Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mr. Suleiman Abubakar Mombo, the Director General of Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) 1. Abstract "It is one of the undisputed functions of government to take precautions...
1 Reactions
2 Replies
591 Views
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa vitongoji na vijiji unaotarajiwa kufanyika novemba 27 mwaka huu, Askofu Mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania na Dayosisi ya Tanga Maimbo Mndolwa ametoa wito kwa...
1 Reactions
9 Replies
309 Views
Wakuu, “Umasikini ni tafsiri, mtu anaweza kuja Tanzania akasema Tanzania ni nchi masikini, lakini ni tafsiri, inategemea vigezo gani ametumia. Mimi ukiniambia Tanzania ni nchi masikini...
16 Reactions
94 Replies
3K Views
Mwanza, Mwanza, Mwanza! Kwa kweli mmebahatika kuwa na maRC wenye vituko. Huyu wa sasa naye sijui atatumbuliwa? Hebu muangalieni hapa…
5 Reactions
49 Replies
4K Views
Wakuu, “Uchaguzi huu utakuwa huru, Utakuwa na Haki”. Haya ni maneno ya Uhakikisho yaliyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro Mwl. Raymond Mwangwala wakati akiongoza matembezi ya...
2 Reactions
5 Replies
179 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema siasa sio ugomvi wala vita, hivyo amepongeza kuona kiongozi wa chama cha...
2 Reactions
24 Replies
699 Views
Wakuu, Ukifanya nywiii fastaaa unaenda kufinywa! Jeshi la polisi mkoani Kagera kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, mwaka huu limepokea magari mapya matano ili kuongeza nguvu na...
0 Reactions
0 Replies
172 Views
Wakuu, Mjumbe wa Baraza kuu la UVCCM kutokea Mkoa wa Iringa Cde. Glory Chambo amewaangukia Wanamagulilwa kuomba wawachague Wenyeviti Wanaotokana na Chama cha Mapinduzi siku ya Uchaguzi Serikali...
1 Reactions
6 Replies
220 Views
Nalazimika kukueleza Rais wangu Mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kuwa mvuto wako unazidi kushuka, kadri siku zinavyosonga mbele. Kwa kweli Mimi nilikuwa mmojawapo niliyekuwa nakuunga...
2 Reactions
1 Replies
439 Views
Wakuu, Mbona kama kuna watu wame-targetiwa kutokana na tangazo hili? Jeshi la polisi mkoani Kagera limewataka wananchi wa mkoa huo kushiriki uchaguzi wa serikali za mtaa kwa utulivu kwakuwa...
1 Reactions
1 Replies
228 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ukisikia chama kiongozi basi hii ndio Maana yake.Ambapo CCM imeonyesha ukubwa wake , umadhubuti wake,uimara wake na uhodari wake katika kuwafikia wananchi.kwa hakika siasa...
2 Reactions
19 Replies
713 Views
Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt. Godwin Mollel akizungumza wakati akiwa katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhamasisha Wananchi wa jimbo hilo kuhusu umuhimu wa...
10 Reactions
155 Replies
6K Views
Kwanza hakuna ndege ya Israel iloingia kwenye anga la Iran wameishia kutuma ndege mpaka Iraq karibia na mpaka wa Iraq kisha ndege zao kufyatua makombora kuelekea Iran. Yaani hata nzi hajafa...
6 Reactions
69 Replies
3K Views
Hebu angalieni wenyewe Katika safari ya demokrasia nchini, uchaguzi wa serikali za mitaa ni msingi wa kujenga jamii imara inayojali sauti ya kila mwananchi. Hata hivyo, katika harakati hizo...
1 Reactions
13 Replies
404 Views
Kwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali. Tukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali. Njia pekee ni...
11 Reactions
20 Replies
515 Views
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kitongoji cha Madiga, Kijiji cha Darajani, Kata ya Kipatimu, Jimbo la Kilwa Kaskazini, Mkoa wa Lindi, Katibu Mkuu Kiongozi wa Baraza Kivuli...
1 Reactions
1 Replies
192 Views
Lakini pia niwasihi kuendelea kuwa sehemu ya kuunganisha waumini na kamwe msiingie kwenye mtego wa kukata kamba inayowaunganisha waumini, wanadamu ni wanadamu hatujazaliwa tumbo moja na hata...
1 Reactions
5 Replies
301 Views
Mbunge wa Jimbo la Pangani na Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameendelea na kampeini jimboni Pangani katika kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Aweso akiambatana na wajumbe wa kamati ya Siasa...
1 Reactions
2 Replies
131 Views
Hawa Vijana wa hovyo wa CCM natamani wangeonywa juu ya haya matamshi Yao! Imagine huyu ni kiongozi wa CCM na anaongea haya publicly, kama ana uwezo wa kusema hivi hadharani, je huko sirini...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza na wanahabari leo, Jumatatu Novemba 25.2024 ametoa wito kwa wakazi wa jiji hilo waliojiandikisha kwenye daftari la mkazi kujitokeza kwa...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Back
Top Bottom