Wakuu,
Nape asema, vyama vikikaribia kufa wanaanza kugombana, kama ilivyokuwa kwa Mrema na CHADEMA wanaelekea huko huko. Hivyo watu wasipoteze muda kwenye chama kingine, kwani chama original ni...
Mgombea Uenyekiti wa Kijiji cha Ilula, Kata ya Ilula, Jimbo la Kwimba, Silvester Cherehani amesikitishwa kuona watu wa kijiji hicho wakipata misukosuko kwa sababu ya kuuliza mapato na matumizi ya...
Wakuu,
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akimnadi mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa kijiji Mnange katika kata ya Uyowa, jimbo la Ulyankulu mkoani Tabora, Novemba 20, 2024
Kupata...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuacha kulalamika na badala yake kuelekeza nguvu zao...
Bila shaka dunia ya sasa bila kutumia sayansi ya namba mambo mengi utaona magumu hususani yale mambo yanayohitaji namba ziseme zaidi kuliko maneno na mojawapo ni ushindi wakati wa uchaguzi. Kila...
Wakuu,
Naona besti wa Msigwa kaamua amfuate CCM.
Je, fukuto la CHADEMA litatoa kiongozi mwingine kwenda CCM?
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special...
Katika hili Nakubaliana na Freeman kwamba Lengo la Kujaza Fomu za uchaguzi ni kukusanya Taarifa za Wagombea Ili kuona kama wanakizi vigezo
Ni sahihi kumuengua Mgombea aliyepungukiwa vigezo Lakini...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Mkoa wa Songwe umebahatika kupata Neema ya kuzinduliwa kwa kampeni za Uchaguzi wa serikali za Mitaa na Mwamba Kabisa Freeman Mbowe
Taarifa ya Chama chake...
MBETO HANA HAKI YA KUTUPANGIA, NJIA YA KUTUMIA KUPINGA SHERIA MBOVU.
Ndugu Wanahabari, awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu, kwa kutujaalia uhai na uzima, na ukimya katika...
Wakuu,
Mambo yameendelea kuwa sukari kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Katibu Mkuu ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumzia "Wasaliti" wa chama hicho watakavyofutiwa uanachama
Ado amesema...
Katika maeneo mengi, changamoto ya ukusanyaji wa taka imeendelea kuwa kilio cha wananchi. Magari ya kukusanya taka ama hayafiki kabisa au hufika mara chache sana, huku wakazi wakilazimika kutoa...
Wanaotumia msemo huu muwe tayari kukubali kuambiwa hata majanga wakati mwingine yamesababishwa na serikali.
Maghorofa 505 yalifanyiwa tathmini 147 yalibainika kujengwa bila kufuata taratibu (...
Salaam
Hivi wagombea wanaotufaa wanapatikana CCM pekee? Kama CCM hawakupitisha wagombea tunaowataka kwenye kura za maoni hakika tutawatafuta wanaotufaa kwa vyama vingine kupitia uchaguzi wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna kitu tutateseka ,kuhangaika na kuchukua muda mrefu .basi ni kumpata Kiongozi Mwingine aina ya Rais Samia katika Taifa hili.Kiongozi mwenye huruma na upendo...
"Mchongo".
Rushwa/Takwima/Chai/Zawadi/Asante.
Ukifika Swekeni unaambiwa kuna MCHONGO,tafuta wanaoeleweka,leta majina yao wapate mchongo.
Wanaoeleweka ni wale wanaotoa chochote kitu kwa mwenye...
ACT-Wazalendo wamesema watakapopewa nafasi katika mitaa kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa basi watatumia fursa hiyo kama mfano wa namna watakavyoiongoza serikali kuu mwaka 2025 iwapo...
Ndiyo, ule mlima kama serikali ikiangalia kwa umakini inaweza ikawa inatoza kiasi flani kwa kila gari inayopita pale. Kuna magari mengi sana yanapita pale kwa siku.
Mengi sana, makubwa kwa...
Tanzania bado haija-sini mkataba wa kujenga natural gas refinery ila uko mezani mpaka sahivi
Mwanasheria wa serikali alitaka mazungumzo zaidi juu ya mkataba kwa sababu kuna mambo bado kama...
TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI
Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika
Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo
Ahamasisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.