Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Sisi wachimbaji wadogo kutokea mkoani Tanga wilaya ya Tanga kata ya Kiomoni mtaa wa Kiomoni, tunamuomba mheshimiwa raisi awaamrishe makamishna wa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro waweze kutulipa...
1 Reactions
9 Replies
327 Views
Mkutano wa kwanza leo Novemba 24, 2024 kwa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mbowe uliofanyika asubuhi leo Uyole, Mbeya. Mwenyekiti ameambatana na mwenyeji wake mwenyekiti wa Kanda Mhe. Sugu, pamoja na...
6 Reactions
10 Replies
740 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na masuala mbalimbali ya kijamii mkoani Mtwara la Faidika Wote Pamoja (FAWOPA), Baltazar Komba amewataka wanaume kuelewa...
0 Reactions
2 Replies
164 Views
Katika muktadha wa siasa za Tanzania, jina la Freeman Mbowe limekuwa likijulikana sana, hususan kutokana na mchango wake katika kuendeleza demokrasia na haki za binadamu nchini. Hata hivyo, licha...
0 Reactions
7 Replies
445 Views
Hivi nyie watekaji na wauaji mna watoto ? Mkirudi nyumbani watoto zenu mnawatazama kwa macho gani ? Watoto nao wanasema baba/mama ametoka kazini. Kazi gani ya kutesa na kuua wenzako ? DAMU YA...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Kamishna wa miradi ya Ubia PPP David Kafulira ametafsiri maana halisi ya Rais Samia kufungua Uchumi Kwa kuweka takwimu matata. Akirejea takwimu kutoka Benki Kuu , Kafulira amesema mauzo ya bidhaa...
1 Reactions
10 Replies
278 Views
Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kuwa madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground. Kuhitimisha hoja hii...
8 Reactions
150 Replies
3K Views
Kipimo kikuu cha akili na ustaarabu wa binadamu yeyote yule ni namna anavyopangilia maeneo yake anayoishi na kufanya shughuli zake. Haijalishi kama anajenga nyumba za kitajiri au za kimaskini ila...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Tarehe: 24 Novemba 2024Mahali: Kijiji cha Mwandoya, Wilaya ya Meatu. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif anayeendelea na ziara yake ya "Siku Saba za...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV itaendesha Mjadala kuhusu Nafasi ya Wanasheria Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 Mjadala utaongozwa na...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakuu salam, Nimeanizisha uzi huu maalum kwaajili ya kuweka link ya post zote zinazoongelea rafu na kasoro kabla na mpaka siku ya uchaguzi wenyewe wa serikali za mitaa, iwe rahisi kupata kasoro...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Video: Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Suphian Nkuwi akiwanadi wagombea wa serikali za mitaa kupitia CCM Kitongoji cha Ikungi, Novemba 23, 2024. Suphian Nkuwi amesema CHADEMA imebarikiwa maneno...
1 Reactions
1 Replies
272 Views
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fanuel Siyame akiwa katika ziara ya kuwanadi wagombea wa Vijiji na Vitongoji wa chama hicho katika...
2 Reactions
5 Replies
362 Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwamba Mbowe, ambaye sasa amepewa jina Jipya la Mtu chuma, anaendelea na ziara ya Kampeni Mkoani Mbeya. Hii hapa ni Kata ya Igawilo Taarifa zingine zinaeleza...
0 Reactions
5 Replies
314 Views
Wakuu, Ila CCM hakuna kama nyinyi duniani🤣🤣😂: DC Abdallah anasema wanafunzi wa vyuo wameomba bonanza kumshukuru Rais Samia kwa kufanya maisha yao vyuoni kuwa bora, na hawa ni wanafunzi wote...
1 Reactions
6 Replies
351 Views
Tanzania imealikwa Kuhudhuria Mikutano wa G20 huko Brazil ambapo Rais Samia ataiwakilisha Nchi kuanzia baadae mwezi huu. Hii inakuwa ni mara ya kwanza Kwa Tanzania kualikwa kwenye G20 na mara ya...
6 Reactions
109 Replies
3K Views
Tumeshuhudia Wanasiasa mbalimbali wakitunukiwa PhD za Heshima kutokana na Utumishi Bora, Ubunifu, Umahiri wa Kuongoza na Uwezo wa Kusimamia hoja mbalimbali Miongoni mwa Wanasiasa hao ni pamoja...
7 Reactions
16 Replies
400 Views
Video: Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Suphian Nkuwi akiwanadi wagombea wa serikali za mitaa kupitia CCM Kitongoji cha Ikungi, Novemba 23, 2024.
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Watu watajiuliza hii ninayoiita ‘Law of Pressure’ ni kitu gani? Kisayansi, unapokutana na maada (Matter) mfano wa lijiwe likubwa na ukatakiwa uweze kulitawanyisha vipande vipande, huwa ni kazi...
33 Reactions
86 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi katika mapori ya HALUNGU akiwa njiani anaelekea Mbozi kwenye Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa baada ya...
15 Reactions
196 Replies
8K Views
Back
Top Bottom