Kuna baadhi ya viongozi wameumbwa na wepesi wa kutoa Msaada linapotokea tatizo na mfano mzuri ni Dr Slaa na Mbatia
Fikiria janga la Leo katika Soko Kuu la Biashara za Africa Mashariki yaani...
TEMESA na Mamlaka zote zinazohusika na Vivuko, Wanatakiwa kuwachukulia hatua kali sana, Waliokuwa wanaongoza MV Kazi leo 22-08-2024 Saa 12:50jioni. Kutoka Upande wa Dar (Magogoni) Kuelekea...
Ukweli usemwe.
Hakika naiona coordination ya hali ya juu namna Team ya kukabiliana na Majanga Dar es Salaam inavyoweza kupambana na majanga ya kipekee na ya aina tofauti tofauti.
Tuendelee...
Sababu kubwa ya jengo la KKO kubomoko linaanzia kwenye Regulatory Authority iliyotoa kibali bila ya kuzingatia Risk associated
Pembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la leo
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na...
Mtu katumika maisha yake ya ujana kwa taifa, wengine wamepigana hadi vita ndani na nje ya nchi kwa uaminifu mkubwa lakini ndani ya miaka 20 hakumbukwi na hapo kazidi kuwa kikongwe lakini hakuna...
Israel imeonesha nia ya kusaidia Tanzania katika mchakato wa kuondoa chumvi kwenye maji ya Bahari ya Hindi ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya maji kwa matumizi ya binadamu, majumbani, na...
Hii habari ni ya uongo hakuna zoezi lililositishwa hivi navyozungumza nipo kariakoo sababu mimi ni mdau hapa. Zoezi la uokoaji liandelea watu wanapiga kazi na baadhi wamefikiwa tayari.
Media kama...
Mchengerwa:
1. Unaona kabisa anajiamini kusema analolisema. Unaona kabisa kuwa ana mamlaka Kuu inampa kiburi na arrogance!
2. Hakuna kitakachobadirika.
3. Kama alisema Lisu, uchaguzi umeisha...
#7.0 Uingiliaji wakati wa majonzi na mshituko#
Katika kushughulikia masuala ya kijamii ya hali ya kushtua au
hisia kali kama vile ukatili, kutumia nguvu, matumizi ya dawa
za kulevya, ufuska...
Viongozi wa CHADEMA wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wakieleza jinsi rufaa zao za majimbo ya Moshi vijijini, Moshi mjini na Vunjo 'zilivyogonga mwamba' chini ya Mwenyekiti wa kamati ya rufaa ya...
Matrafiki hapa dar wanachukua rushwa balaa kwenye daladala na hawaogipi tena. Wanachukue buku mbili mbili hadharani kabisa bila woga na wameachiana idadi ya magari kwamba wewe tunakupa magari...
Salaam Wakuu,
Nimena Majina ya Ukoo ya Kink Kikii na Makamu wa Rais wa Tanzania yanafanana.
Kumbuka Makamu wa Rais wa anatokea Kigoma Mpakani mwa Congo. Na Kink Kikii anatokea Congo Mpakani...
kuna habari mbaya juu ya kuanguka kwa jengo la ghorofa tisa, karibu na elia complex barabara ya titi mohamed dsm, inasemekana jengo hili liliangukia pia jengo lingine. maafa yawezekana kuwa ni makubwa
Habari wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari...
Imetokea leo hii dakika chache zilizopita Morogoro Road na Indira Gandhi (City Centre - Dar)
Kuna ghorofa limeanguka mjini katikati, Dar es Salaam. Haijajuilikana ni mtaa gani coz wote wanao...
Well, ni hakika USA inakwenda kumkataa mwanamke kwa mara ya pili, Surprisingly walimpa Biden.
That means angewekwa Harris na jiwe, USA wangechagua jiwe. It is not that wanampenda sana Trump, it...
Great Thinkers,
Nipend kuchukua fursa hii kumshukutu Mkurugenzi wa TRC Kadogosa kwa kufuatilia na hatimaye kufanyia kazi kero ya viyoyozi jengo la abiria Kituo cha Magufuli, yaani mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.