Katika awamu hii kuna sekta nyingi zimeharibiwa badala ya kuboreshwa ili ziwe na mchango chanya kwenye uchumi na maisha ya Wananchi.
Kusipofanyika mabadiliko ya haraka, kadiri tutakavyoenda, kila...
Mh Rais Samia Shikamoo.
Hongera kwa kazi ya ujenzi wa Taifa la Tanzania. Pia Hongera kwa kuwa Rais wa kwanza Mwanamke sisi kama watanzania tunajivunia kwa kuwa hii inadhihirisha Vyombo vyetu...
Kabla ya yote naomba kuwapa pole Wafanyabiashara wenzangu wa Kariakoo kwa kuangukiwa na jengo, nimeguswa moja kwa moja na ajali hii kwa sababu nina washirika wangu wa kibiashara wamepata janga...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ametajwa kuongoza Kampeni za Uchaguzi wa serikali za Mitaa Mjini Tarime.
Taarifa ya Chama Chake iliyosambazwa kote Duniani hii hapa
Viongozi wa afrika bila shaka wanashida vichwani mwao, watu wao wanakufa , wakiwa na majanga mabalimbali wanaingiza siasa,wakati wa uchaguzi wanaona wa thamani sana, lakini wakati wa majanga...
Leo vyombo vyote vya habari vipo busy kupost clip za RC Arusha akieleza miezi sita ya uongozi wake.
Vyombo vyote vimeachana na vifo na majanga ya ndugu zetu huko Kariakoo......kwamba kuanguka kwa...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema Chanzo cha vurugu na mapigano kwenye Mkutano wa Chadema wilaya ya Arusha mjini ni Naibu Katibu mkuu Benson Kigaila na Vijana wake...
Watanzania, msikubali kufanywa wajinga kwa mtu mmoja kuhamisha mjadala unaohusu maisha ya watu na kuwaletea vihoja vyake ili mvijadili na muache hoja za msingi zinazohusu maisha ya watu na utayari...
Mkuu wa nchi yuko Sao Paolo Brazil, huenda akaja na kocha mwingine maana tulipanda kwa ngazi tunashuka kwa lift viwango vya FIFA
Jk jana amewasili nchini Brazil, cha kushangaza nchi nyingi...
Nimetafakali na kuwaza sana zaidi ya wagombea elfu 16 za wagombea wa vyama vya upinzani walikosea kujaza form. Cha ajabu form hizo ziliandikwa kwa k Swahili. Lakini cha ajabu CCM walijaza kwa...
=======
Habari wakuu,
Ile kamati iliyoundwa na Nape Nnauye ya masaa 24 inawasilishwa leo, baada ya kuzungumza historia ya tatizo, msemaji anasema wamejaribu juhudi zote za kumpata mkuu wa mkoa wa...
1. Makonda kwa nini ulienda clouds kudai story ambayo Si yako? Hujasomea journalism, sio employee wa Clouds na Wala sio mmiliki. Tabia uliyoionyesha Ni ya kuidhalilisha Serikali kwa kujihusisha na...
Jana kazi uliyofanya ni kubwa sana. Kazi ya kulaani na kusema uvamizi ule ni najisi pamoja na kuunda Tume ya uchunguzi ni jambo kubwa sana. Nimesikia ulivyohojiwa na BBC umesema wewe siyo mamlaka...
Mnamo tarehe 23 mwaka 2017 Mbunge wa Mtama Ndugu Nape Nnauye alitishiwa bastola hadharani na mtu asiyejulikana.
MARCH 23, 2017, Rais John Magufulli aimteua Harrison Mwakyembe, aliyekuwa Waziri wa...
Wakuu,
Hivi karibuni Msemaji mkuu wa Serikali amejitokeza kuzungmzia uwepo wa taarifa potofu na za uwongo katika kipindi hiki cha Uchaguzi kwa kusema kuwa historia inaonesha kuwa katika kipindi...
Mwaka 2006 Jengo la Chang'ombe Inn liliporomoka pale Keko!
Wakati huo Serikali ya Awamu ya nne ilikiwa ndio kwanza ya moto.
Chini ya Waziri Mkuu Edward Lowasa iliundwa Tume ! Tume ilifanya kazi na...
MBUNGE AMINA MZEE AFUNGUA MAFUNZO YA MAKATIBU UVCCM, AGAWA SIMU JANJA NNE ZA USAJILI WANACHAMA KIELEKTRONIKI
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Amina Ali Mzee tarehe 16 Novemba, 2024...
Toka muda wake wa kukaa madarakani Kama mwenyekiti wa chadema Taifa uishe Mh. Mbowe haonekani popote nchini, huku watu wakisubiri uchaguzi wa Mwenyekiti Mpya utangazwe inje ya Mbowe.
Mbowe na...
Watanganyika amkeni, hao wanasiasa na matapeli wa kidini kama shoo na wenzake wanagawana maokoto. Bado na ninyi mnawaamini na kuwapa sadaka na michango kujaza matumbo yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.