Mwenyekiti Mstaafu wa ACT Wazalendo, Juma Duni Haji akiwanadi wagombea wa ACT Wazalendo wa Mitaa ya Mwinyimkuu na Idrisa katika mkutano uliofanyika Mtaa wa Mwinyimkuu Kata ya Mzimuni Jimbo la...
Ninajaribu kudadisi kuona namna CCM inavyoendesha kampeni zake.
Naona hazina Mvuto. Nimejaribu kuangalia kwenye magroup ya wasapu kimya kingi.
Nafatilia mtaani wengi wanasubiri kupewa...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Bara Mhe. Tundu Lissu, akizungumzia tukio lililofanywa na Askari wa Jeshi la Polisi, Tarime kukizingira kiwanja walichatarajia kufanyia mkutano wao wa kampeni eneo la...
Ama kweli kampeni zimeshika kasi. Spika wetu Dk. Tulia Ackson sasa ni mtaa kwa mtaa Mbeya mjini. Baada ya kumaliza mitaa kadhaa sasa amejikita Mtaa wa Ilindi akimpigia kampeni mgombea wa CCM Ndugu...
Wakuu
Katika tukio la kipekee Afisa wa jeshi la Polisi alijikuta akirekodi sehemu ya mkutano wa kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe alipokuwa akiwaombea kura wagombea wa...
Habari za leo Wana forum.
Kwanza kabisa naomba nichukue nafasi hii kumchukru na Kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa anazozifanya za kuimarisha maendeleo na diplomasia...
Chadema, kama chama cha upinzani nchini Tanzania, kimejijengea umaarufu miongoni mwa vijana. Kuna sababu kadhaa zinazochangia hili:
1. Msaada kwa Masuala ya Kijamii
Vijana wengi nchini Tanzania...
Nashauri chama changu cha CHADEMA waje na mfumo wa Primaries, kwenye Uchaguzi wa kumpata mgombea Urais wa chama 2025. Tena mchakato uanze 2024. Kama wanavyofanya Marekani, hii itaongeza demokrasia...
Hapo vip!!
Mimi nina passport ya zamani na muda wake unaisha 2027.
Sasa nataka kusafiri kwenda ng'ambo,cha ajabu naambiwa mpaka nikate passport ya electronic niliwaambia sawa ila wanataka nianze...
Wakuu,
Ila polisi, mnazidi tu kufanya CHADEMA wapate vichwa na kuwa maarufu. Sijui kwanini hamjifunzi, kila siku mnatumia mbinu zile zile!
=====
Pia soma: - LGE2024 - Songwe: Viongozi wa...
Ninaelewa nyomi kwenye Mikutano yake ndio inampa picha kuwa anapendwa na Wananchi Lakini huenda anajidanganya
Inawezekana ile nyomi ni Wananchi wa kawaida tu na Siyo wapiga kura waliojiandikisha...
Niliwahi kuongelea suala la hukumu, hasa za Mahakama Kuu kuandikwa na "vitoto" vya Mahakama za Mwanzo vilivyopachikwa majina "wasaidizi wa jaji" Na pia tabia ya majaji kuwa na vikosi vya mahakimu...
Wakuu,
Mambo yanazidi kunoga, kapilipili kanazidi kukolea. CCM wakiongonzwa na UVCCM Kagera wanawazoom tu 🌚 🌚
=====
"Sisi tumevumilia sana kuibiwa, 2020 tumeibiwa, na safari hii wamejaribu...
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Habibu Mbota ambaye pia ni balozi wa maji mkoa wa Tanga akiwa katika harakati za kampeni alisisitiza kuwa uchaguzi huu ni fursa muhimu kwa...
Wakuu,
Haya si maneno yangu ni maneno ya kada wa CCM huko Mbeya akiwa anaongea na wananchi kwenye kampeni.
Akiongea kwenye kampeni kada huyu amesema kuwa alipata taarifa kuwa kuna kuna vijana wa...
TAARIFA YA JESHI LA POLISI:
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia wanachama wa CHADEMA ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Aikael Mbowe, Joseph Osmud Mbilinyi Mwenyekiti wa...
Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na mabadiliko makubwa katika siasa za Tanzania, hasa katika mtazamo wa vijana kuhusu vyama vya siasa. Mamilioni ya Watanganyika wanapendelea...
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amegawa mahitaji ya mapishi kwa vitendo kwa ajili siku ya Afya na Lishe ya kijiji, hayo ameyafanya Novemba 22, 2024 alipokua katika kikao cha...
Kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa za mwaka huu hakuna mgombea atakaepita bila kupigwa badala yake kutakuwa na kura ya NDIO au HAPANA kama itatokea mgombea ni mmoja katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.