Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Waguu Mgombea wa Uenyekiti kupitia Chama cha ACT Wazalendo huko Kigoma amejitangaza kuwa ni mshindi kabla ya Uchaguzi wakati wa kuhitimisha Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
0 Reactions
0 Replies
218 Views
CCM DODOMA MJINI YAWAFIKIA MABALOZI 2242 KUWAANDAA NA UCHAGUZI WA TAREHE 27.11.2024 Uongozi wa CCm Wilaya ya Dodoma leo umekamilisha kuwafikia idadi ya Mabalozi wote 2242 wa Jimbo la Dodoma Mjini...
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (CCM) Mkoa wa Geita , Manjale Magambo amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27 Mwaka huu wanauita ni Uchaguzi maalumu ambao utakwenda...
0 Reactions
6 Replies
245 Views
Rais wa TLS mh Boniface Mwabukusi amesema mtoto anayefanyiwa vitendo vya kikatili akiwa Mtu mzima na kupata Uongozi mara nyingi huendeleza vitendo vya kikatili Kwa walio Chini yake Mwabukusi...
2 Reactions
5 Replies
148 Views
Wananchi wa jimbo la Lupembe wameeleza utayari wao kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika leo Novemba 27, 2024 Nchi nzima huku wakiweka wazi Matarajio yao kwa viongozi wapya...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Wakuu, https://www.youtube.com/live/qJT6TyKWZeo?si=5cw59AnMyAIstTsK CCM imeweza kuweka wagombea takriban 49,000 katika nafasi mbalimbali za uongozi, hii inamaanisha wanakwenda huku wapinzani...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mary Mwanjelwa amemwaga sifa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan juu ya...
0 Reactions
1 Replies
167 Views
Ikiwa kesho novemba 27 ni siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa kufanyika jumla ya Wagombea elfu nne mia nne na nne wa vyama vyote vya siasa Mkoa wa Dodoma wamejitokeza kugombea nafasi...
0 Reactions
2 Replies
199 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amewahimiza wakazi wote wenye sifa Mkoa wa Arusha kujitokeza kwa wingi kupiga kura hapo Kesho Jumatano Novemba 27, 2024 ili kuwachagua Viongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Nchi kwanza mambo mengine baadaye Uto mtatusamehe sana ila mkwanja wa goli la mama uko pale pale Ahsanteni Sana CCM oyeee Ushindi ni 99.9% 😂😂😂😂
0 Reactions
0 Replies
86 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (CCM) Mkoa wa Geita , Manjale Magambo amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27 Mwaka huu wanauita ni Uchaguzi maalumu ambao utakwenda...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema wamejipanga kudumisha amani na utulivu kesho katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, huku likitahadharisha wanaotaka kuuvuruga. Misime...
0 Reactions
1 Replies
261 Views
Mkuu, Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania Thobiasi Makoba akitoa ujumbe kwa wanahabari na Watanzania kuhakikisha wanajitokeza kupiga kura kesho, Jumatano Novemba 27.2024 ili kuchagua viongozi...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Kuna njia rahisi sana za kujua kimetokea nini Kariakoo na majengo yamejengwa vipi na yapo kwenye hali gani. Serikali ingetakiwa kutangaza tender kwa kampuni zenye utaalamu wa uchunguzi wa aina...
3 Reactions
6 Replies
388 Views
WAKATI vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji vikihitimisha kampeni zake leo, kupisha uchaguzi wa viongozi hao Novemba 27, wananchi wa kwa Sadala, Wilaya...
1 Reactions
0 Replies
133 Views
Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Mtaa wa Mtambani kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Mohammed Mtutuma, ametoa ahadi ya kupambana na unyanyasaji na kuhakikisha heshima ya wananchi inalindwa, ikiwa ni...
1 Reactions
0 Replies
119 Views
Wakuu, Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally awakumbusha wananchi kujitokeza kupiga kura Novemba 27, 2024 ili kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa wanaowataka.
0 Reactions
1 Replies
99 Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefanya kampeni ya kupita nyumba kwa nyumba katika Kata ya Irenza, Buchosa kuomba kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho, Novemba...
1 Reactions
0 Replies
211 Views
Wakuu, Wenyeviti na wagombea wa nafasi za uongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini wametakiwa kuacha tabia zisizofaa ikiwemo ulevi, tamaa za wake za watu na matumizi mabaya ya...
1 Reactions
1 Replies
216 Views
Back
Top Bottom