Baraza la Wanawake Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) Kanda ya Pwani leo Novemba 27, 2024 limetembelea vituo vya kupigia kura katika mitaa mbalimbali ya Kinondoni likiwa limeambatana na...
Watu wenye ulemavu wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza wameiomba serikali kuwawekea mazingira wezeshi ya kupiga kura kwa kuwawekea karatasi zenye maandishi ya nukta nundu yatakayowawezesha kupiga...
Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jijini la Dodoma ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Dkt. Frederick Sagamiko amesema vurugu zilizoibuka katika kituo cha kupigia...
Kata ya Nkoaranga Kijiji cha Nshupu tumeshinda kitongoji kimoja tayari na wakala wa ccm amekimbia na kura zilizopigwa tayari tumeamishia nguvu na jeshi la Polisi wamekuja na tayari matokeo...
Wakuu bado matokeo baadhi ya maeneo yameendelea kutoa. Vipi mtaani kwako mambo yapoje huko
=====================
Matokeo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa mtaa wa Sabasaba kata ya Gangilonga Jimbo...
Watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza kwa matukio matatu tofauti likiwemo la vijana wawili ambao ni makada wa CHADEMA kukamatwa wakiwa na karatasi 181 za kupigia kura...
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Singida, Jesca Kishoa, leo Novemba 27, 2024, ametimiza haki yake ya kidemokrasia kwa kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kijiji cha Maziliga...
Mfano wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Mchonga meno bado unaishi.. Ni ule mfano wa kugawa madini ya thamani ya Almasi na kubadilishana na kipande cha chupa na kujiona...
Leo Novemba 27,2024 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas akiwa ameongozana Mkewe Bi.Riziki kwa pamoja wameungana na Watazania Wengine kushiriki katika zoezi la kupiga kura za Uchaguzi wa...
Kwa Sasa CCM na serikali yake dhalimu wamezidi dharau nyingi. Wanafanya udhalimu wa wazi mchana peupe wakijua hakuna wa kuwafanya chochote.
Chaguzi ndio njia pekee ya kukabidhiana madaraka kwa...
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 ni uchaguzi usio huru na haki, tunaomba mamlaka iangalie namna ya kurudiwa kwa uchaguzi maeneo mbalimbali ambayo wagombea wa upinzani wametekwa, kupotea na...
Kwa uchafuzi uliotokea leo kwenye so called uchaguzi, Sahau kabisa kuwa kutakuwa na uchaguzi Tanganyika.
Diaspora isaidie nchi yetu maana kutokea kwa ndani si rahisi, kutokana na sheria...
ARUSHA: UMATI wa wananchi bado uko kwenye foleni ndefu katika kituo cha kupiga kura cha Polling Station kilichopo katika kijiji cha Manyire kata ya Mringarini wilayani Arumeru mkoani Arusha...
Wakuu,
Tunasubiri igizo la kupanga foleni wakati kwenye misafara tunakaa masaa matatu kumpisha :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
Kutoka Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma Leo Novemba 27...
Kupata taarifa zote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kila mkoa ingia hapa: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
Wakuu,
Uchaguzi huu umekuwa disaster! Mkuu utakuaje kwa trela hili?
Pia soma: LGE2024 - Kigoma: Wananchi wafanya vurugu kituo cha kupiga kura
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu...
Wakuu Matokeo ya Uchaguzi yameanza,
Zitto kabwe kupitia Ukurasa wake rasmi wa X amepost matokeo haya:
---
PIA SOMA
- LGE2024 - Kigoma: Mgombea Uenyekiti kupitia ACT Wazalndo ajitangaza...
Nakumbuka mwaka 2020 nilipoenda kupiga kura nilishangaa yafuatayo.
1. Mpinzani niliyempigia kura hakupata kura hata moja.
2. Baada ya siku kama nne hivi nilionana na rafiki yangu ambaye naye...
Waziri wa Zamani wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu Amesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mwaka Huu Umekuwa na Mwamko Mkubwa Akisisitiza kuwa hiyo ni Ishara ya Kuimarika kwa Demokrasia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.