Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kuna Faida gani kuchagua viongozi wa Upinzani ambao baadae Wanachama CCM na kufanya turudie Uchaguzi? Gharama ya kurudia Uchaguzi wa Mbunge kama ule wa Kinondoni kwa mfano inatosha kujenga...
4 Reactions
17 Replies
502 Views
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoani Simiyu kuepuka kugawanywa kwa itikadi za vyama na badala yake kudumisha Amani na...
0 Reactions
4 Replies
391 Views
Hivi ni wewe ULIKUWA Kagera wakati wa tetemeko la ardhi wakati ule...naomba nikumbushwe, sikumbuki kama tayari ULIKUWA siasani. Ukaenda Kagera dege la precision likaanguka pale kwenye maji...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Hapa Kariakoo jengo limeanguka. Hakuna vitendea kazi Chalamila na Janabi wamefika kupiga stories. Muda mrefu linahitajika greda kuja saidia kuinua nguzo nzito. Vifaa vya kuekolea hamna. Anakuja...
14 Reactions
44 Replies
3K Views
JULIANA MASABURI ATOA RAI OFISI YA WAZIRI MKUU, MIFUKO 71 IWAFIKIE VIJANA MIKOANI NA WILAYANI Akizungumza katika Kongamano la Fursa za Kiuchumi kwa Vijana Mkoani Mara Wilaya ya Tarime...
0 Reactions
2 Replies
195 Views
Mfuko wa saruji (cement) kampuni ya NYATI wa 50kg unauzwa Sh20,000. Katika kila kilo moja ya saruji serikali inachukua kodi ya Sh20. Hivyo katika 50kg ya saruji kodi ya serikali ni Sh1,000 (5%)...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu, Sidhani kama hizo sehemu nyingine mambo yatakuwa tofauti. Serikali (CCM) itasema mchakato ulikuwa wa huru na haki, wamepokea hata mapingamizi tena wakaongeza na siku za kupokea mapingamizi...
0 Reactions
6 Replies
469 Views
Huyu bwana alikuwa nje kwa masuala ya kesi yake. Na nchi ilikuwa imepoa utadhani imepigwa ganzi. Mh.Mchengerwa alikuwa katika harakati zake za kuvuruga uchaguzi, na hakuna yeyote aliyekuwa na...
9 Reactions
11 Replies
554 Views
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila kuwachukulia hatua za kisheria wale wote...
0 Reactions
1 Replies
500 Views
Ndugu zangu Watanzania, Napenda niwaambieni ya kuwa Ikulu ni jumba moja kubwa sana lenye kila aina ya watu,idara na viongozi mbalimbali nyeti ambao wengine inawezekana kabisa hawajawahi kuonekana...
6 Reactions
97 Replies
4K Views
Hayo yamebainishwa na matokeo ya Utafiti wa taasisi ya AfroBarometer waliofanya hivi karibuni.👇👇 Regarding personal living conditions, 38 percent of respondents rated their circumstances as...
4 Reactions
44 Replies
623 Views
Tukio la kukamatwa kwa Deogratius Tarimo lililotokea katika eneo la Kiluvya linaonekana wazi kabisa kuwa alikuwa ana kamatwa na watu ambao walijitambulisha kuwa ni Askari, hakuwa anatekwa...
-6 Reactions
282 Replies
11K Views
Steve Nyerere kwa uchaguzi ujao, najua atakuwa na cheo kikubwa sana. Kwa sasa anapigwa msasa na Mh. Rajabu kama maandalizi. Tukubali, tukatae ndio hivyo.
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Kumekuwa na utamaduni wa kudanganywa hata na uongozi wa juu. Mama Samia aliomba riport ya kutekwa tekwa kwa watu nchini. Cha ajabu hakuna mtu anaongelea ripoti na wengi kujisahaulisha. Isije ikawa...
22 Reactions
132 Replies
3K Views
Nabii wa Mungu, Godbless Lema, leo amekitendea haki Cheo Chake cha Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, baada kuwatimulia mbali Maofisa wa TAKUKURU waliohudhuria semina ya Wagombea wa Uenyekiti wa...
15 Reactions
111 Replies
5K Views
Ni Katika Kanisa la Sabato Magomeni ambapo hayati Mafuru alikuwa mzee wa Kanisa CCM na viongozi wake wakiongozwa na RC Chalamila wamefanya changizo la kukamilisha ujenzi wa Majengo Kanisani hapo...
1 Reactions
3 Replies
512 Views
Wakuu naona mambo yanazidi kuwa tofauti na vile ilivyotarajiwa licha ya imani iliyojitokeza baada ya Nchimbi kutoa kauli. Ama ndiyo kusema wote makosa yao ni makubwa makubwa?
4 Reactions
23 Replies
978 Views
Kila ninapomtazama TAL na aliyoyapitia na anayoyapitia sasa hivi naona miaka si mingi anakuja kuwa President wa Jamhuri hii . Sina tangible reasons msije kunikaba lakini kuna vitu katika dunia...
2 Reactions
9 Replies
356 Views
Kifo cha Mafuru kimeibua mambo mengi kwa kweli kwenye eneo la uchumi. Huyu Mzee alifanya yake kwenye kipindi cha changamoto wa upatikanaji wa dola. Pumzika kwa amani Rais Samia Suluhu Hassan...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Back
Top Bottom