Wakuu,
Jeshi la polisi Halmashauri ya mji Makambako,limesema kuwa limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama katika kipindi cha chote cha kampeni ili vyama vyote vya kisiasa vifanye kampeni...
Wakuu nimecheka kwa uchungu sana, nipo hapa Manispaa ya Kinondoni, Katika kufuatilia majina ya Wagombea wa Chama changu.
Lakini cha kushangaza Mapolisi walikuwa wamevaa fulana za ACT Wazalendo...
Wakazi wa Longido wamepatiwa elimu ya mpiga kura ili kuepuka makosa wakati wa uchaguzi. Mkuu wa Polisi Jamii Wilaya ya Longido, ASP Tausi Mbalamwezi, amesema elimu hiyo inalenga kuwapa wananchi...
LATRA (Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini) na vyama vya kutetea abiria vina jukumu kubwa katika kuhakikisha kwamba usafiri wa abiria na mizigo unakuwa wa haki, nafuu, na unaozingatia maslahi...
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dogo Iddi Mabrouk (MNEC) alifika Kariakoo eneo ambalo jengo la ghorofa lilipoanguka na kusema kuwa wanamshukuru Rais Samia...
Nashauri vikao vifanyike, kila siku tukijiandaa kupiga propaganda zetu, tukio linatokea mpaka tunakata tamaa. Hatuwezi kuyazuia, sasa sijui tufanyeje.
Wiki hii yote tutajadili mambo ya Morroco...
Halmashauri ya mji wa Njombe imekiri kuweka sawa mazingira ya uchaguzi wa serikali za mitaa hadi kwa makundi maalumu ili yaweze kushiriki kikamilifu katika mchakato mzima wa uchaguzi unaotarajiwa...
Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga...
Wakuu,
Mimi sikuwa mzuri wa somo la hisabati wakati nasoma, pengine mnaweza mkaja na calculator tuje tupige hesabu.
Wakati naperuzi huko mitandaoni nimekutana na clip hii ya Mkurugenzi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kimefanikiwa kuweka wagombea katika nafasi zote za vijiji...
Taarifa ikufikie Popote Ulipo kwamba, Mwenyekiti wa Chadema, Mwamba Kabisa, Freeman Mbowe, Atazungumza na Dunia kupitia kwa Waandishi Wote wa Habari Duniani.
Taarifa ya Chama chake iliyosambazwa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amekanusha vikali kauli ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed...
Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya mji wa Njombe, Kuruthum Sadick amesema kuwa kuelekea kwenye kampeni za uchaguzi mpaka siku ya uchaguzi hakuna kijana atakayeweza kutumika kuvuruga zoezi la...
Itakumbukwa kuwa IGP Simon Siro alisema polisi wameshindwa kuendelea na uchunguzi wa kisa cha Tundu Lissu kupigwa risasi kwa sababu hakuwepo Tanzania. Lakini hata baada ya Lissu kurejea nchini...
Mbowe Mwenyekiti wa Chama cba Demokrasia na maendeleo amesema pamoja na ubakaji wa demokrasia ambao unaendelea bado ameshangaa kwanini Mahakama inatoa maamuzi ya kukknda chama na bado Mahaka.a ya...
Wakuu,
Makonda akiwa katika mkutano wa kuelezea miezi 6 ya makonda ameaulizwa swali kuhusu ban yake ya Marekani kwamba hilo linaasharia kabisa Makonda kuhusika na masuala ya utekaji na uvunjifu...
Hints:
Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.
Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu...
RC Makonda amesema kwenye Siasa Lissu ni mdogo kwake na kwa wenye mashaka wakawaulize Mwenyekiti Mbowe na Dkt. Slaa kwanini kwenye Vikao vyao na Makonda walikuwa wanamuweka pembeni Tundu Antipas...
Vigogo wa CHADEMA mkoa wa Arusha wamesema ni suala la muda tu Lema atamfuafa Msigwa.
Vigogo Hao wamesema kwamba Lema hufanya vikao vya siri na Makonda na Mrisho Gambo. Katika kujiandaa na hilo...
Wanabodi,
leo kuna press conference muhimu ya Chadema。
hili ni bandiko la kitu kinachoitwa preemptive move ya kuisaidia Chadema ahead of Press Conference hii muhimu ya Mwenyekiti wa Chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.