Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Kagera Komredi Faris Buruhani ameendelea na Kampeni ya kuwanadi wagombea wa CCM katika mitaa mbalimbali ya Mkoa wa Kagera inaendelea katika Mitaa 10 ya...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Wakuu, Hivi karibuni Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis alisema kuwa serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) inaenda kujifia 2025 na...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
Baada ya CHADEMA kupitia Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe kutangaza maandamano, wazo lilionijia ni CCM kutafu mbinu ya kuzuia haya maandamano yasifanyike na mojawapo ni kuwatumia viongozi wa dini...
2 Reactions
18 Replies
770 Views
Mwenyekiti wa UWT Taifa, Ndg. Mary Chatanda (MCC) amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina imani kubwa sana na wanawake na kinaamini wanamchango mkubwa sana kwa maendeleo ya Taifa. Chatanda...
1 Reactions
5 Replies
240 Views
Siku 7 za kubeba kila kitu zinaendelea kuanzia kwenye mikutano ya hadhara, kampeni ya mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba, kijiwe kwa kijiwe, mtu kwa mtu kuhakikisha kura zote zinaenda Chama cha...
1 Reactions
3 Replies
190 Views
Wakuu, Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM kutoka...
1 Reactions
2 Replies
227 Views
Aliporejea kutoka India alisema mengi, lakini hili la Adan akitaka apewe TANESCO kama mwekezaji nasikia harufu kwasababu wenzetu wamesikia harufu toka kwa Adan. Namtaka Kafulila aje atwambie hii...
12 Reactions
51 Replies
1K Views
Wakuu, Katika harakati za ufunguzi wa Kampeni Serikali za Mtaa jijini Arusha mapema leo Mjumbe wa Kamati kuu na Mlezi wa Mkoa wa Arusha Rajabu Abrahman Abdallah wa chama cha Mapinduzi CCM akiwa...
0 Reactions
0 Replies
218 Views
Shule ya Msingi Kimandafu ipo kati ya Maroroni na Kikatiti. Ukitokea Maroroni, eneo hilo ni mteremko wenye kivuko cha watoto chenye alama za pundamilia, lakini madereva wengi hawazingatii. Leo...
2 Reactions
4 Replies
367 Views
Wakuu, Taarifa za kukamatwa na kisha kushikiliwa kwa Steven Membe ambaye pia ni mtia nia wa kuwania Ubunge wa jimbo la Mtama, Lindi kupitia CHADEMA katika uchaguzi mkuu ujao (2025) zilianza...
1 Reactions
10 Replies
608 Views
Wakuu, CCM wameendelea kutoa tambo na confidence waliyonayo katika kushinda Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa. Soma pia: Msimamizi wa Uchaguzi Njombe: Hakuna kijana atakayeweza kutumika kuvuruga...
0 Reactions
2 Replies
183 Views
Mpendwa Padre Charles Kitima, Tunakuandikia kwa hisia za dhati na matumaini makubwa. Katika kipindi hiki ambacho nchi yetu inakabiliwa na changamoto mbalimbali, tunaamini wewe ni kiongozi ambaye...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakuu, Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, amewataka wananchi wa mtaa wa Kampuni, kata ya Misunkumilo, Mpanda Mjini, kujitokeza kwa wingi na kufanya maamuzi sahihi katika...
1 Reactions
2 Replies
282 Views
CHADEMA Jimbo la Same Mashariki wakiongozwa na Freddie wameendelea na kampeni za kuwanadi wagombea wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji huku wakizidi kuwasisitiza wananchi kuwa CCM haiwezi...
0 Reactions
0 Replies
151 Views
Katika kuendelea na kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Dodoma Aisha Madoga amewanadi wagombea wa chama hicho katika jimbo la Kibakwe ambapo pamoja na...
2 Reactions
1 Replies
221 Views
Imeelezwa kuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyagali Mdude anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Songwe anatuhumiwa kutenda makosa matatu (3) ikiwemo kujeruhi...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakuu, Amos Makalla ameendelea kutoa dozi kwa wapinzani katika kipindi hiki cha kampeni. Hivi karibuni akiwa huko Ukonga jijini Dar Es Salaam, Makalla amesema kuwa maendeleo yaliyoletwa na CCM...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Katika harakati za ufunguzi wa Kampeni Serikali za Mtaa jijini Arusha mapema jana Mjumbe wa Kamati kuu na Mlezi wa Mkoa wa Arusha Rajabu Abrahman Abdallah wa chama cha Mapinduzi CCM amepokea kadi...
0 Reactions
1 Replies
203 Views
Wakati namwona Mh. Mbowe kule Songwe na Mbeya, namwona Mdude Nyagali Ileje hatua mbili uingie Malawi na mbili uingie Zambia, namwona Tundu Lissu Mara Mwanza na KESHO Ikungi kwao Namwona Zitto...
1 Reactions
10 Replies
337 Views
Hizi ni habari za ndani pasi na shaka muda wowote kutafanyika mabadiliko ya watendaji wakuu wa mikoa, ni mabadiliko ya kawaida ila chanzo ni wengine kulewa madaraka na kuyatumia vibaya na kufanya...
16 Reactions
101 Replies
4K Views
Back
Top Bottom