Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mkuu wa wilaya ya Mafia, Aziza Ally Mangosongo amewaondoa mawakala wote wa ACT Kwenye vituo vya kupigia kura.
1 Reactions
5 Replies
297 Views
Wakuu, Drama zinaendelea mpaka siku ya uchaguzi! Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024...
1 Reactions
6 Replies
298 Views
Baadhi ya wananchi wa Igwachanya Halimashauri ya Wanging'ombe, waliojitokeza katika zoezi kupiga kura leo November 27, 2024 ili kuwapata viongozi wa mitaa, vijiji na vitongoji watakaowaongoza kwa...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Wakuu, Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameshiriki zoezi la upigaji kura leo Novemba 27 ,2024 mkoani Arusha ikiwa ni katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo amewataka wananchi kupiga...
0 Reactions
3 Replies
277 Views
Habari ndugu zangu, Hivi kulikuwa na haja gani Sasa ya kuwaandikisha wananchi Kwenye daftari la kupiga kura? Maana huku Nsalaga mtaa wa Ntundu watu wanaingia Kwenye chumba Cha kupigia kura bila...
0 Reactions
0 Replies
208 Views
DKT FAUSTINE NDUGULILE ATENGULIWA Rais John Pombe Magufuli amemtengua Dr Faustine Ndugulile Naibu Waziri Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na Mbunge wa Kigamboni...
30 Reactions
534 Replies
73K Views
Haya ni maoni yangu kwamba siasa ni ajira iliyotawaliwa na roho mbaya ushirikina na mauaji!! Kama isingekuwa siasa mawazo asingekufa ,Wala mwandishi wa chanel ten daudi mwangosi asingekufa...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Ikiwa ni siku iliyosubiriwa na watanzania kutekeleza demokrasia yao ya hatima ya Fyucha ya Kitaa, mkuu wa mkoa wa Tanga Batilda Buriani amewataka wananchi kuondoka eneo la kupiga kura mara baada...
0 Reactions
0 Replies
150 Views
Zoezi la kupiga kura kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa limefunguliwa rasmi leo Novemba 27, 2024 kuanzia saa 2:00 asubuhi ambapo Mbunge wa Jimbo la Makete, Njombe Mhe. Festo Sanga ni mmoja...
0 Reactions
0 Replies
120 Views
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anaewakilisha Asasi za Kiraia Tanzania Bara Mheshimiwa Neema Lugangira amepiga kura kuamua Fyucha ya Kitaa kwenye kituo cha kupigia kura shule ya sekondari Kahororo...
0 Reactions
1 Replies
148 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla, amewasili mtaa wa TPDC Mikocheni B Jijini DSM kwa ajili ya kupiga kura ya kuchagua viongozi wa serikali za mitaa...
0 Reactions
2 Replies
170 Views
Asalaam Aleykum. Leo nimelazimika kuuliza hili swali maana huwa hata sielewi maana ya hiki cheo kuwepo. Niliwahi kusikia kwamba mojawapo ya majukumu ya Makamu wa Rais ni pamoja na kushughulikia...
8 Reactions
28 Replies
4K Views
Kwa Sasa Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatakiwa kupitiwa upya, na kuondoa cheo Cha Makamu wa Rais. Cheo hili hakina tija kinaongeza tu mlundikano wa vyeo visivyokuwa na maana. Makamu wa Rais...
27 Reactions
89 Replies
3K Views
Wakuu, Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
2 Reactions
3 Replies
277 Views
Jimbo la MIKUMI kata za Ruaha, Ruhembe, kidodi,Tindiga, Mabwerebwere, Masanze, Zombo mpaka sasa hivi saa 4 na robo karatasi za kupigia kura bado hazijafika na vituo havijafunguliwa, kata za...
1 Reactions
1 Replies
190 Views
Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha leo Tarehe 27 Novemba 2024 Ameongoza Wananchi wa Wilaya ya Tanga kwenye zoezi la kupiga kura kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata ya...
0 Reactions
1 Replies
170 Views
Kigoma Kusini, Kata ya Itebula Katika Kijiji Cha Itebula, Kitongoji Cha Lugongoni B. Mgombea wa ACT Wazalendo wa nafasi ya Mwenyekiti Ndugu, Sebastian Kimeta ameondolea kwenye karatasi ya kupigia...
0 Reactions
1 Replies
281 Views
Wakuu, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson leo tarehe 27 Novemba, 2024...
0 Reactions
3 Replies
270 Views
Mkoa wa Songwe ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania yenye postikodi namba 54100, ukiwa ulimegwa kutoka Mkoa wa Mbeya mwaka 2016. Jina la mkoa limetokana na Mto Songwe. Makao makuu ya mkoa huu yako...
1 Reactions
4 Replies
520 Views
Back
Top Bottom