Kiukweli nimefarijika kuona Mwenyekiti Mbowe anafanya Mikutano kwa kutumia Usafiri wa barabara na kuokoa Mamilioni waliyokuwa wanalipa Kenya Kwa watu wa Chopa
Tena ni jambo jema Mikutano yake...
Ndato Rungwe imesimama, mapokezi ya mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe. Ni mwendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Serikali za Mitaa mkoa wa Mbeya
Kuengua Wagombea, kumewakosesha fursa ya...
Tanzania hakuna vyama vya upinzania vyote ni ma agent wa CCM
Sema ndani ya upinzani Kuna baadhi ya watu makini ambao ningekuwa na uwezo ningevifuta vyama vyote vya upinzani na kuanzisha chama...
Uongozi wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Songwe, umevitaka vyama vingine vya siasa kudumumisha amani katika kipindi chote cha kampeni pamoja na siku ya uchaguzi wa...
Baada ya kuona makamanda wameikimbia ngome yao muhimu kama Moshi na Arusha wakati wa ufunguzi wa kampeni basi hii ni ishara rasmi kuwa CCM imedhibiti vilivyo ngome hii.
Ndio maana Mbowe kaanzia...
Chama cha ACT Wazalendo kimeendelea kuimarisha kampeni zake za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kufanya mkutano wa hadhara uliofanyika katika Mtaa wa Mtakuja, Kata ya Vingunguti, Jimbo la...
Siasa ni Sayansi
Hatimaye Mdude Nyagali kaingia kwenye 18 za Chama Dola
Wakati Viongozi Wote wa Chadema wakiachiliwa yeye ameendelea Kushikiliwa
Uingiapo Siasani uwe na Maarifa ya kutosha 😀
Ukimsikiliza RPC wa Songwe na kama Utamuelewa basi wewe utakuwa na akili nyingi kuliko hata Yesu Kristo au Mtume Muhammad, kiukweli haeleweki na anatumika tu kama ilivyo ada
Bali Kinachofichwa na...
Unajua inasikitisha sana, sijui wanasiasa wa upinzani wanajali zaidi ruzuku au kushika dora? Haya manyanyaso hayatakuja kuisha sababu wanaowatuma polisi kuwanyanyasa wapinzani ni makada wa CCM...
Mkutano wa asubuhi leo Novemba 23, 2024 uliofanyika katika Kijiji cha Ipinda, Kata ya Kyela, Mbeya na kuhutubiwa na mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe
Mbowe amesema chadema inasimamia...
Naona Mabeberu yameingia kazini tena.
Kampuni ya Montero imeazimia kuishitaki serikali ya Tanzania ikikusudia kudai fidia kutokana na kupoteza mradi wake wa utafiti wa madini wa Wigu Hill...
Mkutano wa asubuhi leo Novemba 23, 2024 uliofanyika katika Kijiji cha Ipinda, Kata ya Kyela, Mbeya na kuhutubiwa na mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe
Pia, soma: LGE2024 - Songwe: Viongozi...
Niaje waungwana
Yani nchi hii imekosa kabisa viongozi wabunifu ambao wanaweza kukaa chini na kubuni kitu au jambo la maana, na lenye tija kwa faida ya taifa.
Unakuta nchi ina Rais, Makamu...
Hivi karibuni Rais Samia Suluhu Hassan ametoa hotuba ya kihistoria kwa kuuliza maswali magumu katika mkutano wa G20, ambapo akiwa anasikilizwa na Rais wa Marekani, Joe Biden, Rais wa China, Xi...
1. Jeshi la Polisi
Kulinda Mikutano ya Kampeni,
Raia na Mali zao
Kusimamia Ratiba ya Mikutano.
2. Vyama vya Siasa
Kuzingatia Sheria Kanuni, Miongozo na Ratiba ya Uchaguzi.
Kuepuka Rushwa...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Mh Augustino Senga amesema imetokea ajali mbaya mkoani kwake iliyopoteza maisha ya watu watano
Ajali hiyo imehusisha Bajaj na Lori Kubwa aina ya Scania
Source...
Wakuu,
Vijana hawa waelewa na wenye akili ndio akina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah na ChoiceVariable? :BearLaugh: :BearLaugh:
====
Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za...
Wakuu,
Upinzani wakifanya hivi kwenye maeneo ambayo wagombea wa chama kimoja wapo wameenguliwa watafanikiwa kuwazidi CCM?
====
Naibu Waziri Kivuli wa Viwanda na Biashara wa Chama cha...
Hivi sijui kukosa ushauri au nini yaani CCM wanavyowafanyia hivi CHADEMA ndiyo mnavyozidi kuipa nguvu Chadema na kuipa promo kuuzika kwa wananchi nyie CCM mnaona mnaikomoa lakini kiuhalisia ndivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.