Mpiga kura Mtaa wa Mwatulole katika kituo cha kupigia kura Mwatulole Center ambaye awali alilalamika kutoona jina lake, hatimaye amekiri mbele ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Geita Mjini, Yefred...
Waziri wa Maji na Mbunge wa Jimbo la Pangani Mhe Jumaa Aweso akipiga kura katika uchaguzi wa Serikali za mitaa katika kijiji chake cha Sakura kwaKibuyu Kata ya Kipumbwi jimboni Pangani Mkoa wa Tanga.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amepiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo Wagombea wote wakubali matokeo.
"Watu wamejitokeza...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi amempatia zawadi ya pikipiki mpya aina ya SAN LG Msaidizi wake wa Ofisi (PS) Florenciana Kagya, kutoka na kazi nzuri anayofanya na kujituma katika ofisi...
Kinachoendelea nchini aibu kubwa sana ndani na machoni pa mataifa mengine.
Tumefikaje hatua ya watendaji wa serikali kuua mwananchi na mwanasiasa kwa sababu ya uchaguzi wa ujumbe wa serikali za...
Makamu mwenyekiti wa Act Wazalendo Tanzania Bara Isihaka Mchinjia leo Novemba 27, 2024 ameshiriki katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, kwenye...
HABARI: Mbunge wa Jimbo la Mchinga Mkoani Lindi Mama Salma Rashid kikwete amewaongoza wananchi wa Jimbo hilo kushiriki zoezi la upigaji wa Kura kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa, vijiji na...
Wanabodi,
Tofauti na muonekano wa wengi, nina dhubutu kusema kwamba miradi ya kimkakati ya serikali, ina mchango mdogo sana kwenye kukuza uchumi wa nchi na kuleta maendeleo ya kudumu. Sio jambo...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Hamza Johari amepiga kura katika eneo la llazo jijini Dodoma
Amepongeza Waandaaji na Waratibu wa Uchaguzi kwa mpangilio mzuri uliopo kwenye vituo unaofanya watu...
Wakati upigaji kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji ukiendelea maeneo mbalimbali nchini, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi)...
Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya mkoa iliyopo katika Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watukatika Mkoa wa Mbeya ni...
Mkoani Njombe, na hasa wilayani Ludewa, uchaguzi umevurugika kwa kiwango cha kutisha.
Awali, katibu wa CHADEMA mkoani Njombe, alieleza kuwa wilaya ya Ludewa ilikuwa ya pili kitaifa kwa idadi...
MKUU wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge ameongoza wakazi wa mkoa huo kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa.
Kunenge amekuwa kati ya wananchi waliopiga kura katika kituo cha mkoani A...
Chama kama kinakubalika na wapiga kura Kuna haja Gani ya kutumia nguvu kubwa namna hii na wizi wa kura ata uchaguzi wa serikali za mitaa? Aya ni maajabu mengine nayashuhudia Tanzania
Kwamba kura...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt.Tulia Ackson ameshiriki zoezi la kupiga kura na kumchagua kiongozi amtakaye huku akisisitiza wananchi...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amewataka wananchi wa Chamwino kujitokeza kwa wingi kupiga kura kuchagua viongozi wao ambao watawasaidia katika kuwaletea...
CCM ni sawa na yale magenge ya Madawa za kulevya kule Mexco, ambako kila mbinu ikijulikana huingia chimbo na baadae kuja na mbinu mpya ya kusafirisha Dawa za kulevya.
CCM baad ya kugundua mbinu...
Moja moja kwa mada:
Ili kuondoa haya malalamiko ya wagombea wa CCM kuanzisha vurugu na kuwasingizia wapinzani ili watolewe nje na Police then wao wanabadilisha matokeo then mawakala wanarudishwa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amepiga kura yake katika Kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kilimani, kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.