Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Joseph Haule (Prof Jay), akizungumza na baadhi ya wananchi kwenye moja ya mikutano ya kampeni Jimboni Mikumi mkoani Morogoro, kuelekea uchaguzi na Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba...
1 Reactions
7 Replies
604 Views
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewataka wananchi mkoani Lindi kujitokeza katika uchaguzi WA serikari za mtaa ili kuchagua viongozi watakao waongoza katika awamu ijayo. Kassim majaliwa amesema hayo...
0 Reactions
0 Replies
189 Views
Wakuu, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Comrade Faris Buruhani, ameungana na Waislamu wa wilaya ya Missenyi na Mkoa wa Kagera kwa ujumla katika Maulid ya Bwana Mtume Mohammad [s.a.w]...
1 Reactions
1 Replies
190 Views
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema vyama vya upinzani haviaminiki, wala viongozi wao hawaaminiani, hivyo wagombea wake hawastahili...
5 Reactions
17 Replies
514 Views
Hali Mtwara bado ni tete, ITV wameripoti muda huu kuwa jengo la CCM wilaya ya Mtwara linateketea kwa moto, baada ya kupigwa kibiriti na watu wasiojulikana. SOURCE: ITV, taarifa imesomwa saa 8...
6 Reactions
354 Replies
26K Views
Wanabodi, Kama mnavyojua kuwa sasa hivi kampeni za serikali zinaendelea na jana Mbunge wa Ilala Mussa Zungu Ukiangalia mitaa ambayo alikuwa anapita ni mitaa ambayo barabara ni mbovu, hakuna...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
Wananchi wa Kata ya Utalingolo Halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe wamesema Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika hapo Novemba 27 mwaka huu watakwenda kumpigia kura...
1 Reactions
3 Replies
178 Views
Imeelezwa kwamba barabara ya Pawaga mpaka Izazi imewekwa katika mpango wa kujengwa kwa kiwango cha lami hatua kwa hatua ili kurahisisha shughuli za mawasiliano na kuchochea shughuli za uchumi kwa...
1 Reactions
3 Replies
310 Views
Ndugu zangu Watanzania, Chuo kikuu cha Havard kinachopatikana Nchini Marekani ni Chuo Bora kabisa Ulimwenguni ambacho kimekuwa kikishika nafasi ya kwanza kwa Ubora Duniani,huku Yale University...
14 Reactions
303 Replies
5K Views
TANZIA: Mbunge wa Mbinga na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Kapteni John Damian Komba amefariki dunia ktk Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam leo saa kumi jioni. CCM Wameandika kwenye...
6 Reactions
1K Replies
352K Views
Wizara ya utumishi wa umma imetuma waraka unaotoa mwongozo wa mavazi kwa watumishi wote wa ofisi za umma na wananchi wote wanaohitaji huduma ktk ofs hizo. Waraka huo namba 3 wa mwongozo wa mavazi...
5 Reactions
108 Replies
18K Views
Shamira Mshangama akiwaombea kura wagombea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa wanaotokana na CCM katika mtaa wa Mbeza, kata ya Manundu Wilayani Korogwe Mji katika mkoa wa Tanga.
1 Reactions
1 Replies
164 Views
♻️ CHAGUENI CCM TUSONGE MBELE KWA MAENDELEO - SHEMSA MOHAMED. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapindizi (CCM) Mkoa wa Simiyu Ndg. Shemsa Mohamed Seif ameendelea na ziara yake ya Siku Saba za Moto na...
1 Reactions
2 Replies
213 Views
Huyu ni DED wa ajabu kuwahi kutokea Hutembea na kuku na bata wake hata akipata uhamisho. mbaya zaidi anatumia muda mwingi kuongea kuliko kutenda. Mara anakwenda na mafailli nyumban nk. Mara ya...
1 Reactions
7 Replies
724 Views
Huyu jamaa ni Dr. Ana usanii wa kitoto sana. Yaani hapa ndo anaonesha nini?katika miaka hii amechaguliwa anaonesha nini? Kuwa yeye ni mtu wa hali ya kawaida? Mbona watoto wao wanasoma shule za...
20 Reactions
39 Replies
1K Views
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amemuonya mtendaji wa Kijiji cha Angalia kutopendelea Chama cha Mapinduzi (CCM) wajibu wake nikutumikia wananchi sio ubaguzi wa itikadi katika uchaguzi...
1 Reactions
1 Replies
163 Views
Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zikiwa zinakaribia ukingoni, viongozi wa vyama vya siasa nchini wameendelea kuhamasisha wananchi kushiriki kwa amani na utulivu kwenye uchaguzi huo...
1 Reactions
2 Replies
207 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amezindua rasmi "Bata la Disemba - End of the year Carnival," akisisitiza kuwa hafla hiyo ni ya kipekee kwa wananchi wa mkoa huo, na inalenga...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Aliyekuwa Spika wa Bunge, Samwel Sitta amefariki dunia. ======== Tunasikitika kuwataarifu kuwa mzee wetu mpendwa Samwel Sitta amefariki dunia katika Hospitali ya Technical University of Munich...
76 Reactions
1K Replies
212K Views
Back
Top Bottom