Vyama vya siasa wilayani makete mkoani Njombe vinavyoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa vimetakiwa kufanya kampeni za kistaarabu kwa kunadi sera zao kwa wananchi badala ya kutoa matusi au...
Hii ndiyo tabia ya viongozi wetu kupenda kusafiri, kuiona dunia. Yaani hata wanatafutiwa Ndege kwa ajili ya safari tu! Hiyo ni kazi ya maendeleo ya Taifa?
Wakati MV Bukoba inazama mwaka 1996...
Wale wanachama wote ndani ya CCM wanaounyatia Urais wa Samia 2025 watafute kazi ya kufanya kwani kwa kauli hii ya Msemaji Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Shaka Hamdu Shaka naona "Case Close "...
Akiongea na Waandishi wa Habari wa Dunia nzima leo, Freeman Mbowe, amefichua kwamba, ili kufanikisha wizi wa kura, Uporaji wa Uchaguzi na Uchafu wote kwenye Uchaguzi huo, Serikali ya Tanzania...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na kuzungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania ambaye pia ni Mwakilishi wa Japan...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaomba viongozi wa dini mkoani humo kutumia nafasi zao kuhamasisha waumini wajitokeze katika uchaguzi wa Serikali za mitaa na amani itawale.
Makonda...
Huyu ni Mgombea wa nafasi katika Serikali ya Mtaa Mshikamano, huko Mbezi Louis, jijini Dar. Anaitwa Masoud “Lupenga” Mbaruku.
Kwenye moja ya kampeni zake ameahidi kuwa watafanya vyovyote vile...
Zoezi la kupiga kura kwa ajili nafasi ya Mwenyekiti na Wajumbe mtaa wa Mwananyamala-Kisiwani jana, Oktoba 23 lilishindikana kutokana na sababu mbalimbali, ikiwemo baadhi ya majina kutokuwepo...
Mbobezi wa Makazi duniani Prof Tibaijuka amesema pale Kariakoo Kwa mujibu wa sheria ya Mipango Miji ilitakiwa Viwanja 4 vya High density viunganishwe mbele na nyuma Ili Kujenga ghorofa
Nimeogopa...
Nimeona watu hawa wenye ushawishi mkubwa wametua Kongwa. Ni maandalizi ya uchaguzi wa mwaka 2025? Nani kati yao analitaka jimbo? Ni ziara ya kawaida au kimkakati?.
Watanzania tuachage Ujinga na mambo ya Itikadi Kwenye masuala muhimu ya kitaifa yahusuyo Maendeleo yetu
Nakumbuka mbwembwe za Ruto alipokutana na Biden akajimwambafy kuwa yeye ndiye Msemaji wa...
Na Otieno Peter Baraka
Sote tunajua kuwa ilikuwa ni ndoto ya Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa kwa kuwa na viwanda vidogo,vya kati na...
Nimefuatilia kwa undani ishu ya Jengo la KKO, inside information ambazo sio RASMI zinaeleza kwamba Afisa alie process kibali cha gorofa lililokuwa likijengwa aliandaa ripoti na ilionesha hatari...
WAZIRI KOMBO APOKEA TAARIFA YA KAMATI MAALUM YA MAPITIO YA KITUO CHA DKT. SALIM AHMED SALIM
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo, (Mb)...
Nimesikitishwa na vijana wajinga wasiojitambua walioitabiria mabaya timu yetu ya Taifa kisa tu kuna watu wananasibisha ushindi wa timu na mama Samia Rais wa nchi.
Mimi si mwanachama wa chama...
Mara baada ya mama kuingia madarakani aliweka mazungira ya siasa vizuri mana kuna watu wangekufa kwa kukosa mkate wa kila siku.
Ikumbukwe siasa ni ajira ila ajira hiyo jpm aliiondoa huku akijua...
Mshikemshike umeanza
Imeelezwa kuwa wanachama takribani 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Kilombero, mkoani Morogoro wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa...
1. Kuna lawama zimekuwa zikielekezwa kwa Mbowe kukubali maridhiano.
Naamini Rais Samia alikuwa na conviction kubwa kuwa na maridhino, lakini wahafidhina (conservatives) ndani ya chama chake...
Diwani wa Kata ya Wazo, Mhe. Wakili Leonard Tungaraza Manyama, ameonya kuwa mtu yeyote anayefanya vitendo vinavyoweza kuzuia ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hafai kushika nafasi za uongozi...
Wazee na Viongozi wa Dini Wilayani Ikungi Mkoani Singida wamekutana Kujadili na Kuombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unatarajiwa Kufanyika Mapema wiki Ijayo ili Ufanyike wa Amani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.