Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
HISTORIA YA MKOA Mkoa wa Tanga ni moja kati ya mikoa 31wenye eneo la 27,348 km² na upo Kaskazini Mashariki mwa Tanzania ukipakana na Kenya upande wa Kaskazini, Bahari Hindi upande wa mashariki na...
1 Reactions
3 Replies
457 Views
Mkoa wa Tabora unapatikana katikati ya Tanzania, unapakana na mikoa ya Shinyanga, Singida, Kigoma, Katavi, na Mbeya. Mkoa wa Tabora una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 76,151, na ni miongoni...
2 Reactions
2 Replies
449 Views
WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Simiyu. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
0 Reactions
3 Replies
422 Views
Wakuu, Unatoa msaada ukiwa umevaa shati ya mama mitano tena :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: ===== Zaidi ya wananchi 15 katika Kata ya Unga Limited mkoani Arusha...
1 Reactions
3 Replies
221 Views
Mkoa wa Ruvuma umepewa jina kutokana na Mto Ruvuma, ambao ni mpaka wake wa kusini na Msumbiji. Mkoa huu unapakana na Ziwa Nyasa na Mkoa wa Morogoro upande wa magharibi, mikoa ya Iringa na Lindi...
1 Reactions
3 Replies
317 Views
Mkoa wa Rukwa ulianzishwa mwaka 1974 baada ya kugawanywa kutoka mikoa ya Tabora (Mpanda) na Mbeya (Sumbawanga). Mwezi Julai 2010, Serikali ya Awamu ya Nne iligawa Mkoa wa Rukwa na kuanzisha Mkoa...
1 Reactions
3 Replies
468 Views
Mkoa wa Njombe ni mmojawapo kati ya mikoa mipya nchini Tanzania wenye postikodi namba 59000, ukiwa ulianzishwa rasmi mwaka 2012. Unapakana na mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya, na Iringa. Kutokana...
2 Reactions
3 Replies
472 Views
HISTORIA Kwa mujibu wa tovuti ya Mkoa wa Manyara, Mkoa huu ulianzishwa kwa tangazo la Serikali Na. 367 lililotolewa tarehe 27 Julai, 2002 na kuchapishwa katika gazeti la Serikali tarehe 2 Agosti...
0 Reactions
2 Replies
447 Views
Mkoa wa Katavi una Halmashauri tano (5) na majimbo ya uchaguzi matano (5) ambapo Jimbo la Mpanda Vijijini linaongoza kwa kuwa na watu wengi (371,836) likifuatiwa na Jimbo la Mpanda Mjini (watu...
1 Reactions
5 Replies
485 Views
WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mwanza. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
1 Reactions
3 Replies
479 Views
WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
1 Reactions
2 Replies
589 Views
WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kagera. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
2 Reactions
9 Replies
668 Views
Mkoa wa Dodoma unapatikana katikati ya Tanzania, unapakana na mikoa ya Manyara, Morogoro, Iringa na Singida. Mkoa wa Dodoma una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 41,310. Dodoma ni mji mkuu wa...
2 Reactions
4 Replies
616 Views
Mkuu wa mkoa wa Kagera Khajati Fatma Mwassa akiwa kituo cha kilima hewa kata Kashai akiangalia namna wanavyoendelea kujitokeza kwa wingi kupiga kura .Pia ametumia fursa hiyo kuwaomba wananchi...
0 Reactions
0 Replies
188 Views
Wakuu, "Uchaguzi huu tuufanye kwa amani na utulivu, aliyeshinda atangazwe na ambaye hajashinda asitangazwe. Niwaombe watu wote waliojiandikisha wasiache kuja kutumia haki yao ya kikatiba...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mtwara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
1 Reactions
3 Replies
493 Views
Mkuu wa Mkoa Wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko akiwa kwenye foleni kusubiri kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa katika kituo Cha shule ya Msingi Ilembo manispaa ya Mpanda Mkoani...
1 Reactions
1 Replies
149 Views
Wakuu, Si ndio huko mpaka saivi mgombea kashashikwa na kura zilizopigwa, mnaambiwa muamini mawakala, watafanya kazi nzuri kama malaika!:KEKWlaugh::KEKWlaugh: Asema usipoelewa utaelimishwa, na...
0 Reactions
2 Replies
202 Views
WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Lindi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
1 Reactions
3 Replies
449 Views
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Pwani. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki...
2 Reactions
8 Replies
638 Views
Back
Top Bottom