Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ona namna shule, madaraja barabara na shule pia hospitali zinavyojengwa . Je ni Mtanzania gani angechagua upinzani? Hii ndio sababu ya wagombea CCM kupita bila kupingwa kwa asilimia 90.
2 Reactions
24 Replies
628 Views
Huko Kata ya Ruhuhu, wilayani Ludewa, mkoani Njombe, karatasi za kupigia kura hazikuwa na majina ya wagombea kupitia CHADEMA. Wananchi waliweza kuzuia uchaguzi usifanyike. Mtendaji kata bwana...
7 Reactions
6 Replies
819 Views
Wakuu, Waziri Mchengerwa akiwa anahojiwa na mtangazaji wa TBC, Dar, amesema kuwa yapo maeneo ambayo matokea yalishaanza kutangazwa kwani Wasimamizi Wasaidizi walishapewa maelekezo kwamba pale...
2 Reactions
5 Replies
374 Views
WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Wana JF, Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili...
17 Reactions
82 Replies
2K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda Kijiji cha Nkoasenga kilichoko Kata ya Leguriki Jimbo la Arumeru Mashariki. ACT Kura 528 CCM Kura 417 Kwa hivyo Jotsun Mbise ndio Mwenyekiti wa Kijiji cha...
1 Reactions
5 Replies
533 Views
Iringa ni mkoa uliopo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania, kati ya latitudo 6.540 na 100, na longitudo 33 na 37° Mashariki. Mkoa huu unachukua eneo la kilomita za mraba 58,936. Iringa ni mji wenye...
1 Reactions
3 Replies
474 Views
Hivi viongozi Wetu na Wanasiasa ndio wameishiwa Ubunifu Kwa kiwango hiki? Yaani Leo Kiwanda cha Nguo URAFIKI kimekuwa Stendi ya Mabasi?! 🐼 Waziri Jaffo huwezi kujiongezea kweli? RIP Faustine
6 Reactions
43 Replies
1K Views
Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika? Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya...
6 Reactions
64 Replies
2K Views
Uchaguzi umeisha leo, walioshinda na walioshindwa wote watanzania, cha msingi wananchi wanataka huduma na sio bora huduma, mnaopanga kufanya vurugu mnajitafutia kifo na jela tu
0 Reactions
0 Replies
115 Views
Huu ni ushauri ambao naupeleka kwa Mamlaka ya Uteuzi Kimsingi Tamisemi ndio Wizara ya Mahusiano kwa umma, Ndio Daraja la Amani ya Nchi, Wizara hii inataka mtu mwerevu, kifua kipana siyo kigezo...
6 Reactions
40 Replies
956 Views
Mambo yamezidi kuwa moto huko Bukondamoyo kata ya Mhungula wilaya ya Kahama wakishinikiza mgombea kupitia CHADEMA atangazwe Sijui itakuaje. Asubuhi walikamata kura feki.
0 Reactions
12 Replies
702 Views
Wakuu, Ni mwendo wa kujisafisha sasa hivi na kujifanya mwema na mwenye huruma mpaka kieleweke. ===== Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imetoa gari jipya la kuhudumia wagonjwa lenye...
4 Reactions
38 Replies
996 Views
Wakuu, Mbona mambo yanazidi kukorogwa! Aliyeelewa hapa aniaeleweshe! ==== Wakati Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akidai mgombea ujumbe wa chama chake Mtaa wa Ulongoni A, Modestus...
1 Reactions
5 Replies
756 Views
Wakuu, Oneni huyu mpuuzi! Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara...
11 Reactions
56 Replies
2K Views
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la...
15 Reactions
74 Replies
3K Views
kwenye hii kesi jamaa yetu alichaniwa shati akiwapambania kawaingiza chaka wakafungue shauri canada yaani tumbili akashitakiwe kwa nyani. Anyway, yaani tukishitaki tunashindwa, wakitushitaki...
0 Reactions
0 Replies
136 Views
Hayo yamebainishwa katika taarifa iliyowekwa na TAMISEMI katika ukurasa wao wa Mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA JUU YA UPOTOSHAJI WA UWEPO NA KARATASI FEKI(BALLOTPAPER) ZA KUPIGIA KURA KATIKA...
0 Reactions
2 Replies
248 Views
Msimamizi wa uchaguzi amekamatwa Kura feki 25 zilizo pigwa kabisa kwa Mgombea wa CCM, Haya Mauchafu Yanaendelea Nchi Nzima.
2 Reactions
38 Replies
1K Views
Akizungumza na wananchi wa Dumila jana Novemba 24, 2024 katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika aliwataka wafuasi wa chama hicho kutokuondoka kwenye vituo vya kupigia kura mara baada ya kupiga kura...
4 Reactions
40 Replies
1K Views
Back
Top Bottom