasiasa na sijui hata majina ya wanao gombea, lakini nilijipanga kuenda kuwachagua wagombea wa upinzani pekee...
Rais, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pole na Kazi nzito ya kuliongoza Taifa letu pendwa hili la Tanzania. Mambo ni mengi sana ya kuendelea kusemezana na wewe kupitia...
Hatimaye Chama cha ACT Wazalendo wamenyakuwa kiti cha uwenyekiti moja wapo wa mtaa ndani ya Jiji la Dar es Salaam.
Tuendelea kusubiri wapi tena watachukua nafasi
====================
Chama cha...
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
Wakuu,
Amesema Mchengerwa wakati anahojiwa na mwandishi wa TBC, kuwa kuna baadhi ya maeneo ambayo kumetoa sintofahamu mbalimbali, hasa maeneo ya Morogoro kuwa amewaambia watafanya uchaguzi...
Wakuu,
Huu uchaguzi ni balaa!
======
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamtafuta Joseph Shila, Katibu Mwenezi wa CCM Kata ya Mitunduruni, Wilaya ya Singida kwa tuhuma za...
Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa wakidaiwa kufanya vurugu kwenye vituo vya kupigia kura kwenye Wilaya za Pangani na Tanga mjini, wakati upigaji kura ukiendelea.
Akizungumza...
Wakuu mambo yameanza kuchangamka sasa. Unaweza kusema walichokuwa wanatarajia wamekikosa kabisa!
===============
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM tawi la SOKONI katika mtaa wa MGUMIA...
Chama cha @actwazalendo_official kimeshinda uenyekiti wa kijiji cha Nkoasenga kilichoko Kata ya Leguriki Jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha, kwa kura 528 dhidi ya kura 418 za CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.