Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Makaburu bado wanaishi Afrika na makaburu wa leo ni weusi kama sisi ila pengine ni hatari kuliko makaburi weupe. Makaburu hawa wanateka, wanaua, wanatesa, wanabimbikizia kesi, wanatumia vibaya...
6 Reactions
14 Replies
294 Views
Wakuu, Nimekutana na clip hii ya Dotto Biteko akizungumzia malengo ya CCM kwenye Uchaguzi huu. Tunajua nini wataenda kufanya. Ni kama marudio ya 2019. Ushindi wa asilimia 99.99
1 Reactions
3 Replies
234 Views
Chama cha Mapinduzi kama ilivyo desturi yake kinaendelea na chaguzi zake na mara hii ni ndani ya jumuiya zake za wazazi,wanawake na jumuiya muhimu ya vijana UVCCM. Leo nitajikita ndani ya...
1 Reactions
57 Replies
9K Views
Joseph Mbilinyi: CCM hawana Maarifa, Wanavuruga Uchaguzi, Wanategemea Dola, wanateka watu na kuua watu ili kutia hofu raia Ameyasema hayo kwenye Mkutano wa asubuhi leo Novemba 23, 2024...
3 Reactions
7 Replies
338 Views
Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa. Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo 1. Miradi wa...
6 Reactions
183 Replies
25K Views
Wanaukumbi, Naona CHADEMA pamoja na changamoto wanazopitia za kukamatwa kwa viongozi wao lakini still wapo on THE BEAST MODE kunadi sera zao kwenye kampeni Akiwa kwenye kampeni huko Kilimahewa...
0 Reactions
1 Replies
165 Views
Wakuu, Hii ndio tactic mpya ya CCM au ndo kupoteza mvuto kwa wagombea wa hiki chama. Ukiwasikiliza kwenye kampeni wamekuwa so obsessed na CHADEMA badala ya kunadi sera za wagombea wao Soma pia...
0 Reactions
0 Replies
219 Views
Huo ndio ukweli Wenyewe Baada ya Chadema na ACT Wazalendo kufurahia kutwaliwa kwa Shujaa Magufuli wananchi waliahidi kuwaadhibu kwenye uchaguzi Subirini muone November ni Kesho tu 😂😂😂
1 Reactions
21 Replies
438 Views
Wakuu, Kuna tafrija huko tumeandaliwa mapochopocho tukajirushe. ==== Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa kijiji cha Nyamsanze, kata ya Buhoro, wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma kupitia chama cha...
0 Reactions
2 Replies
191 Views
Wakuu! Tuseme hii ndiyo siasa bora au kuna kanamna fulani hivi kati ya ACT Wazalendo na CCM? =================== Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani...
1 Reactions
10 Replies
886 Views
Wakuu, Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, ametoa wito kwa wakazi wa mtaa wa Kachoma, kata ya Makanyagio, jimbo la Mpanda Mjini, kuwanyima kura wagombea wa Chama Cha Mapinduzi...
1 Reactions
2 Replies
256 Views
Mwenyekiti mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji maarufu kama Babu Duni amewataka wananchi wa Mtaa wa mtaa wa Tupendane, kata ya Manzese katika jimbo la Ubungo kuondokana na uoga...
6 Reactions
62 Replies
2K Views
Salaam, Shalom!! Naomba majibu yawe mafupi na yaliyoshiba HOJA, vyama tuweke pembeni. NB: Swali gumu linahitaji jibu gumu! Swali jepesi lijibiwe pia kiuwepesi! Mungu ibariki Nchi yangu nzuri...
4 Reactions
149 Replies
2K Views
Wakuu, Pichani ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Zanzibar, Salum Mwalimu katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa jimbo la Bunda Mjini. Mwalimu atafanya pia mikutano ya...
4 Reactions
14 Replies
537 Views
Wakuu, Mpaka tar 27 mambo yatakuwa motooo! ==== Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameibua kumbukumbu za harakati zake za kutetea maslahi ya mkoa wa Kigoma na viongozi...
0 Reactions
1 Replies
240 Views
Mfumo wa ununuzi wa TANePS pamoja na changamoto zake, ulikuwa mfumo mwepesi kujisajili na kuutumia. Changamoto zilizoifanya TANePS iondolewe, ni hizo hizo zinaikumba NEST kwa sasa. Mfano ilikuwa...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230. Ili aweze kurudisha...
26 Reactions
245 Replies
5K Views
Mashirika yanayopaswa kubinafsishwa au kufanya PPP yaani Public Private Partnership haraka iwezekanvyo kwa sababu yameshindwa kuwa na tija kwa taifa kwa muda mrefu huku wakitoa Altered data za...
4 Reactions
15 Replies
496 Views
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameibua kumbukumbu za harakati zake za kutetea maslahi ya mkoa wa Kigoma na viongozi wake, akiwemo Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip...
1 Reactions
7 Replies
411 Views
kwa mujibu wa waraka wa watumishi wa serikali Na 1. Wa mwaka 2013, wenye Kumb. Na.CAC.205/228/01/C/14 wa Julai 2, 2013 uliosainiwa na Katibu mkuu Utumishi Ndugu George D. Yambeshi. Unaoonyesha...
2 Reactions
139 Replies
13K Views
Back
Top Bottom