Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kuelekea siku ya Uchaguzi wa serikali za Mitaa, wasimamizi wa vituo vya Uchaguzi 1,213 wamepewa mafunzo na kuapishwa kwa ajili ya kusimamia uchaguzi huo utakaofanyika siku ya Jumatano ya Novemba...
-1 Reactions
15 Replies
376 Views
Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Sebastian Waryuba ameyasema hayo wakati aliposhiriki uchaguzi marathoni Wilayani Malinyi kwa lengo la kuhamasisha Wananchi kujitokeza kupiga kura Novemba 27, 2024...
0 Reactions
1 Replies
127 Views
Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga anaendelea na kazi ya kuhamasisha Wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma ili waweze...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu...
1 Reactions
30 Replies
1K Views
Kwa jinsi kampeni zinavyoendelea nimejifunza kitu,Chadema ni chama kinachopendwa na wa Tanzania kutoka ndani ya Mioyo yao, haijalishi wanapitia kipindi kigumu kiasi gani, lakini watu bado...
2 Reactions
6 Replies
257 Views
Wagombea wa nafasi ya Uenyekiti mitaa ya Mwembetogwa, Azimio na Lumumba iliyopo kata ya Mwembetogwa Halmashauri ya mji Makambako, wakieleza sera zao kwa wananchi ili wawachague katika uchaguzi wa...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Wagombea uongozi wa mitaa kwa kata ya Salasala kwa ticket ya CCM wakiwa wamepiga magoti kuwaomba msamaha wananchi wa kata hiyo wa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kuwaletea maendeleo kwa...
8 Reactions
30 Replies
983 Views
Wakuu Akina mama wa CCM wapiga magoti ili kuwaombea kura wagombea wao kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wakija kuomba kura mpaka wanatambaa, wakishazipata wanaanza kutupiga matukio, hata...
0 Reactions
4 Replies
336 Views
Kwenye QM walikuwa wanaweka Swali namba 1 ni lazima marks 40% Maswali 6 yanayofuata Chagua 4 kila swali Lina 15% Utagundua Swali namba 1 limejaa Udikteta Lakini linakupa Urahisi wa kupata Karai...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Mtaa au kijiji gani wagombea wa CCM wameenguliwa wakabaki wa upinzani kama CHADEMA na ACT pekee ambao watapigiwa kura za ndio na hapana? Kuna kitu nataka kujifunza.
0 Reactions
1 Replies
215 Views
Wakuu, Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani ambekabidhi Baiskeli kwa Wakulima 40 wa Mfano kwa Zao la Pamba Halmashauri ya Ushetu, ambazo zitawawezesha kufuatilia mwenendo wa uzalishaji...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Wasimamizi wasaidizi zaidi ya 600 wa vituo vya kupiga kura uchaguzi Serikali za Mitaa wa jimbo la Tabora wametakiwa kutokutanguliza uzoefu wa usimamizi wa chaguzi zilizopita katika uchaguzi wa...
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Mtiania wa Nafasi ya Ubunge Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fanuel Siyame aivaa vikali Serikali ya CCM kwa kushindwa kuwapelekea maji safi na salama wananchi wa...
1 Reactions
1 Replies
182 Views
Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Songea, Wakili Bashir Mhoja, ametoa taarifa kuhusu maandalizi ya uchaguzi ulio karibu kufanyika. Akizungumza na waandishi wa habari, Mhoja amesema kuwa hali ya...
0 Reactions
0 Replies
146 Views
Wakuu, Justification ya kuzuia baadhi ya mikutano ya kisiasa na kampeni za vyama fulani ileee inawekwa kwenye mstari! Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza limevionya vyama vya siasa na kuvitaka...
1 Reactions
3 Replies
333 Views
Kura yako ni muhimu, jitokeze kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 27.11.2024, vituo vitafunguliwa saa mbili asubuhi na kufungwa saa kumi jioni.
0 Reactions
3 Replies
200 Views
Kwanza nianze kukupongeza Mheshimiwa waziri kwa kazi kubwa na nzuri unayoifanya kwenye wizara unayoiongoza..Hongera sana Mheshimiwa waziri niende moja kwa moja kwenye dukuduku langu lilonisukuma...
0 Reactions
4 Replies
286 Views
Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi...
0 Reactions
2 Replies
210 Views
Hali dhofri waliyonayo Chadema ambayo hata CCM asipofanya kampeni atashinda kwa kishindo kuna ka-drama kanafanyika ili kuonyesha upinzani uko active kwa watazamaji. Jamani waacheni hao Chadema...
1 Reactions
1 Replies
145 Views
Shule ya Meta Sekondari ambayo miaka kadhaa kabla ya Uhuru ilijulikana kwa jina la N. A. Middle School, ni moja ya shule za boding'i za wavulana tu na baada ya Uhuru ikajumuisha na wasichana...
1 Reactions
15 Replies
904 Views
Back
Top Bottom