Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wasisahau safari iliyowafikisha katika nchi ya amani...
0 Reactions
2 Replies
200 Views
Wakuu, Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
2 Reactions
5 Replies
468 Views
Shida ya Lisu hajikiti kuongelea yaliyomo kwenye Ilani ya Chadema anapuyanga tu kifupi Chadema hawana mtetezi wa Ilani Yao tofauti na CCM CCM Huwa Iko focused muda wote huongelea Ilani ya Chama...
1 Reactions
16 Replies
442 Views
Wakuu, Muda mchache baada ya Freeman Mbowe kukamatwa, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo mkoa wa Njombe amezungumza mwanzo mwisho nini hasa kimpelekea mpaka Mwenyekiti huyo kukamatwa. Soma pia: Freeman...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Kanisa la Pentecostal limempongeza Rais Ruto kwa kufutilia mbali mkataba wa Adani Kwenye Uwanja wa ndege na umeme Mmoja wa Maaskofu amesema Magufuli wa Tanzania aliweza sana kupangua mikataba ya...
7 Reactions
18 Replies
479 Views
Devid Junior, Mchunguzi na Mwanasheria wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, amewataka wasanii kuwa makini katika kipindi cha uchaguzi na kampeni za kisiasa, akisema kuwa wao ni kioo cha...
0 Reactions
2 Replies
208 Views
Wanaukumbi, Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Manyara, Bahati Stafu Haule, amesema kuwa taasisi hiyo inachunguza tuhuma nne zinazowahusu wagombea wa uchaguzi wa...
1 Reactions
10 Replies
346 Views
TAARIFA KUTOKA ACT WAZALENDO Kwa masikitiko makubwa, tumepokea taarifa ya kukamatwa na Polisi kwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo wa Mkoa wa Songwe leo tarehe 22, November, Ndugu Ezekia Elia Zambi...
2 Reactions
13 Replies
766 Views
Katika muktadha wa elimu nchini Tanzania, idara ya sekondari katika Moshi Manispaa imejikuta katika hali mbaya ambayo inahitaji umakini wa haraka kutoka kwa serikali. Mkuu wa idara na wasaidizi...
1 Reactions
0 Replies
206 Views
Wanaukumbi, ACT imeendelea kutoa spana kwa chama tawala yaani CCM. Akiwa anazungumza kwenye kampeni Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita alitoa tuhuma kali dhidi ya Chama...
2 Reactions
4 Replies
296 Views
Kwa mujibu wa Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA), Twaha Mwaipaya, amesema, Wagombea 20 wa CHADEMA katika Kata ya Mwaya, Jimbo la Kilombero, wapo magereza baada ya...
1 Reactions
17 Replies
539 Views
ZAIDI YA BILIONI 10 SKIMU YA UMWAGILIAJI MASIMBA KUNUFAISHA WAKULIMA 24,000 MKOANI SINGIDA 📍 NIRC Singida. Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba ambaye ni mbunge wa Iramba Magharibi...
0 Reactions
1 Replies
156 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika mkutano wa nchi zenye uchumi mkubwa duniani G20 alipata nafasi ya kueleza mikakati ya Tanzania ya kujitosheleza kwa chakula na kulisha nchi zingine Afrika...
1 Reactions
1 Replies
216 Views
Wakuu Jeshi la Polisi limemzuia mwenyekiti wa Chama cha CHADMA, Taifa, Freeman Mbowe kuzungumza na wananchi wa Mbozi, Mkoani Songwe, na kuwatawanya kwa mabomu wananchi waliokusanyika kumsikiliza...
3 Reactions
53 Replies
2K Views
Wakuu, Naona UVCCM wanaendelea kutoa boko huko kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Unaendaje on stage kusema kuwa CCM haiwezi kumaliza matatizo yote? Mbona Serikali nyingine...
0 Reactions
3 Replies
232 Views
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa, amewaomba wananchi wa Mtaa wa Komesho, Kata ya Msambweni, Jimbo la Tanga Mjini na vijiji vya jirani kuwaamini wagombea wa chama hicho kwa...
1 Reactions
4 Replies
269 Views
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, ameongoza wanachama na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa katika jimbo lake, akisisitiza...
0 Reactions
1 Replies
239 Views
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, 2024, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Suzan Kunambi amewataka wananchi wa kata ya Kilimani mkoani...
0 Reactions
4 Replies
226 Views
Ilikuwa ni ama Empire au Empress au Avalon Cinema lazima Jumamosi Hii uandaliwe kisaikolojia kwa Picha ya Jumamosi Ijayo Uchaguzi huu wa Serikali za mitaa una heka heka nyingi mno na tayari...
2 Reactions
2 Replies
269 Views
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) @chadematzofficial jimbo la Lupa wilaya ya Chunya mkoani Mbeya kimezindua mikutano yake ya kampeni kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa nafasi mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
155 Views
Back
Top Bottom