Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo @ACTwazalendo Bara, Isihaka Mchinjita @MchinjitaIR, amesema kuwa suluhisho la kudumu la kumaliza migogoro ya wakulima na wafugaji ni kukiondoa madarakani Chama...
0 Reactions
1 Replies
286 Views
Rais wetu mpendwa na AMIRI jeshi mkuu alitutangazia kuwa ifikapo December watumishi wote ambao uhakiki wa madeni yao ulishakamilika wawe wamelipwa. Umebaki mwezi mmoja. Ingekuwa vema iwapo...
0 Reactions
2 Replies
490 Views
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amewapongeza viongozi wa CUF na ACT Wazalendo katika kijiji cha Nakapanya, kata ya Nakapanya, wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma kwa makubaliano yao ya...
0 Reactions
0 Replies
188 Views
Mussa Azzan Zungu, ambaye ni Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, ameendelea na kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kata ya Upanga Magharibi, jijini Dar es Salaam. Amengia kuogea na...
1 Reactions
5 Replies
372 Views
.
23 Reactions
75 Replies
3K Views
TAMKO LA CCM KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandaa tamko maalum kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Uchaguzi huu ni muhimu kwa maendeleo...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa amesema kutokana na kazi nzuri inayofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewahimiza Watanzania kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Dkt. Biteko ametoa rai hiyo leo Novemba...
1 Reactions
3 Replies
235 Views
Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma(SAU) Ndugu Majalio Kyara amewasihi wananchi kutokubali kuuza utu wao kwa kurubunika na kuchagua viongozi wasiofaa katika uchaguzi wa serikali za mitaa...
0 Reactions
0 Replies
194 Views
Wakuu, Mambo bao moto, Mgombea Uenyekiti wa CHADEMA, Maulid Abdallah aliyeenguliwa licha ya kuwa na sifa bado ana dukuduku, akosoa waliosimamishwa kugombea. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
182 Views
Kauli za kishujaa zinazidi kutawala kutoka kwa viongozi wa CHADEMA. Hii ni kuwajengea kujiamini wananchi katika kipindi hiki cha uchaguzi wasibabaishwe na watu wenyenia ya kuharibu uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
160 Views
Haina shaka tena... Si tetesi tena bali ni uhakika kuwa Tundu Antipasy Mghway Lissu (Makamu Mwenyekiti taifa wa sasa) atapambana na wenzake wawili kuwania nafasi ya uenyekiti taifa - CHADEMA...
0 Reactions
5 Replies
772 Views
Mwenyekiti wa chama cha TLP Taifa, Ivan Jackson Maganza ameamua kuambatana na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makala katika kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuwanadi...
1 Reactions
10 Replies
560 Views
Wakuu, Lungo hilo la kuwanyamazisha waandishi wa habari kipindi hiki cha uchaguzi. Habari za Uchochezi ni zipi? ===== Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limefanya kikao kazi na Waandishi wa Habari...
0 Reactions
1 Replies
181 Views
Katibu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC) Padri Dkt. Charles Kitima ameendelea kusisitiza kuwa viongozi wa dini hawawezi kutenganishwa na siasa kwani viongozi hao kuiweka siasa pembeni...
1 Reactions
4 Replies
355 Views
Waziri wa Zamani wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amesema Maendeleo ya kweli yataletwa na Chama cha Mapinduzi Akiwahimiza Wananchi kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa wanaotokana na...
0 Reactions
5 Replies
305 Views
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo wa Jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma, Yasin Mohamed Mawila, ametoa onyo kali dhidi ya jaribio lolote la udanganyifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
3 Reactions
9 Replies
392 Views
Bila shaka wote ni wazima, ccm inazidi kukipaisha CHAMA cha chadema ,wakizani kuwa kwa kuwakamata viongozi wao na wanachama wa chadema kila mara ni kukizofisha CHAMA hicho,kumbe wanakipiga teke...
14 Reactions
101 Replies
2K Views
Wakuu Huu mpango wa Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam una lengo gani, kwani amezindua Tamasha la siku tatu "Bata la Disemba - End of the year Carnival" lakini ili utokee lazima umpe...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
MBUNGE VUMA HOLLE AENDELEA KUZISAKA KURA KWENYE MVUA Mbunge wa Jimbo la Kasulu Vijijini, Mhe. Augustine Vuma Holle ameendelea na Kampeni za kuwaombea kura wagombea wanaotokana na CCM katika...
0 Reactions
3 Replies
209 Views
Back
Top Bottom