Kwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala?
Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu...
"Waganda ni sawa na wagonjwa muda wowote wanaweza kupona na kudai haki zao"
"Wakenya ni sawa na mtu aliye lala muda wowote anaweza kuamka na kudai haki yake"
"Watanzania ni sawa na MAITI kamwe...
Serikali ya Tanzania imekamilisha upembuzi yakinifu wa kuwezesha Wakazi wa Tegeta hadi Bunju kutumia Usafiri wa Treni.
Treni hii itajengwa kuanzia Ubungo Maziwa, Kupitia Mlimani City, Mwenge hadi...
Kariakoo ni Mji mkongwe na ukitaka kujenga ghorofa Basi ujue itapita miaka 100 bila kurudisha gharama ya uwekezaji, Wataalam wa RoI mnaelewa Vizuri
Hii ndio sababu maghorofa yote ya kariakoo Yako...
Sheria zilizopo za maendeleo ya miji si mahususi kama Kanuni za Ujenzi, Wakati sheria zilizopo zinahitaji tu jengo kupewa cheti cha kufuata taratibu baada ya kukamilika, Kanuni zinataka jengo...
Maombi yanayoombwa na Waleta maombi ni pamoja na;
1. Mahakama Kutoa ruhusa kwa Waleta maombi kuwasilisha maombi ya kufuta Sheria Ndogo zilizotolewa kupitia matangazo ya serikali Na. 571, 572...
Salaam Wakuu,
Tanzania inaelekea kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024. Kwa sasa joto la uchaguzi huo limezidi kupanbda na Wagombea wengi wapo kwenye hatua za kurejesha fomu zao...
Msajili wa Hazina amesema Serikali katika mwaka wa Fedha 2024/25 Serikali Kupitia Hazina inatarakia Kuyafuta Mashirika na Taasisi za Umma 40 ambazo zilianzishwa Kwa minajiri ya kibiashara lakini...
Rais wa JMT, SASHA ametoa hotuba ya kufariji wahanga walioangukiwa na jengo janga lilitokea tar 16/11/2024 mitaa ya Kariakoo.
Tukio limetokea Rais akiwa nchini na bado akaona ni muhimu zaidi...
Mkuu! Rejea kichwa cha thread hapo juu. Naamini kuwa u mzima wa Afya hapo magogoni.
Naamini kuwa u mzima wa afya sisi huku sio wazima ndio maana tukaamua kukuandikia barua hii kupitia kwa Mtwa...
Tukio la juzi Kariakoo la kuanguka kwa jengo la ghorofa ni tukio la maafa kama si janga kubwa na watu 13 wamepoteza maisha.
Mimi ni kati ya watu ambao nimekuwa nikiendelea kumsoma raisi wetu na...
Katika muktadha wa siasa za Tanganyika, ni muhimu kuangazia hali ya kisiasa na kiuchumi ambayo imekuwa ikiendelea. Kwa mtazamo wangu kama raia, naomba nikujulishe kuwa, kwa sasa, Tanganyika haina...
Waziri Silaa akishiriki katika Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025, leo Jumatatu Novemba 18, 2024.
Mkutano huu unafanyika kwenye...
Mimi ni mshabiki namba moja wa Israel, ila nimeguswa na tukio la kuanguka kwa Jengo Kariakoo, Jitihada tuliyoweka katika uokozi ni aibu kwetu hasa sisi Watanzania tunaomini sio Nyani.
Gaza kwao...
Nadhani kuna shida mahali kwenye tasnia hii. Zembwela ni wale comedian katika habari. Ivona Kamuntu na Salim Kikeke ni magwiji katika tasnia. Ikawaje Zembwela ambaye elimu yake katika habari...
Kariakoo ni sehemu ya kuchuuza vitu ya kimataifa na inapata promo kwa sababu pia tunazungukwa na nchi randlocked nyingi tunazo fanana nazo kama Burundi, Congo, Rwanda, Zambia, Malawi hizo zote ni...
Nafuatilia mkutano wako ITV kwa wananchi uliouita ni Taarifa ya miezi 6 ya utekelezaji wa majukumu ya Serikali mkoani Arusha.
Lakini ninachosikia kupitia kwa waandishi kina Zembela uliowaandaa...
Wananajamii forum,heshima kwenu.
Ajali ya Jengo Kariakoo kuanguka,kwa maoni yangu kulikuwa kuchelewa kufanya juhudi kwa haraka Serikali hasa JWTZ wakati wa majanga.
Vifaa sahihi, watu sahihi kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimekutana na kufanya mazungumzo na wana CCM wenzangu mitaani .ambapo wana CCM mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameumizwa na kuumia sana mioyo yao kutokana na...
Mshangao na Huzuni kwa Rais Samia
Habari za kusikitisha zimeikabili nchi yetu, Tanzania, ambapo watu 13 wamefariki kutokana na jengo lililoporomoka katika eneo la Kariakoo. Hali hii si tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.