Kuna taarifa toka Ofisi ya (aliyekuwa) Mkuu wa Wilaya ya Nkasi niliileta humu kama kanushi 2017 Kwa niaba ya Ofisi wakati huo na ikafafanua tuhuma ambazo zimeibuliwa jana kwamba (Aliyekua Dc)...
Kwa Mfumo wa Tanzania Serikali za Mitaa ni tegemezi kwa Serikali Kuu hivyo zinatekeleza Ilani ya chama kinachotawala kwa wakati huo
Sasa ukichagua Chadema au ACT wazalendo bado utakuwa umechagua...
Nimekaa, nikawaza: kwa nini kusiwe na utaratibu kwamba wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu au Serikali za Mitaa, wafanyakazi wa umma na binafsi waruhusiwe kutoka kazini mapema ili wakasikilize sera...
12 APRIL 2012
Na Raphael Okello, Bunda
CHAMA cha Demokrasia na Mae n d e l e o (CHADEMA) kimesisitiza kuwepo kwa serikali ya majimbo ambapo kimewaomba wananchi kuzingatia suala hilo...
Kampuni ya Resolute iliyochimba dhahabu nzega na kumaliza dhahabu yote na kuhamia nchini mali wamebananishwa.
=========
In short:
The CEO of Resolute Mining, along with two other employees, who...
Ni kweli kwamba ni siku ya Mazishi , lakini kama tulivyosema awali , kila kwenye jambo kubwa hakukosekani tuvituvitu tudogo tusitoonekana kirahisi .
Sisi wengine pamoja na msiba huu macho yetu ni...
KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi,Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makala amewahakikishia Watanzania kwamba Chama hicho katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema mji wa Tarime una nafasi ya kipekee ya kudai haki kupitia chama hicho cha upinzani hasa kikipewa uongozi na...
Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Nabii wa Mungu ambaye Unabii wake Nchini Tanzania umetimia na Kupitiliza, Godbless Lema, leo Amezindua rasmi Kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa...
Habari zenu. Hivi karibuni nilikwenda mkoa wa Ruvuma na nikapita karibu na makazi ya mkuu wa mkoa nikashangaa sana namna pesa zetu za Kodi zinavyofanya viongozi wetu waishi kifahari.
Kama Kuna...
Wanabodi,
Kila nipatapo nafasi, huwa naandika makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", makala hizi huwa zinachapishwa na magazeti mbalimbali, hivyo Wahariri kuweni free kuitumia makala yangu...
Ni ushauri tu maana nawaona Viongozi wa Upinzani wanatumia Muda mwingi kulia na hayati Magufuli ambaye hayupo.
Watu wanataka kusikiliza mambo ya mama mboga, mabarabara, Maji, Zahanati nk na siyo...
Wakuu,
Ila Abbas ana vituko:BearLaugh::BearLaugh:TAKUKURU hamuoni hizi rushwa nje nje?
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala...
📍 Kigamboni
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salam CPA. Amos Makalla ameendelea na mikutano mikubwa ya kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za...
Wakuu,
Huu ndio muda wao kutuoneshe ni watu wenye moyo sana na huruma mwingi, wenye kutoa bila choyo😂😂
Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa CCM-NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA makalla amesema uimara wa chama cha Siasa ni nguzo imara kwa wananchi kwani umoja unajenga imani...
Vipaumbele vya wagombea uongozi wote wa CCM, vinaelezwa kwa ufasaha, umakini na kwa mpangilio mzuri sana na unaeleweka kirahisi kwa wapiga kura.
Hii imechochea hamasa kubwa mno kwa wapiga kura...
Huu unaweza Kuwa ni aina nyingine ya ulaji tu
Uchaguzi wa Kitongoji Tarime mgeni rasmi kwenye mkutano wa Kampeni mh Tundu Antipas Lisu kutoka Chadema HQ DSM
Hata ACT Wazalendo Mzee Duni Haji...
Wakuu
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, Tundu Lissu amekataa maji katikati ya mkutano wa hadhara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akiwa Nyamongo mkoani Mara.
Soma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.