Zile Kauli za kijinga za eti tusitumie Madini Hadi vizazi vingine ndio vije kutumia zitakuja kuwaliza watu sio mda.
Toto Russia avamie Ukraine imepatika fursa ya bei ya Makaa ya Mawe kupanda na...
Heka heka za uchaguzi zinaendelea nchini Tanzania, Maajabu hayakosekani Mtandaoni IKIWEMO JF, CHADEMA wanaandikwa sana kuliko CCM, CHADEMAna Act ya zitto walau kule X ndo balaa kabisa.
CCM kama...
Mimi nimtanganyika Zanzibari naiskia kwa vyombo vya habari TU ila ninauliza
Huko Nako mpaka Kizimkazi Kuna uchaguzi wa Serikali ya MTAA kweli? MBONA kuko kimnyaaa hivi?
Kupata taarifa zote za...
Wakuu,
Hivi huyu anafanya nini uraiani na bado ni kiongozi wkati alituambia wazi kabisa yeye ni wale watu wasiyojulikana wanaopoteza watu? Polisi mnazidi kutuangusha, yaani kila siku mnajipaka...
Katika hatua muhimu ya kisiasa na kijamii, Umoja wa Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) umekuwa na uzinduzi rasmi wa Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu katika Mkoa wa Kilimanjaro...
"Kama mnavyosikia kote wagombea wameenguliwa hata hapa kwetu Ikungi hali ni hivyohivyo, lakini mwamba huu hapa Tundu Lissu umefanya kazi na kazi ya wananchi mwakani nikuchagua Diwani, Ubunge...
Wasalaam.
Zaidi ya miaka 60 tangu Tanzania iwe chini ya mtawala CCM lakini kila uchaguzi mpaka leo ahadi za CCM ni kuleta maji, kujenga barabara na kujenga zahanati.
Ni wakati sasa watanzania...
Wakuu,
Vuguvugu la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa limeendelea kuwa kali.
Hivi karibuni Dotto Biteko ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya (CCM) Taifa ametoa tahadhari kuwa hata...
Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu imesema inatarajia kubadilisha Sheria iliyokuwa inaagiza mkopeshwaji kukatwa asilimia nane (8) ya Mshahara ili mkopeshwaji aanze kukatwa asilimia 15 ya Mshahara ili...
Wanabodi, kilichotokea leo kwenye kuapa kwa yule muhitimu wa Mzumbe na IFM ni ushahidi tosha kuwa hakuna elimu Mzumbe na IFM
Ukweli ni mchungu sana. Kuna vyuo vilipandishwa hadhi ya kutoa shahada...
Pamoja na yote Mzungu ni mtu aliyenyooka sana!
Mzungu kawekeza sana kwenye suala la utawala bora ambapo kupitia utawala bora amejenga Taasisi na mifumo imara sana zinazosimamia mambo na...
Hivi unakuja kunipigia kelele za kumchagua mwenyekiti wa mtaa kwa sifa za Royal Tour? Au kukaribishwa
kuhudhuria mkutano wa G20? Na awali nilidhani ni huyu tuu aliyekuja kuzindua kampeni huku...
Wakuu,
Huu ndio muda wa kujipendekeza kwa kila mtu mradi wapate kura, safari hii mkienda na kwa waganga mtupigie pia na picha. Msiwafiche fiche wakati tunajua na huko mnafika, kweli uongozi mtamu...
Wakuu,
Akiwa kwenye kampeni siku ya leo Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema CHADEMA haitosusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu kama ilivyosusa mwaka 2019 na kusema pamoja...
Ukitazama hii picha kiongozi huyu ameonyesha hisia na hamasa kubwa katika kuhakikisha anatimiza majukumu yake bila kujali hali aliyokuwa nayo.
Nyie! kuna watu wanavipenda vyama vyao katika kila...
Wakuu,
Hivi vichwa vya habari lazima director na mhariri mkuu atakuwa Lucas Mwashambwa tu, afu wana undugu na Tlaatlaah :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh:
Mnatumia nguvu kubwa...
Wakuu,
Safari hii kweli mambo magumu kwa CCM, mbinu za kijasusi zote zinatumika kuomba kura, bado kugeuza macho tu kama akina Zuchu :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
Kupata nyuzi za kimkoa...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Pamoja na Mikutano kadhaa aliyohutubia leo, Mwenyekiti wa Chadema amefika Mbalizi na kuwaomba wananchi wachague Wagombea wa Chadema ili kuepuka laana ya Mungu...
Wagombea wa CHADEMA na TLP Mtaa wa Tandale Kwa Tumbo wamekubaliana kuunganisha Nguvu ambapo Mwenyekiti kutoka TLP apewe Kura na Wajumbe Wote kutoka Chadema wapewe kura kisha wataunda serikali ya...
Ni mfume dume au wanawake hawaaminiki nyani ya vyama vya siasa?
au muundo wake ni kwamba mwanamke marufuku kamati kuu Taifa?
Mungu Inusuru CHADEMA na mpasuko 🐒
Mungu Ibarki Tanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.