Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Waliofariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo, hawakuwa kwenye maandamano , lakini katika maeneo yao ambayo standard ya ujenzi imekuwa compromised ! My take: Ni ngumu kuona connection ya...
1 Reactions
9 Replies
463 Views
Wakuu, Waziri Mohamed Mchengerwa hivi karibuni amedokeza kuwa malalamiko yanayoendelea hivi sasa kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa kwa wingi wake ni propaganda zisizo na msingi. Soma pia...
0 Reactions
5 Replies
320 Views
Tukimaliza issue ya Maghorofa Kariakoo tugeukie na Petrol Stations zinazojengwa kama njugu mitaani Uzi tayari…
0 Reactions
1 Replies
111 Views
Moja ya Sifa kuu ya Tundu Lissu ni Mkweli Alisema CHADEMA bado haijawa na Wagombea wa kutosha kuikabili CCM Hiyo imejionesha kwenye wilaya karibu zote Mfano mzuri ni Kilosa Vijiji 138 Chadema...
5 Reactions
93 Replies
3K Views
Kikundi cha Umoja wa Wanawake Maendeleo katika mkutano waliouandaa wamechangia jumla ya shilingi 513,400 kwaajili ya Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro na Rais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Mchengerwa ameyasema hayo akiwa Rufiji mkoa wa Pwani. Swali. Hivi nchi hii nani anataka kuvuruga amani? Na Mchengerwa anadhani anatisha wengine yeye kama nani, yeye sio IGP, RPC wala sio...
17 Reactions
182 Replies
14K Views
Rais Samia amemsifu Waziri Mchengerwa kwamba kafanya kazi nzuri sana kwenye Wizara alizopita ndio maana amemhamishia Tamisemi Ili akasimamie kivumbi Cha mwakani yaani uchaguzi wa Serikali za mitaa...
3 Reactions
64 Replies
8K Views
Juzi kwenye bango la tangazo la msiba wa mwanamziki mkongwe King Kikii waliambatanisha na picha ya mama.. Hii ilikuwa ni aibu kubwa na Nilikuwa kituko cha karne! Wengi walihoji.. Jamani hata...
33 Reactions
87 Replies
3K Views
Viongozi Dini Mkoani Iringa wametoa wito kwa Vyama vya Siasa, wagombea na wananchi kuwa wastaarabu wakati wa Kampeni na baada ya Uchaguzi iku kulinda na kudumisha amani iliyopo nchini. Pia, Soma...
0 Reactions
3 Replies
253 Views
Mbunge wa zamani wa Kilombero, Jaji mstaafu Edward Mwesiumo, amesema Bunge la sasa limepoteza hadhi na mvuto wake kutokana na vitendo vya baadhi ya wabunge wanaolitumia kujitafutia umaarufu badala...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu, Mwananchi wa kawaida kutoka fyengelezya niliyejitolea kuchanga kiasi kidogo cha pesa ili kufanikisha kununuliwa gari jipya aina ya V8 la kutembelea mheshimiwa Tundu Lissu kwa gharama ya...
3 Reactions
57 Replies
1K Views
KAMATI ya kudumu ya Bunge ya uwezeshaji Taasisi za umma imeridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania -TCB, huku ikiielekeza benki hiyo kuendelea kutoa gawio kwa serikali kuu ili...
1 Reactions
1 Replies
247 Views
Moderators please, can you spare this clip for the benefit of democracy and strong opposition parties! Makosa ya NCCR Mageuzi wakati wa MREMA LYATONGA yasirudiwe kamwe na upinzani...
13 Reactions
53 Replies
2K Views
Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu. Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa...
1 Reactions
0 Replies
158 Views
Wakuu, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kagera imewaonya wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024...
0 Reactions
2 Replies
232 Views
Majanga ni yetu sote na wanaopatwa na majanga siyo watu wa dini flani au kabila flani. Ni kariba zote z viumbe hai. Natamani kuwakumbusha viongozi wa dini kwamba disaster management and control ni...
0 Reactions
4 Replies
225 Views
Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani hii hapa --- Tunatoa pole kwa wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo kwa ajali ya jengo kuanguka na kusababisha maafa makubwa. Kariakoo imekuwa...
8 Reactions
36 Replies
1K Views
Baada ya kuanguka ghorofa huko Kariakoo chanzo kinadai mmiliki alitaka kuchimba chini ajenge underground floor kwa ajili ya kuongeza fremu za biashara. Naamini huyu siyo mmiliki wa kwanza kufanya...
0 Reactions
4 Replies
419 Views
Ndugu zangu wana Jukwaa, poleni kwa sote kwa yale yanayoendelea. Tuendelee kuweka nguvu zetu kwa panoja ili hatimaye hatua za uokoaji ambao serikali imeshaingilia kati ziweze kulete manufaa kwa...
7 Reactions
33 Replies
728 Views
Vyama vyetu vya siasa nchini vianze kujitofautisha kwenye mirengo ya kushoto au kulia. Hii itasaidia wananchi na wanachama kuvijua vyama hivyo vinasimamia Nini. Pia itasaidia vyama kujua vijikite...
0 Reactions
2 Replies
211 Views
Back
Top Bottom