Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimezindua rasmi kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, ikiwa ni hatua muhimu katika kuhakikisha wananchi wanashiriki kikamilifu...
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Sioni future elekezi kwa Tundu Lissu, ipo haja na ulazima wa yeye Kuunda Chama Chake aachane na Chadema. Chama Kipewe Jina UFD Kirefu Chake United Front for Democracy. PIA SOMA - Kuelekea 2025 -...
2 Reactions
25 Replies
826 Views
Wakuu, Ya kweli hayo? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
0 Reactions
26 Replies
707 Views
Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa serikali ya mtaa wa Kambarage uliyopo katika halmashauri ya mji wa Njombe anayetetea nafasi hiyo kwa mara nyingine, Francis Msanga ametoa wito kwa wananchi wa...
1 Reactions
0 Replies
171 Views
Tumekuwa tukishuhudia kiongozi ndani ya Chama cha Mapinduzi akitoa maelekezo ili yafanyiwe kazi na Serikali Kuu, lakini pia ningependa kujua wanatoa tamko kwa sababu ndio chama kilichoshika dola...
2 Reactions
6 Replies
230 Views
Ndugu Waziri Salam, Kuna video za jamii ya Wahadzabe zinazoishi maisha ya kijima porini, na ni jamii "duni" kulingana na mfumo wa maisha wa kisasa. Lakini kwa bahati mbaya sana, kuna wageni...
1 Reactions
32 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema migogoro inayoendelea kwenye chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni dalili za kuvunjika kwa chama hicho. Vyama vyote vya Siasa vikikaribia...
1 Reactions
4 Replies
355 Views
Ni nadra sana kusikia WAPO RADIO ikitangaza jambo linalohusu upinzani, labda jambo hilo liwe linaifurahisha CCM. WAPO RADIO mnacho kipindi cha asubuhi kinachohusu matukio, ambacho wasikilizaji...
8 Reactions
36 Replies
1K Views
CCM wamedhania kuengua wagombea na sasa kujitapa kuwa Wapinzani hawajaweka wagombea wa kutosha kama CCM ndio ujanja. Kutokupiga kura ni kuihalalishia ushindi CCM hivyo njia sahihi ni wapinzani na...
5 Reactions
33 Replies
872 Views
Nikisiliza kwa makini namna kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka huu, nashuhudia kabisa kuwa uchaguzi huu ni maandalizi ya moja kwa moja kwa ajili ya mwakani. Si ajabu watu...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Kampeni zimeanza kwa gia kubwa "Mkinichagua mihuri itakuwa bure hamtalipia", ni kauli ya mgombea uenyekiti wa Kijiji cha Matamba wilayani Makete mkoani Njombe kupitia Chama cha Demokrasia na...
2 Reactions
3 Replies
250 Views
Wanabodi, Wakuu huyu baba alikuwa wapi siku zote? Kwani bado yupo kwenye siasa? Mlezi wa CCM Mkoa wa Mtwara, Mizengo Pinda, amewahimiza viongozi na wanachama wa chama hicho kutobweteka na...
0 Reactions
15 Replies
461 Views
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ACT Wazalendo,ndug. Abdul Nondo amemnadi Mgombea wa CHADEMA Kijiji cha Matanda, kata ya Kigwa Wilaya ya Uyui, Jimbo la Igalula Mkoa wa Tabora, Ndug. James Erick...
1 Reactions
0 Replies
236 Views
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi Ally Hapi leo amezindua kampeini za uchanguzi wa Serikali za Mitaa kwa chama hicho mkoa wa Kagera huku akiwapigia chapuo wagombea wa chama hicho...
1 Reactions
1 Replies
214 Views
Wakuu Mbunge wa Bukoba mjini Stephen Byabato ametumia lugha za kichina, kijerumani, kifaransa, kiingereza, kiswahili na kihaya kuwanadi wagombea wa serikali za mitaa mbele ya katibu wa Jumuiya ya...
1 Reactions
16 Replies
667 Views
Chawa ni viumbe wachafu na wanyonyaji damu. Awafugaye lazima awe mchafu. Je, nini busara ya falsafa Rais Samia kusema hawa ni chawa wangu hasa ikizingatiwa kuwa ni mbeba maono?
4 Reactions
12 Replies
598 Views
Wakuu Yule Mbunge wa Binadamu na Wanyama kashika kipaza cha Siasa tena. Msanii na mwanasiasa maarufu, Profesa J, amerudi tena kwenye ulingo wa siasa kwa uzito, akizindua kampeni za uchaguzi wa...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Picha: Mafuriko ni miongoni mwa athari nyingi zinazoletwa na Mabadiliko ya Tabianchi Tafiti zinaonesha kuwa mabadiliko ya tabianchi bado hayajapewa kipaumbele kikubwa katika chaguzi nyingi za...
2 Reactions
9 Replies
464 Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la DMV litafanya Sherehe za Miaka 37 ya CCM leo, Jumapili, Feb 23, 2014 kwa shamrashamra na vikolombwezo kibao. Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi...
1 Reactions
1 Replies
940 Views
Wakuu, Mambo moto, ni mwendo wa kujitutumua kwa kwende mbere! ==== Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote...
0 Reactions
2 Replies
311 Views
Back
Top Bottom