Natanguliza ufafanuzi kidogo wa mambo ya siasa na itikadi, Siasa ni mambo mtambuka, wengi husema siasa ni sayansi, Kwakweli nimeona kunahaja kubwa ya kumtunuku Mh Freeman Mbowe cheo cha heshima...
Wanabodi,
Kabla ya kuendelea mbele ningependa kuwapongeza CHADEMA kwa kuandaa na kushiriki kwenye maandamano. Pamoja na CCM kutumia nguvu nyingi kuzuia lakini mlijitahidi sana kufikisha ujumbe...
Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA ya mwaka 2015 pamoja na mambo mengine, ilikuwa na mambo yafuatayo;
1. Kujenga reli mpya na kukarabati zilizopo kwa viwango vya kisasa kwa kuzingatia maslahi ya nchi...
Kampeni za uchaguzi zishaanza.
Wagombea wanakatiza nyika sehemu mbalimbali za nchi kuzinadi sera zao. Wanatoa kila aina ya ahadi. ‘Mimi nitafanya hivi, nitafanya vile, nitafanya haya, nitafanya...
Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.
- Bima ya afya kwa Watanzania wote.
- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.
- Hakuna...
Nimepokea kwa mikono miwili sera ya CHADEMA, hasa kuhusu mfumo elimu.
Sera yetu ya elimu na mfumo huu wa elimu siyo mzuri. Tuna mfumo wa elimu ambao umejikita kwenye kukariri ili kujiandaa na...
Nimeisoma ilani ya CHADEMA sura ya tano ibara ya saba kifungu "e" nimekiambatanisha hapa chini, kinasema ili kuboresha elimu shule ya msingi itakuwa miaka tisa, binafsi ningependa shule ya msingi...
Hizi jaza jaza hao watu huwa hawapigi kura , hata mimi kesho ntakuwepo mkutanoni ila sijawahi piga kura Serikali za mitaa uchaguzi mkuu ni mara moja tu
Kanuni ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu inasema kuwa hapatakuwa na mgombea kupita bila kupingwa na hivyo itabidi apigiwe kura ya hapana au ndiyo.
Leo nimemuona Tundu Lissu akiwafundisha...
Wakuu,
Tunaendelea kula popcorn wakati tunaendelea kuangalia movie.
====
Katibu wa Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kata ya Iwawa Benjamin Mahenge amewasihi wanaccm kujitokeza...
Akiwa kwenye muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mjini Tarime Tundu Lissu amesemaRais Dkt. Samia hana tofauti na mtangulizi wake hayati John Magufuli, tofauti yao ni jinsia tu...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kinachoendelea katika ajira ya Watumishi ni kukatwa kodi mara mbili.
Hizi hapa nukuu za Mbowe...
“Tunapowapa...
Naibu katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi Tanzania Bara ndg. John Mongella amewataka wanachama wote wa CCM washiriki kikamilifu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuchagua viongozi bora watakao...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Bara Tundu Lissu, amewataka wanachama wa chama hicho kutokuwa waoga katika kukabiliana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchauzi huu wa Serikali za Mitaa na...
Nape Moses Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa (MNEC) alipokuwa akifungua mkutano wa uzinduzi wa kampeni hizo Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Rukwa aneeleza kuwa ni muhimu wagombea kufanya kampeni...
Wakuu,
Mambo yanazidi kunoga, kila kona ni mwendo wa kutamba na kuponda. Mnaenda kusikiliza sera za wagombea kwenye mitaa yenu?
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa...
Nawapeni tu angalizo wale ndugu Zangu ambao Wagombea wenu wamekatwa kwahiyo mmejiapiza kwenda kupiga Kura ya HAPANA
Utakuwa umepoteza Muda wako Bure Kabisa, Kura zinahesabiwa na Binadamu Siyo...
Akiwa kwenye kampeni leo mjini Arusha, Godbless Lema "Juzi mmeona Dar es Salaam, na hili jambo huwa nalisema kila siku yeyote anayekataa kupigania zana ya Utawala bora atakutwa na mauti ya...
Wakuu,
Akiwa kwenye kampeni siku ya leo huko mjini Arusha, Godbless Lema amesema kuwa yeye yuko tayari kuandamana muda wowote iwapo wananchi wataamka na kumwambia awaongoze.
Lema amesema kuwa...
Polisi waliotumwa na ccm kama wafanyavyo siku zote, leo wameshindwa kufurukuta baada ya kujaribu kuzuia mkutano halali wa Chadema kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.