Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewasambaza viongozi wake wakiwamo wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika mikoa 26 ya Tanzania kushiriki uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa...
Wanabodi,
Kama kawa, leo nimepata fursa kuwaletea makala elimishi ya uchambuzi wangu wa muswada huu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023, kwa swali Je Wajua Muswada...
Japo itaonekana ni kuvunja katiba lakini kuna sababu za msingi za kufanya hivyo.
Hivi bunge halioni kujadili hili suala na hatimae mahakama kupitia mwanasheria mkuu wa serikal naye akashirikishwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Daktari Hussein Mwinyi anatarajiwa kumuwakilisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi jasiri...
"Wapo Wanaccm waliowekewa mapingamizi, wapo wa ACT, wapo wa CHADEMA, na majibu ya mapingamizi yalitoka, lakini kwa hatua za rufaa kwa maelekezo ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Rais...
13 November 2024 Arusha, Tanzania
CHADEMA WANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU, tathimini kuelekea uchaguzi 2024
https://m.youtube.com/watch?v=GStMiPMklKs
Katibu wa CHADEMA Kanda ya...
Wakuu,
Saa 5 asubuhi hii Mbowe kutema cheche Makao Makuu ya CHADEMA, Mikocheni, nini kitaendelea? Vuta sofa kwa updates.
https://www.youtube.com/live/9kQEVPB0RAk?si=U4fqpWwWOg47j7jV
===...
Salaam, Shalom!!
Nchini petu Tanzania , mwaka kesho 2025 kutakuwapo na uchaguzi mkuu Kwa ngazi zote, Udiwani, ubunge na nafasi ya Urais.
Limeibuka kundi dogo la watu linaloanza kujadili habari...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Nape Nnauye, amefanya mahojiano na kituo cha redio cha VOS FM na kuelezea matarajio ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Unapaswa kufahamu kwamba, Pamoja na yanayoendelea huko Mikocheni kwenye Mkutano wa Mtu Mwamba Kabisa, kabla ya yote imefanyika Dua Kabambe mno kwa ajili ya kuwaombea Wahanga wote wa Ajali ya...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Oganaizesheni, Issa Usi Gavu, akiwa kwenye mkutano wa wana CCM Rorya amesema; "mwongozo uko wazi CCM, fanya kosa lolote tutakusamehe, kosa la...
Mbowe:
1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani
2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa
3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele
4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti
5...
Wakuu,
Kampeni zimeanza rasmi leo Novemba 20, 2024, mambo yatakuwa moto huko mtaani kila chama kujinadi ili wajihakikishie ushindi mnono.
Je, yapi matarajio yako kwa wagombea katika uchaguzi...
Zilikuwa Propaganda tu za kutojianda kwenye uchaguzi, wamethibitisha wenyewe mmeliona.
Hadi muda huu hakuna chama kilichosusia uchaguzi kila chama kipo dimbani kwenye kampeni, CHADEMA wao...
Wakuu ni case study. Kwa wale ambao wanadhani jambo muhimu ni kwa chama cha Mapinduzi kiendelee kushika madaraka. Au chama fulani kishinde na kuwaondoa ccm madarakani. Munazingitia hays yaliyo...
Binafsi sijawahi kusikia mtumishi wa TISS anakuwa maarufu zaidi wale walishika Ukurugenzi wa hiyo Idara! ila kuna mtu mmoja kila anapotajwa basi TISS lazima itajwe! Mbona umnaitumia idara yetu ya...
Baadhi ya wagombea nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA wilayani Serengeti wameeleza changamoto walizokumbana nazo katika harakati zao za kisiasa. Wameeleza kuwa rufaa walizowasilisha kupinga...
GAVU AWASILI GEITA KUZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC) Oganaisheni na Mjumbe wa Kamati Kuu Issa Gavu amewasili mkoani Geita kwa ajili ya kuzindua rasmi...
Hii ifike kwa OR TAMISEMI ni kwamba Watendaji kata wamekuwa kikwazo kwa watumishi kuomba sababu wanachajiwa 30k-50k ili wapate ñafasi na ndiyo chanzo cha idadi ya waombaji wamekuwa wachache
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.