Rais samia kweli ni mtetezi wa wanyonge na msikivu kweli kweli baada ya kusikia kilio kwa vyama vya upinzani ameamua yaishe na kuamua kuwaagiza wagombea wa upinzani waliokatwa mara moja warudishwe...
Wakuu,
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefunga kampeni za wagombea wa serikali za vijiji kwenye Kijiji cha Kanyala, Kata ya Bulyaheke na kuwaomba wananchi kuchagua viongozi wanaotokana na CCM...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amehitimisha kampeni za chama hicho mkoani Mbeya kwa kuhimiza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Wakuu,
Ndio maana Nyerere alikataa makabila makubwa kushika nafasi ya Urais, kuanza kutuimbia vilugha na kubaguana tu!
=====
Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Geita...
Wakuu,
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Momba, mkoani Songwe, kimehitimisha kampeni zake za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kufanya mikutano katika kata za Bonde la...
Chaguzi zote za serikali za Mitaa zilizopita tulikuwa na Hawa wazee Wetu ambao walihamikisha Kwa namna yoyote ile Armani inadumishwa
Mungu wa Mbinguni awarehemu wazee Hawa
Tukeshe Kwa Armani...
Wakuu,
Huu ni ukorofi kabisa, CCM kama inapumulia mashine vile afu wanajaribu kutanua mapafu :BearLaugh:
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa...
Naibu katibu Mkuu huyo wa CCM, Taifa, John Mongella amefika Mkoani Shinyanga kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika novemba 27, mwaka huu.
Sambamba na hilo Mongella...
Wakuu,
Kumbe kuna watu wanapigana kupata nafasi ya kujua tanzanania tunaishije kama tupo Dubai na watu hamseni? Mna siri nyinyi :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh:
Watanzania...
Zipo Taarifa za Kampuni ya Tigo Tanzania kubadili jina.
Si kazi nyepesi kubadili jina la Brand kubwa kama Tigo, bila shaka liko jambo kubwa sana lililopelekea uamuzi huu.
Je, ile kesi kabambe...
Wakuu,
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dodoma Jawadu Mohamed amesema baada ya vyama vya upinzani kushindwa kuteua wagombea wenye sifa katika baadhi ya maeneo...
Jackson Kiswaga, mbunge wa jimbo la kalenga amefunga kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kata ya Nzihi kwa kusema kuwa uchaguzi wa kesho ni muhimu kwa ustawi wa maendeleo ya kata hiyo...
Inajulikana wazi kuwa CCM hawawawezi CHADEMA katika sanduku la kura, hivyo imeweka nguvu kubwa kwenye figisu na dhulma.
CCM tayari wameonesha taa nyekundu ktk hatua za mwanzo kwa kuwaengua...
Wakuu.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza muda huu huko mkoani Singida kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,
Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea
Tundu...
Yaani Tanzania ni nchi ambayo kila kitu sasa ni fake
Maajabu ya TZ: Chaguzi fake, mikataba fake, mifumo fake, ripoti za Raisi fake na marafiki fake-machawa
Je kuna nchi Dunia hii watu wako fake...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amepokelewa katika ofisi za CCM Mkoa wa Njombe leo Novemba 26, 2024 kwa lengo la kufunga Kampeni Uchaguzi wa...
Kwa wale wote tutakao shiriki uchaguzi muhimu mno na wa maana sana wa serikali za mitaa,
Nawatakia nyote matumizi sahihi uhuru na haki ya kikatiba, kwa kuchagua viongozi makini na watakao saidia...
Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini, Dkt. Tulia Ackson, amewataka Wananchi...
Wakati God bless Lema wa Arusha na Pambalu wa Mwanza wakiendelea kulialia, Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu yuko Ikungi Singida na mambo yanakwenda vizuri
Kadhalika mkoani Mbeya mh Sugu...
Nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba, Sheria na Kanuni, miongozo nk, vyama vya siasa vilitakiwa kuwasilisha ratiba zao za kampeni na kule Songwe alikokamatwa Mbowe na genge ratiba ilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.