Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wanabodi, Hata baada ya kufikisha miaka 60 tangu Tanzania ipate uhuru bado wanasiasa on stage wanazungumzia changamoto ya kukosekana kwa maji safi na salama kwa wananchi? Akiwa anaongea kwenye...
0 Reactions
0 Replies
110 Views
Vyama vya siasa mkoani Manyara, vimeiomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa takukuru mkoa wa manyara kuweka utaratibu wa kutoa mrejesho wa watuhumiwa wanaokutwa na hatia ya kuomba au...
0 Reactions
2 Replies
223 Views
Binafsi ninaweza nisiwe mwanasiasa mzuri lakini nionavyo mimi ni kwamba ACT na CHADEMA wananufaika na uwepo wa CCM, na CCM wananufaika na uwepo wa hawa ACT, CHADEMA. Sasa kwa mfumo kama huu...
1 Reactions
3 Replies
253 Views
Wananchi wa Mtaa wa Buguruni Kata ya Njombe mjini Mkoani Njombe wamelalamikia uwepo wa vibaka ambao wamekuwa tishio katika usalama wao na kuwataka viongozi watakaoshinda katika uchaguzi wa...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Mwenyekiti wa CCM Mbeya amesema changamoto ya maji inaenda kuisha Jijini Mbeya ifikapo mwakani (2025), kutokana na kupelekwa kwa mradi wa zaidi ya TSh. bilioni 117. Ametoa kauli hiyo katika...
1 Reactions
1 Replies
159 Views
Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa...
33 Reactions
105 Replies
5K Views
Wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya vituo halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi wametakiwa kuzingatia muda wa kufungua na kufunga vituo vya kupigia kura ili kuepusha vurugu zinazoweza kutokea katika...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Arusha ni Mkoa wa pili kwa kuingiza mapato baada ya Dar. Mapato maana yake shughuli za kiuchumi ikiwemo utalii,madini,biashara za mazao mbali mbali ya kilimo hasa mboga mboga na matunda. Nature...
15 Reactions
62 Replies
4K Views
Nikiwaangalia Wanasiasa hawa Wawili Mtumishi wa Mungu mchungaji Msigwa na Mwanamuziki wa Dunia hii Prof Jay najifunza Kitu kikubwa sana Prof Jay alitibiwa na mwenyekiti wa CCM lakini namuona...
2 Reactions
0 Replies
251 Views
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo ndugu Ado Shaibu ameendelea na kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, na Novemba 21, 2024 alikuwa Jimbo la Mbeya Mjini, Kata ya Ruanda Mtaa wa Makunguru ambapo...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro ambaye pia ni Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) Jana akizungumza kwenye Mkutano wa Hadhara wa Ufunguzi...
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Kwa matukio yaliyojitokeza Mwanza, upo uwezekano ikawa ni moto umewashwa, na matokeo yake kukawa na watu wanaowaza kulipiziana visasi katika soka. Na ushabiki wa mpira nauona ni mbaya kuliko hata...
1 Reactions
1 Replies
183 Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita kimeonyesha kujiamini kushinda Vijiji na Vitongoji vyote Wilayani Nyang’hwale baada ya Vijiji 39 kukosa wapinzani, huku vyama vya Upinzani vikifanikiwa...
0 Reactions
1 Replies
220 Views
Wakuu, Naona ile idea ya Kizimkazi Festival inazidi kusambaa katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Baadhi ya wananchi wa Tarafa ya Mwembe Mbaga, Wilaya ya Same, Kilimanjaro, wamejitokeza...
0 Reactions
1 Replies
173 Views
Tatizo la viongozi wetu wanakimbilia mikataba ya 10% bila kujali maslahi ya nchi ndiyo maana mikataba inakuwa ya sirisiri. Huyu jamaa amegundulika anatoa rushwa kila mahali na kashitakiwa huko...
4 Reactions
22 Replies
954 Views
Kwa sisi wenye imani tunaamini majanga yetu ni kwasababu ya uporaji wa haki na bila kuwa na upendo na haki kwa wote ikiwa ni pamoja na katiba nzuri, demokrasia ya kweli, bunge na mahakama inayotoa...
0 Reactions
1 Replies
200 Views
*Walisema chadema wqnachelesha maendeleo. Kuanzia Rqis hadi balozi sasa wote ni CCM, Maendeleo yapo wapi? *Siku ya kupiga kura, piga kura, nenda kale rudi kuweka kambi kwenye kituo. Kanuni...
4 Reactions
16 Replies
714 Views
Wakuu vipi huko kwenu kampeni zinakwendaje === Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma kwa tiketi ya CCM, Venance Chamaheke amemuombea kura mgombea wa...
0 Reactions
0 Replies
185 Views
Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka...
20 Reactions
281 Replies
11K Views
Wakuu, Kama mnakumbuka Makonda kujitokeza na kujisafisha kwa kusema kuwa hakuhusika katia kumpiga risasi Tundu Lissu, Godbless Lema leo amejibu mapigo. Siku ya leo, Lema amesema kuwa ipo siku...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom