Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo kuna mtu yoyote anashikiliwa na Polisi baada ya Jengo la gorofa kuanguka huko Karikoo tarehe 16 mwezi huu wa November.
Kwa uelewa wangu, kuna watu watapaswa...
kilombero kabla ya kuwaganyika kuwa na jimbo la ulanga imeendelea kutoa watu muhimu kwa serikal ambao mara zote hawawaletei maendeleo wananchi na bado wao ndo wanakumbwa na kashfa kibao kuwataja...
Naomba kwa kuuliza maswali haya:
Hivi Mtanzani wa kawaida unaweza kuendesha biashara ambayo haina vibali vya serikali huku ukitumia mitandao ya simu kufanya biashara na serikali ikashindwa...
Watanzania, tufike mahali tujiulize swali hli dogo tu:
Mikopo ya mitandaoni hutolewa kwa wateja kutumiwa hela kwenye simu zao na zaidi marejesho hutumwa kwa haya makampuni kwa kutumia lipa namba...
“Ni Kweli nilipewa Sumu miezi kadhaa ilopita na ni jaribio la Tatu, mbili zilizotangulia ilikuwa nimwagiwe tindikali kabisa ila wakubwa wastaafu wakanipa taarifa mapema” Makonda akijibu swali la...
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Albert Chalamila akizungumza hivi leo.kuwa uongozi wa Mkoa upo Tayari kuwajibika Ikigundulika kuwa kuna uzembe...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la kuhamasisha a mass mobilization ya kupata kundi kubwa la watu, kuunga mkono kwa dhati, juhudi kubwa zinazofanywa na Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul...
Naishukuru sana serikali kwa kuchukua hatua dhidi ya mmiliki wa jengo, naomba kuisaidia Jeshi la Polisi kuendelea kusaka taarifa zaidi za tukio hilo lakini kinachosemwa pale kariakoo na watu...
Heshima ni neno la kawaida tu la kiswahili, lililotakona na neno la Kiarabu kuonyesha hadhi anayopewa mtu kama alama ya kuthaminiwa kwake. NI namna ya kumwonyeha mtu huyo kwamba utu wake una...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameagana na Balozi wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran Mhe. Hossein Alvandi Bahineh ambaye amemaliza muda wake...
Tanzania yatoa msaada wa Dola za Marekani 1,000,000 kwa Uturuki kufuatia madhara ambayo nchi hiyo inepata kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea mwezi Februari mwaka huu.
Hii ni mara ya pili...
Kijana wa miaka 25 anakufa bila kuugua Tena kwa uzembe wa kutookolewa
Nimeona jumbe za watu waliopo kwenye vifusi nimelia Sana
Mimi ni mwanaume lakini ukweli nimejaribu kuvaa viatu vya kijana...
Wakati Tanzana raia wanaambiwa kikubwa wanakula wanashiba na wanapata muda wa kujadili Yanga na Simba, Gaboni wameandika katiba mpga na hivyo kuhitimisha utawalala wa Familia ya Bongo.
Kumbuka...
Ni miezi sasa inakatika mwenyekiti wa Chadema yuko kimya bila kutoa neno wakati
1. Wagombea wa Chadema wanakatwa nchi nzima
2. Rushwa na pesa chafu zimetapakaa kwenye chaguzi za Chadema
3. Kuna...
Tundu Antiphas Mughwai Lissu ni mwanasheria, mwanaharakati wa haki za binadamu, na mwanasiasa mashuhuri wa Tanzania.
Amekuwa akihusishwa sana na harakati za kutetea demokrasia, utawala wa...
Kwa ufupi:
Kauli na hoja za Paul Makonda na majibu yake:
HOJA #1: Tundu Lissu ni mchanga kwake (Makonda) kisiasa. Kauli hii ina ukweli wowote?
JIBU: ➡Ni mwongo, mzushi. Tundu Lissu yumo ndani...
Askofu Bagonza ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook;
Mwaka 2019 tulitangaziwa kuna uchaguzi. Likawa shindano la kujaza fomu. CCM wakashinda. Wapinzani wakarudi darasani kujifunza...
Rais Samia ambaye amesafiri kwenda Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil 16 Novemba, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na...
Sikumbuki kuwaona Mwalimu Nyerere au Mzee Mtei wakiwa wamevalia sare za vyama vyao kwenye matukio ya kitaifa
Sasa Sijui huu Ushamba wa kuvaa Sare za vyama msibani kariakoo hivi vyama vimeutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.