Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kama alivyosema msemaji wa serikali Mobhare Matinyi kwamba huwa wanasoma mijadala yote muhimu ya humu jamiiforum; basi tunaomba kama watanzania tupatiwe majibu ya swali hili maana sio jambo la...
35 Reactions
194 Replies
11K Views
Salaam wanaforum wenzangu Wiki chache zilizopita tulishuhudia askofu Shoo akimnadi Rais Samia kuwa aongezewe miaka mitano tena huku akisema huyu mama amefanya mambo makubwa sana katika kipind...
0 Reactions
4 Replies
331 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja, kwa madai ya kutoa kauli za kuhamasisha wananchi...
1 Reactions
14 Replies
815 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu awe anafanya tafiti ndogo kabla ya kuibuka na kusukumizia wenzake shutuma Tundu Lisu aelewe hata yeye akiwa parokiani kwake anakuwa ni muumini na si...
3 Reactions
18 Replies
681 Views
Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewataka wadau wa uchaguzi kuendelea kuzingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali iliyowekwa kwaajili ya Kusimamia shughuli za uchaguzi wa...
3 Reactions
5 Replies
328 Views
Angalieni wenyewe namna Polisi wanavyohangaika na mtu ambaye wala hana silaha yoyote Halafu rudisheni kumbukumbu ya namna walishughulikia ajali ya ghorofa Kariakoo. --- Wakati Jeshi la Polisi...
9 Reactions
48 Replies
2K Views
Wakuu, CCM Zanzibar jana Nov 2, 2024 walisherekea miaka 4 ya uongozi wa Rais Mwinyi pamoja na kuzindua kampeni ya Kijana na Kijani Pemba katika Uwanja wa Gombani, kampeni ambayo inalenga...
1 Reactions
2 Replies
242 Views
Huyu kijana wa Bavicha amefika Kilombero kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa Chama chake kwenye Uchaguzi wa serkali za Mitaa Hali ndio kama mnavyoiona
7 Reactions
47 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Simiyu Ndg.Shemsa Mohamed ameendelea na ziara yake yenye jina la Siku Saba za Moto ambapo tarehe 25 Novemba, 2024 aliweka kambi katika Jimbo la Kisesa...
1 Reactions
1 Replies
220 Views
Wakuu, Mambo yanaendelea kuwa ya moto kwenye Kampeni za Uchaguzi wa Serikali. Mchungaji Msigwa ambaye alihamia CCM akitokea CHADEMA amezungumza hivi karibuni mkoani Songwe hivi karibuni. Soma...
1 Reactions
26 Replies
845 Views
8 July 2024 ‘Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) - 'Samia Anahofia Mageuzi Yataiondoa CCM Madarakani’ Catherine Ruge, Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA)...
14 Reactions
90 Replies
4K Views
Msako mkali wa polisi dhidi ya vijana 520 wa Tanzania Bara wa kambi ya upinzani kati ya tarehe 9 na 12 Agosti 2024, hii ikiwa ni mkakati wa kuwazuia kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Vijana, kama...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amewataka wagombea wa chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa kuomba kura kwa unyenyekevu, mbinu...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Mbunge Viti Maalum Arusha mjini Catherine Magige, Amewahasa wananchi wa Kata ya Endamariek Kijiji Cha Endamariek wilayani Karatu kushiriki kwa Ukamilifu katika zoezi la upigaji wa kura za ndiyo...
1 Reactions
0 Replies
175 Views
c&p from Jebra Kambole on X Kuna watu wanadhani serikali haihusiki na kupigwa risasi kwa Mzee Kibao, Kutekwa kwa Soka, Kupigwa risasi sativa na mateso ya watu wengine! Serikali inahusika kwa...
10 Reactions
44 Replies
1K Views
Vyama vya siasa Chadema na ACT Wazalendo vimeungana katika Kata ya Bukuba, Jimbo la Buhigwe mkoani Kigoma, kwa kugawana nafasi za uongozi kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa...
2 Reactions
15 Replies
904 Views
Wakuu, Naibu Katibu wa Idara ya Habari, Uenezi, na Mahusiano ya Umma wa chama cha ACT Wazalendo taifa, Shangwe Ayo ametaka sheria za uchaguzi za serikali za mitaa zifuatwe ili wananchi wa...
0 Reactions
1 Replies
199 Views
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amepongeza hatua ya kihistoria iliyochukuliwa na viongozi wa vyama vya CUF na ACT Wazalendo katika kijiji cha Nakapanya, kata ya Nakapanya, wilaya ya...
0 Reactions
1 Replies
217 Views
Mgombea Uenyekiti wa Mtaa wa Nela Kata ya Isamilo jijini Mwanza kwa tiketi ya Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), James Dioniz, amelalamikia kitendo cha vipeperushi vyake kubanduliwa...
0 Reactions
11 Replies
361 Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania, Padre Charles Kitima awavaa viongozi wa dini kwa kushindwa kukemea maovu yanayoendelea nchini humo hasa kupotezwa kijana Soka na...
3 Reactions
15 Replies
930 Views
Back
Top Bottom