Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye katika eneo la Kiwalala katika Jimbo la Mtama Mkoani Lindi, amefunga mkutano wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za...
1 Reactions
7 Replies
562 Views
📍Bukoba_Kagera Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Comred Faris Buruhani, amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Kagera kwamba vijana wa Chama Cha Mapinduzi watakuwa mstari wa mbele katika kulinda na...
0 Reactions
9 Replies
330 Views
Leo nimeona WATAWALA wana wahi kwenye eneo la MAJANGA kariakoo, ni kwamba wanaishi hapa hapa DAR es Salaam au waliletwa kutokea Dodoma? Kama bado wapo Dar es Salaam, nani alienda Dodoma? na...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Wana Jukwaa! Tukiwa tunasubiri muda wa asubuhi kwenda kupiga kura katika uchaguzi huu wa serikali za mitaa ambao unafanyika leo Novemba 27, 2024. Kuna hii video imenishangaza na kujikuta nacheka...
0 Reactions
1 Replies
230 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo na Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Amina Ali Mzee wameendelea na Kampeni Mkoa wa Arusha huku wakiwaombea Kura kwa...
0 Reactions
0 Replies
231 Views
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani akikabidhi Mabati bando 10 kwa ajili ya Ujenzi wa banda la kituo cha Madereva wa Pikipiki (Bodaboda) Kata ya Nyamialangano. PIA SOMA - Kuelekea...
0 Reactions
1 Replies
158 Views
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Cherehani Emmanuel ameendelea na ziara ya kuwafikia Wananchi katika maeneo yao kutoa hamasa kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Vijiji na Vitongoji Jimboni kwake...
0 Reactions
2 Replies
186 Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa za CCM mkoani Dar es Salaam kwa kutoa wito kwa Watanzania kujitokeza...
0 Reactions
1 Replies
154 Views
Wakuu, Zikiwa zimesalia saa chache kabla ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Jumatano, Novemba 27, 2024 nchini Tanzania, jijini Arusha kumekuwa na malalamiko kutoka kwa vyama...
1 Reactions
3 Replies
310 Views
MBUNGE GHATI CHOMETE: CCM IMEJIPANGA VIZURI, LAZIMA ITASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete, tarehe 26 Novemba 2024...
0 Reactions
1 Replies
170 Views
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Aliyekuwa kada wa CHADEMA Mch. Peter Msigwa amewaomba radhi wanachama wa CCM kwa maneno aliyokuwa akiyasema wakati akiwa upinzani. Msigwa amesema, "CCM...
0 Reactions
4 Replies
342 Views
Katibu wa siasa na Uenezi CCM Mkoa wa Katavi Ndg.Teonas Revocatus Kinyonto Amewaomba wananchi kuchagua viongozi walioletwa na Chama cha Mapinduzi kwani wameandaliwa kuwa viongozi watakaotanguliza...
0 Reactions
0 Replies
98 Views
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo na Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Alexander Mnyeti, amewataka wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kesho kupiga...
0 Reactions
0 Replies
121 Views
Salaam ndugu zangu Wanasema mtembea bure sio sawa na mkaa bure, katika harakati zangu za mtu mweusi ndani ya hizi siku mbili nimejikuta nakumbana na Wagombea kadhaa wa Chama cha Mapinduzi na...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Wakuu, Mwigulu amewahimiza wananchi wa Mkoa wa Singida kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho, Novemba 27, 2024. Kupata taarifa na matukio ya...
1 Reactions
0 Replies
136 Views
Wakuu, Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya wilaya ya Arusha Ndg. John Kayombo amesema mvutano uliopo miongoni mwao na Wanachama na Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa...
0 Reactions
0 Replies
238 Views
Akiitwa Mjapan utasikia Mashayoshi Ohira. Akiitwa mchina utasikia Nie Hon Hun. Akiitwa mzungu utasikia John, Michael nk. Akiitwa mmanga utasikia Mohamed bin Suleiman. Akiitwa gacholi utasikia...
1 Reactions
0 Replies
115 Views
Kesho, tarehe 27 Novemba 2024, ni siku muhimu kwa Watanzania kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Hii ni fursa ya kipekee kwa wananchi waliojiandikisha kutumia haki yao ya kidemokrasia...
2 Reactions
5 Replies
261 Views
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wametakiwa kutojihusisha vitendo vya Uvunjifu wa amani katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na badala yake Wajitokeze kupiga kura kwa kuwachangua viongozi wa...
1 Reactions
0 Replies
122 Views
Aliyekuwa mgombea wa Mtaa wa Viwandani kata ya Unga LTD Jijini Arusha kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Jumatano...
0 Reactions
2 Replies
241 Views
Back
Top Bottom