Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nchi yetu ya ajabu sana, iliyojaliwa kuwa na viongozi wa ajabu pia, viongozi wanaobariki maovu alimradi maovu hayo yawe ni dhuluma ya kuwanufaisha CCM. Fikiria, waziri Mchemgerwa ndiye mwenye...
1 Reactions
3 Replies
256 Views
Kwanini vijana wa Tanzania hawajadili mambo muhimu? Ni swali linalopaswa kutafakariwa kwa kina hasa tunaposhuhudia kundi kubwa la vijana likitumia muda na rasilimali zao kuwasifia viongozi pasipo...
3 Reactions
10 Replies
399 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, kuna njama iliyoidhinishwa ya kutowaapisha Mawakala wa Chadema Nchi nzima. Mpango huu wa kishamba una lengo la kuhakikisha vituo vyote vya kupigia kura...
7 Reactions
31 Replies
787 Views
Wakuu, Tunawalipa CCM kwani wanatudai nini? ==== Mbunge wa Jimbo la Babati mjini Mhe. Paulina Gekul amewataka Wananchi wa Jimbo hilo kuhakikisha wanarudisha shukrani kwa Chama cha Mapinduzi...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Kutoka majumbani na kwenda kupiga Kura kunahitaji Hamasa na kutiana moyo kutoka Kwa viongozi wa vyama vya siasa Tumesikia Salamu za Mwenyekiti wa CCM na Katibu mkuu Vyama vingine kikiwemo...
0 Reactions
6 Replies
174 Views
Poleni saaana ndugu zangu kwa msiba huu uliojaa majonzi. Mimi baada ya kupokea taarifa ya msiba huu nilisikitika saana baada ya kuona hile innocent face ya mzee wetu. Frankly speaking nilikua...
17 Reactions
126 Replies
8K Views
Wakuu Kesi ya Mdude Mpaluka Nyagali dhidi ya RPC wa Songwe imeahirishwa. Kesi hiyo, ambayo ilikuwa ikitarajiwa kusikilizwa leo tarehe 26 Novemba 2024, sasa imepangwa kusikilizwa tarehe 28 Novemba...
0 Reactions
3 Replies
588 Views
Baada ya Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro kumshikilia Gervas Eliewaha Mgonja, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo mkoa wa Kilimanjaro kwa kosa la kutoa kauli za...
0 Reactions
2 Replies
328 Views
Wakuu, Mambo yameendelea kuwa sukari huko Singida kwenye kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa. Lissu akiwa anazungumza leo Singida amesema kuwa CHADEMA itashinda Uchaguzi wa Serikali za...
3 Reactions
10 Replies
447 Views
Ridhiwani Kikwete: Nikiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Cde. Mwinshehe Mlao Tumenadi Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi katika kata ya Bwilingu pamoja na kuendelea kuimarisha Chama kwa kuzindua...
0 Reactions
0 Replies
121 Views
Kitendo cha kampuni ya Tigo kutumiwa pia kutoa ushahidi wa mchongo wakati wa kesi ya ugaidi ya Mbowe, huo ni ushahidi kuwa kampuni hiyo imekuwa ikitumika na serekali katika kuwafanyia uovu...
17 Reactions
58 Replies
2K Views
Wakuu, Watanzania wanavipima vyama kwa haki kila inapofika uchaguzi nani katika hawa anaweza kutuongoza vizuri, na ndio maana marafiki zangu katika vyama vya upinzani napenda kuwashauri mara...
1 Reactions
3 Replies
167 Views
Saa chache kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa, vitongoji na vijiji kesho Jumatano tarehe 27 Novemba, 2024 Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe mapema leo Novemba 26, 2024 limefanya...
0 Reactions
8 Replies
449 Views
Zitto Kabwe ameonya vikali dhidi ya yeyote atakayethubutu kubebeshwa kura ya ziada, akisisitiza kwamba matokeo ya kitendo hicho hayapaswi kulaumiwa kwa mtu mwingine, kwani tayari dua imesomwa na...
0 Reactions
6 Replies
310 Views
Wakuu, Siku ya leo wakati wa kufunga kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Emmanuel Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM amegusia kuhusiana tabia ya baadhi ya wagombea kutumia matusi kuwasilisha hoja...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini, Mhe. Sebastian Simon Kapufi wakati akiwaombea kura katika Kampeni wagombea wanaotokana na CCM amewashukuru Wananchi wa Mpanda Mjini kwa kuwaamini wagombea wa CCM...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Ukiniuliza mimi ntasema mambo yangu matatu; siyo mageni sana lakini naamini yanaweza kuisadia CHADEMA kujiandaa na uchaguzi mkuu mwakani. Na wewe kama unayakwako yaweke labda katika wastani...
21 Reactions
72 Replies
2K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Balozi , Dk. Pindi Chana amekinadi Chama cha Mapinduzi huku akiwaomba wananchi kuchagua wagombea wa CCM katika...
0 Reactions
1 Replies
258 Views
*Asema CCM ni Chama Imara WAZIRI MKUU na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Kassim Majaliwa amewataka Wana-Liwale kuwachagua wagombea wote wa Chama cha...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano, na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa (Mb), ameteua Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa mujibu wa Sheria ya TTCL ya mwaka...
0 Reactions
8 Replies
571 Views
Back
Top Bottom