MBUNGE AMINA MZEE & TAUHIDA GALLOS: DODOMA MJINI ICHAGUENI CCM, HAMTAJUTA KUICHAGUA CCM
Wabunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Amina Ali Mzee na Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo (MNEC) wamewasihi Wananchi...
Msichoke, kila hatua ikemeeni kama haitendi haki.
sasa kampeni , wapinzani wanaonewa sana, serikali , polisi for that matter, imeonesha ushenzi mkubwa.
Wakemeeni na kumtanguliza mungu wa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe anaingia Jimbo la Kyela kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa Chama chake kwenye Uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mitaa...
Wabunge wa Vyama Vyote wametawanyika nchi nzima kufanya kampeni za Vyama vyao kasoro wale wabunge 19 wa Viti Maalum waliotokea Chadema
Hii inamaanisha nini?
Mlale Unono 😀
Wananchi wa Mwanza wagoma kutawanyika baada ya Tundu Lissu na John Pambalu kumaliza mkutano, wawasindikiza Lissu na Pambalu kwa maandamano hadi hotelini walikofikia, Pambalu atoa neno la shukrani.
Ni kawaida manabii kutokukubalika kwao. Lipi linalotokea kwenye kuelekea chaguzi za 2024/25 kuwa ni jipya leo?
Kwamba walienguliwa wagombea, kukavurugwa kampeni, wakakamatwa wapinzani, nk...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro kimeendelea kuvuna wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaojiunga na CCM.
Hayo yamefanyika wakati wa kampeni...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema usiku huu saa 12:54, Viongozi wa Chama hicho akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, wameachiwa bila masharti na Polisi Mkoani Songwe...
SHEMSA MOHAMMED: CHAGUENI CCM KWA MAENDELEO, AMANI NA USTAWI WA TANZANIA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shamsa Mohammed ameendelea na Kampeni za Uchaguzi wa...
Niliwahi kusikia miaka ya zamani lissu akimtweza baba wa taifa mwalimu nyerere
Nikamueleza rafiki yangu kuwa huyu mtu hatafanikiwa kisiasa Tanzania,he will end up like siasa za mtikila
Mtikila...
Mkuu wa mkoa wa kwanza alituhumiwa tukio la unyanyasaji kingono lililomhusisha RC Simiyu. Mamlaka kwa makusudi zikamwacha ofisini
Sasa hivi viongozi wa Simba wamelalamika hadharani kwamba...
Kwa afya ya nchi yetu na chama chetu hususan katika kipindi hiki cha uchaguzi, alichofanya huyu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ni kama anataka kukuharibia. Ikikupendeza mpumzishe kwanza.
Kwa sasa, mpira...
"Mtashurutishwa kutii ratiba, kanuni na sheria za nchi bila shuruti mpaka lini chadema yangu? Vijana wanatukana viongozi wa nchi wanaachwa tu? Nani atatupenda chadema, na nani atatuheshimu sisi...
Top 10 African countries with the highest debt to the IMF in Q4 of 2024
Rank
Country
Total IMF Credit Outstanding as of 09/27/2024
1.
Egypt
9,450,430,014
2.
Kenya
3,022,009,900
3.
Angola...
"Tunajua mna tatizo kubwa la uhamiaji. Hata mimi walishawahi kunisumbua, wakaniambia mimi si raia wa nchi hii na kunitaka nipeleke vyeti vya babu yangu aliyemzaa babu yangu. Lengo lao lilikuwa...
Kila nikiingia Facebook, nakutana na tangazo la Tulia Trust Foundation Mikopo online ambapo tangazo hili linatangaza kuwa Foundation hiyo ya Tulia inatoa mikono online.
Sina interest ya kujaribu...
Jeshi la Polisi leo tarehe 22 Novemba, 2024 katika Pori la Halungu lililopo Wilaya ya Mbozi wamevamia Msafara na kumkamata Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe pamoja na Viongozi...
Mtanikumbuka kwa mema na Siyo kwa mabaya alisema kipenzi Cha Wanyonge, Shujaa Mwendazake Daktari Magufuli
Kampeni Bila chombeza hazinogi hivyo Dr Mwigullu kala muhindi hadharani kuchangamsha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.