Rais Magufuli akihutubia mubashara kutoka Tanga, amemuita Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba na kumsifia na badae kumuita Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda na kuwataka...
Wakuu,
Kama mnavyojua kesho kampeni za Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa zinaanza kesho.
Wakati napitia hizi kanuni za kampeni za Uchaguzi kuna kipengele nimekiona ambacho kama wapinzani kinaweza...
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo.
Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu...
Hili wala halina ubishi kubali ukatae wanaccm walio wengi wana upeo mdogo na elimu yao ni ya kuunga unga. Mifano ni mingi kuanzia juu kabisa pale makao makuu yao kwenye like jengo lenye bendera ya...
Nashauri sheria iundwe kudhibiti michango isiyo na kichwa na miguu. Kuna tetesi kwamba mwanasiasa mmoja amepewa mabilioni na taasisi za kijasusi za Mataifa ya Magharibi na anatafuta njia ya...
Wakuu,
Baada ya kutema cheche siku ya Jumapili, Paul Makonda ameendelea kutoa matamko mbalimbali
Siku ya leo akiwa anaongea na wanahabari, Makonda amesema kuwa kazi ya kuwa kiongozi ni ngumu...
“Naijua hali anayoipitia Tundu Lissu kwenye chama chake cha CHADEMA, sio hali nzuri kabisa, anapambana namna ya kujishikiza mahali na sehemu pekee ya kujishikiza ni kwa makonda.
Jambo alilosema...
Hebu soma hapa kauli ya Makonda kuhusu Lissu
Hata kama Watanzania ni Wajinga, lakini ndio wakubali kudanganywa kibwege namna hii?
Makonda amemzidi nini Lissu kisiasa, Huyu jamaa ni Mzima kweli...
Katibu wa Itikati Mafunzo na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Njombe Josaya Luoga, amesema katika maeneo yote ambayo vyama rafiki havijaweka mgombea zitapigwa kura za ndio au hapana...
Machawa humu ndani wanasifia kila kukicha kwamba ccm ni chama imara sana, ni kwa nini wanatumia mipango myeusi myeusi kushinda chaguzi!?
Maana walisema yaliyotokea 2019 hayatatokea tena.
Hawa...
Ninapoenda dukani kwa Shayo kununua sukari na dawa ya mbu nalipa kodi
Ninapokata tiketi ya basi au treni nalipa kodi
Ninaponunua LUKU nalipa kodi
Ninaponunua wese la gari nalipa kodi
Nikienda...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt.Emanuel John Nchimbi atazindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa kwa Wagombea wa CCM Mkoani Mwanza tarehe 20 Novemba ,2024 .
WAZIRI KOMBO AONGOZA MKUTANO WA DHARURA WA KAMATI YA MAWAZIRI WA ASASI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA YA SADC (SADC-Organ)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi...
Ndugu zangu Watanzania,
Taarifa zinazoendelea kusambaa Duniani kwote ni Kuwa Rais Samia Ambaye Ndiye Rais mwanamke Pekee Barani Afrika na ambaye ndiye Nembo ya Afrika. na Kiongozi Mwenye...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Daktari Hussein Mwinyi anatarajiwa kumuwakilisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi jasiri...
Unamfahamu Madelu Lameck Mwigulu Nchemba ? nimeguswa na kuamua kuandika makala haya kuhusu mbunge wa Iramba Singida Waziri wa fedha na baba wa familia ya watu wengi sana wanaomzunguka ...
Nimeshangaa kusikia watoto wanaofanya Mitihani ya kidayo cha 4 hawamjui kabisa Zitto Zuberi Kabwe mpambanaji wa Buzwagi na Mikataba mibovu ya Madini
Kwa kusahaulika haraka sana Kwa Zitto Kabwe...
Viongozi wanahudhuria mkutano wa G 20 nchini Brazil wamekubaliana kwamba kuanzia sasa Matajiri kote Duniani Waanze kulipa Kodi Ipasavyo
Matajiri wenye utajiri Uliotukuka wanapaswa kutozwa Kodi...
Niaje waungwana
Kwa kile kilichotokea jana hapo K'koo, mimi nashauri kwanza mwenye ghorofa lililoanguka akamatwe, mali zake zifilisiwe, na kiwanja kilichokuwa na jengo kiuzwe ili hela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.