Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wako viongozi wa vyama vya siasa wanawadanganya wafuasi wao wabakie vituoni kulinda Kura Nadhani ni Mjinga peke yake atakayebaki kituoni ilhali yeye si wakala wa mgombea Ni angalizo tu...
2 Reactions
9 Replies
226 Views
Wakuu, Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amesema kuwa hatua zitachukuliwa dhidi ya mwananchi yeyote atakayeonesha viashiria vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi wa serikali za Mitaa...
1 Reactions
4 Replies
175 Views
Wakuu, Hivi hizi kampeni zinazofanyika sasa si ni kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa? Au ni kampeni za Uchaguzi Mkuu? Kwa sababu naona kama Tulia ame-lobby hii process na amefanya hii...
1 Reactions
17 Replies
514 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi katika kushiriki zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa...
0 Reactions
1 Replies
171 Views
Siungi mkono biashara ya madawa ya kulevya, lakini pia siungi mkono Jeshi la Polisi kutumia sheria za mfukoni mwake kushughulikia madawa ya kulevya. Kwa mfano Mimi nimepangisha mtu kwenye nyumba...
17 Reactions
97 Replies
3K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimelaani vikali matukio kiliyoyaita ya kutekwa, kukamatwa, na kutishiwa kwa viongozi wake katika maeneo mbalimbali nchini, huku kikitaka hatua za haraka zichukuliwe...
0 Reactions
3 Replies
183 Views
Nimeona hapa Iringa Masai mmoja anaongoza kampeni za Chadema kwa viwango vilivyotukuka na nyomi la kutosha kabisa na chenji inabaki Wadimi wa hapa Kihesa wameniambia anaitwa Sosopi Ametisha sana 😂😂
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Msije baadaye mkasema mmedhulumiwa kura au kura zimeibwa. Mnapoingia uwanjani ni kuwa mmekubaliana na sheria na taratibu za mchezo. Hakuna excuses za kipuuzi. Ni kupambana na kukubaliana na...
3 Reactions
10 Replies
209 Views
Ofisi nyingi za serikali za mitaa ama labda zote Nchini Tanzania hazina vyoo (Naweza kuthibitisha), Hii maana yake ni kwamba Wenyeviti waliopo na wananchi wanaopata huduma kwenye ofisi hizo...
11 Reactions
35 Replies
728 Views
Akitoa semina elekezi kwa Wanachama na viongozi wa Chama Chake, Tundu Lissu amesema kwamba Sifa kuu ya Wakala ndani ya Kituo cha Kura ni Ukorofi, Kiburi, Jeuri na Ubishi. Amesema Wakala hapaswi...
17 Reactions
154 Replies
3K Views
1. Katika historia ya Tanzania, hakuna kipindi ambacho demokrasia imekanyagwa kama kipindi hiki cha Rais samia. Dunia ya leo base kubwa ya uogozi bora inapimwa na demokrasia katika utawala husika...
17 Reactions
70 Replies
2K Views
Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atinga mtaani na Kampeni ya Usafi mtaa kwa mtaa, atangaza kuanza kupigwa picha za watu wachafu mkoani humo na kutangazwa hadharani. Kupata taarifa na...
6 Reactions
20 Replies
927 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda baada ya Wananchi kutimiza wajibu wao wa Kikatiba wa kuchagua viongozi wasipoteze muda wa kulinda kura kwani sio wajibu wao. "Achana na Habari ya kukaa...
0 Reactions
12 Replies
711 Views
Wakuu, Viongozi wa dini mkoani Mbeya wamewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki kwenye upigaji kura, wasisitizaumuhimu wa kushiriki kikamilifu katika maamuzi ya kidemokrasia. Soma pia...
0 Reactions
0 Replies
100 Views
Kupitia andiko hilo la leo, Jumanne Novemba 12.2024 Kubenea ambaye ni mwanahabari nguli nchini na Mkurugenzi wa kampuni ya habari ya Mwanahalisi amedai kuwa kitendo cha vyama vya upinzani nchini...
4 Reactions
6 Replies
493 Views
Semaji la CAF, Ahmed Ally amewataka mashabiki wa Simba kupiga kura kabla ya kwenda uwanjani kushuhudia mechi kali ya hatua ya makundi dhidi ya F.C. Bravos do Maquis hapo kesho tarehe 27 Novemba...
1 Reactions
12 Replies
698 Views
Wakuu, Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, ameonesha kujali changamoto zinazowakabili waendesha bodaboda jijini Arusha kwa kuchangia shilingi milioni 2 kwa ajili ya kulipia...
1 Reactions
8 Replies
324 Views
Wagombea wametahadharishwa kuzingatia maadili na kujiepusha na vitendo vinavyoweza kuharibu taswira yenu kama viongozi, baada ya mmoja wao kudaiwa kufumaniwa ugoni akiwa katika harakati za kampeni.
2 Reactions
5 Replies
415 Views
Ikiwa imebaki siku moja kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa tarehe 27.11.2024 ,naweka kumbukumbu sawa Ili usiwepo upotoshaji wakati wa kutangaza washindi. Tukumbuke kuwa...
2 Reactions
10 Replies
444 Views
Wakuu, Mjumbe wa kamati ya uongozi ya chama cha ACT Wazalendo jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma, ambaye pia ni mgombea wa uenyekiti wa chama hicho kwenye kitongoji cha Maholela, Mohamed...
1 Reactions
2 Replies
230 Views
Back
Top Bottom