Mbunge wa Viti Maalum ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga ameungana na wananchi wa Kitongoji cha Kiriche kupiga kura mapema leo Novemba...
TAARIFA KWA UMMA
Matukio mbalimbali ambayo yametolewa taarifa mpaka muda huu wa saa nne kamili asubuhi, leo tarehe 27 Novemba, 2024 siku ya kupiga kura, uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Mauaji...
Wakuu,
Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Bi. Zuwena Omary anawahamasisha wananchi kujitokeza kwenda kupiga kura kuchagua viongozi wanaowahitaji.
Bi Zuwena ametoa wito huo leo Novemba 27, 2024 mara...
Wakuu,
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amepiga kura katika kituo cha Gharani Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata ya...
Kuzaliwa kwa vituo vipya vya kupigia kura tofauti na vilivyotumika kuandikisha imetajwa kuwa sababu ya wananchi kutoona majina yao katika sehemu walizojisajili.
Hilo limesemwa na Msimamizi...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA) Kanda ya Ziwa Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu, ni miongoni mwa wakazi waliojitokeza kupiga kura katika Mtaa wa...
Mbunge wa jimbo la Mpanda mjini mkoani Katavi Sebastian Kapufi amepiga kua katika kata Ya Nsemulwa kuchagua mwenyekiti wa mtaa na wajumbe wa serikali za mitaa.
Akiwa hapo Kafupi amesema kuwa hali...
Salam,
Wakati zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa likiwa linaendelea, kumeshuhudiwa vurugu katika kituo cha Shule ya Msingi Kibirizi, Manispaa ya Kigoma Ujiji hali iliyopelekea Jeshi la polisi...
Wakuu,
Waziri wa Fedha na Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), leo Novemba 27, 2024, ameungana na wananchi wa jimbo lake katika zoezi la kupiga...
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
Nimefika Kata ya Ndembezi, Manispaa ya Shinyanga. Tumekamata kura fake 41 kutoka kwa msimamizi msaidizi wa kituo cha Ndembezi Shule.
Tumewakabidhi Polisi Kura hizo fake zaidi ya 40...
Mimi ni CHADEMA, lakini uchaguzi wa leo umenipa funzo kubwa.
CCM wana mbinu nyingi za kushinda uchaguzi, na kwa upande wa upinzani, inaonekana tuko usingizini. Hawa CCM wako tayari hata mtu afe...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewataka wananchi wa Mwanza kujitokeza kushiriki katika kutimiza haki ya kidemokrasia na kikatiba ya kupiga kura licha ya kuwepo na hali ya mvua na...
Mfumo wa ukusanyaji ushuru wa maegesho (parking fee) ambao halmashauri zimeurithi kutoka Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (Tarura), umegeuka shubiri kwa wamiliki wa magari katika mji wa...
Mheshimiwa rais, natumaini unaendelea vema na majukumu yako ya kuongoza serikali.
Niende moja kwa moja kwenye ushauri wangu.
Tengeneza sera ya kubadili mfumo wa manunuzi nchini kuondoka kutoka...
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaasa wakazi wa mkoa huo kuendelea kujitokeza kwa wingi katika vituo vya kupigia kura katika mitaa yao ili kuchagua viongozi watakaowaongoza katika mitaa...
Rais mstaafu, Jakaya Kikwete akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wa kijijini kwake Msoga Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, leo Novemba 27, 2024 ikiwa ni uchaguzi wa serikali za mitaa...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo amewasili na kutimiza Haki yake ya Msingi ya Kikatiba ya Kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao Leo Novemba 27, 2024 unafanyika Tanzania...
Wakuu
Hizi ni picha mbalimbali zikiwaonyesha askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza wakifanya doria katika maeneo mbalimbali ikiwa ni kuimarisha hali ya ulinzi na usalama mkoani humo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.