Wakuu,
Wakati taifa likiwa linajiandaa kuingia kwenye Uchaguzi kesho, maalamiko ya uonevu kutoka CHADEMA na vyama vingine yameendelea kupamba moto
Huko Mjimwema, Kigamboni Mawakala wa CHADEMA...
Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu , amewataka wananchi wa Kijiji cha Katanda, Kata ya ML. Magharibi, Jimbo la Tunduru Kaskazini, mkoani Ruvuma, kuzingatia vigezo vya uongozi bora...
Wanabodi,
Wakuu kuhusu salamu, nitaacha nafasi hapo chini kwa vijana wa UVCCM waje waweke wasalimie.
Yaani kuna uroho wa madaraka alafu kuna uroho wa madaraka wa CCM
Hiyo si kauli ni kauli ya...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Mhe. Marko Henry Ng'umbi, Mkuu wa Wilaya ya Longido.
Pia soma:
~...
Habari JF, ni zaidi ya Mwaka sasa tangu Hayati JPM atutoke. Katika pitapita zangu mitandaoni yote ya nyumbani na kimataifa lakini pia pitapita za mitaani nlijifunza mambo makubwa manne .
1...
Bilionea namba 2 India na namba 22 duniani Gautam Adani amepata pigo jingine baada ya kampuni ya Total Energies kusimamisha uwekezaji ndani ya kampuni zake. Hii ni kutokana na tuhuma za utoaji...
Katika kesi hiyo wakili Msomi Boniface Mwabukusi A.K.A Mayweather, Wakili msomi Mwakilima na mawakili wengine wanawawakilisha Alphonce Lusako, wakili Chengula na Nyarusi ambao ndio walalamikaji...
Nimeamua kuandika habari hii baada ya kujishauri tangu nikiwa Igunga!
Rostam Aziz amekuwa Mbunge wa Igunga tangu mwaka 1994 ambapo mpaka sasa ni takribani miaka 17 chini ya uongozi wake. Nilikuwa...
Singida. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema hakuna haja ya kuanza kuhangaika kutafuta wachunguzi kutoka nje kwa ajili ya kufuatilia wahusika wa shambulizi la Mbunge wa Singida...
Huu ni mtego kwa Wapinzani kupigwa virungu na Polisi, wakati vyama vya CHADEMA na ACT Wazalendo wakisema baada ya kupiga Kura wafuasi wao wakale kisha warudi vituoni kulinda kura upande wa CCM...
Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara.
Hii inafanya iwe vigumu kwa umma kujua ni watu wa aina gani waliomlea.
Kawaida, mizizi ya...
Chama Cha Mapinduzi kimesema kwamba uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 utatuma salama kwa mtu au chama chochote kinachotaka kupambana na Rais Samia Suluhu Hassan...
Kuhusu Ushindi sisi CCM Hatuna mashaka kwa sababu tunaingia uchaguzini tukiwa na Ushindi wa 62% kibindoni
Tunaimba Mungu wa mbinguni atufanyie Wepesi hizo 38% zilizobaki nazo atupe zote kwa ajili...
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Tanzania, Simon Sirro amesema waliomteka mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ walitaka kupewa fedha licha ya kutotaja kiwango wanachohitaji.
Sirro ametoa...
Kwema Wakuu!
Usije ukakurupuka huko baada ya kula zako Ugali matole, au mkande yako ya kisamvu ukaanza kujifanya mtetezi wa HAKI za Watanzania.
Kabla hujafanya hivyo ni muhimu kujiuliza, je...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 25 Novemba 2024, ameshiriki Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya...
Mbunge wa Jimbo la Nkasi Mkoa wa Rukwa amemsihi Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli amnyonge na KUMUUA mkandarasi aliyekula pesa za mradi wa Maji wa mji mdogo wa Laela huko Mkoani Rukwa...
Ni usiku mnene. Naamua kuandika DOKEZO hili.
Kwa uchungu wa yanayoendelea katika nchi yangu.
Katika mada hii, nitaomba wachangiaji kujadili kwa uwazi kabisa, na kuongezea mifano mingine baada ya...
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amoss Makalla ameitaka Chadema kuacha visingizio vya kulalamikia wagombea wake bali iseme...
Mwanachama maarufu wa klabu ya Wananchi, Yanga na shabiki wa soka, Hussein Makubi Mwananyanzala, amewataka wapenzi wa soka nchini kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi wa serikali za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.