Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
MNEC Salim Abri Asas akizungumza na waandishi wa habari mkoa wa Iringa baada ya kupiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa leo Kituo Cha chuo Cha Afya kata ya Gangilonga Anasema “Wananchi...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
1 Reactions
3 Replies
514 Views
Chadema ndicho chama Kikuu cha upinzani Tanzania licha ya misukosuko mingi inayopitia, hiki ndicho nafahamu na jambo hili liko wazi! Nimetafakari nikawaza na kuwazua mengi sana, na tafakari yangu...
2 Reactions
32 Replies
653 Views
Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zimehitimishwa rasmi hapo jana, Jumanne Novemba 26.2024 huku leo, Jumatano Novemba 27.2024 zoezi linalosubiriwa na wengi ni la upigaji wa kura, ambapo...
0 Reactions
1 Replies
225 Views
MAKAMU wa pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla amewataka Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutowachukia wagombea wa vyama vingine waliojitokeza kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
HISTORIA Mkoa wa Arusha ni moja kati ya Mikoa 26 ya Tanzania Bara, wenye ukubwa wa KM za mraba 34,515.5. Idadi ya watu kwa ongezeko la 2.7% kwa mwaka na inakadiriwa kufikia jumla ya watu wapatao...
2 Reactions
3 Replies
912 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amesema kampeni za chama hicho zilizofanyika kwa siku sita katika majimbo nane ya mkoa...
0 Reactions
0 Replies
126 Views
Mbunge wa Makete (CCM), Festo Sanga ni mmoja kati ya Wabunge ambao wamejitokeza kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024 katika Mikoa yote Nchini. Sanga...
1 Reactions
1 Replies
152 Views
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd. Mkataba huo wa miaka 30...
8 Reactions
204 Replies
11K Views
Kuna kauli za kipuuzi zimetolewa na baadhi ya watu eti mtu akipiga kura aondoke, asishuhudie hatua nyingine, eti aende nyumbani asubirie kuambiwa nani ameshinda uchaguzi! Wengine wakathubutu hata...
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Kuna matumaini kuwa huenda mafuta yakagundulika Zanzibar. Ni habari njema! Hilo likitukia, Tanzania itakuwa tajiri kama Libya ilivyokuwa kabla ya kuangushwa kwa utawala wa Gaddafi? Sina uhakika...
0 Reactions
6 Replies
244 Views
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma kimesema kimejipanga kwa njia zote kuhakikisha kinalinda amani kabla ya Uchaguzi na baada ya Uchaguzi ikiwemo kuwadhibiti wale wote wenye nia mbaya (ovu) ya...
0 Reactions
10 Replies
348 Views
Wakuu, Hiyo siyo kawaida kwamba CCM wanajiamini sana na kuamini mawakala wao kuwa mambo yataenda vizuri. Kuja jambo linapangwa; 1. Mapolisi kuwa standby wapinzani wakifanya nywi kitatembezwa...
3 Reactions
4 Replies
194 Views
Kada wa chama cha mapinduzi CCM Bwana Abdallah kambaya Amesema chama hicho kinajenga hoja kwa misingi ya Sera Katika kuwahudumia wananchi wake Ameyasema hayo alipokuwa anazungumza na wananchi wa...
0 Reactions
1 Replies
176 Views
Wakuu, Mkuu wa UVCCM Taifa Jokate Mwegelo amesema Rais Samia ameuthibitishia Ulimwengu kwamba Tanzania ina demokrasia kwasababu hadi sasa hakuna machafuko yaliyotokea kuelekea Uchaguzi wa...
1 Reactions
15 Replies
423 Views
Mwenyekiti wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kanda ya kaskazini Godbless Lema pamoja na wanachama wa chama hicho wamefika katika ofisi za Halmashauri ya Jiji la Arusha baada ya mawakala...
0 Reactions
6 Replies
429 Views
Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe, amewataka watendaji wa Manispaa ya Kigoma Ujiji kuacha kukikumbatia chama cha CCM kwani ni chama ambacho kimeshindwa kuwalinda watendaji wa...
0 Reactions
2 Replies
194 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu, akielezea hali waliyokutana nayo wakati wa kuapisha mawakala wa chama hicho wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Tarafa ya Ikungi, wilayani Ikungi...
1 Reactions
6 Replies
485 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, kupitia ukurasa wake wa X, ameeleza kuwa viongozi wa CHADEMA katika Jimbo la Arusha Mjini wamenyimwa viapo vya mawakala. Hali hii imeibua...
3 Reactions
46 Replies
1K Views
Back
Top Bottom